Tanzania inapitia kipindi kigumu sana,kijamii,kisiasa na kiuchumi,mbaya zaidi tumejikuta tukitawaliwa na kizazi cha roho mbaya kuwahi kutokea tangu neno Tanzania lianzishwe.
Nikisikia mwanasiasa hususani wa chama tawala akiniambia niwe mzalendo binafsi huwa simwelewi,tumefikia mahala tumekosa...
Pengine viongozi wa kiserikali wako bize na issues zingine,naona nitoe hili kwan nalishuhudia binafsi kila kukicha.Kumekuwa na ongezeko la vijana wasio na makazi maeneo ya mijini hasa stand,maeneo ya starehe,maeneo ya biashara ndogondogo,mkoa wa Dar es Salaam ukiongoza.
Kwa wakaz wa Dar hasa...
Walimu wa Tanzania ni kada inayodharauliwa sana,walimu wanaamini kuwa mchawi wa mwalimu ni mwalimu,ikimaanisha kuwa mwalimu akiwa kiongozi,huwa anawakandamiza walimu kimaslahi hata kuwa dharau huku akiwanyima maslahi walimu japo yapo kisheria.Mifano inaanzia chini kabisa,wakuu wa shule,afisa...
Kipindi cha serikali ya awamu ya nne,serikali ilitilia mkazo wa kuandaa walimu wa sayansi,baada ya kuona walimu wa Physics,Chemistry, Biology na mathematics kuna upungufu mkubwa mashuleni.Moja ya mikakati ilikuwa kutoa mikopo kwa asilimia 100 kwa wanafunzi hao.Hoja yangu iko hivi,hawa walimu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.