Mkuu,kwenye ripoti ya CAG ya mwaka jana,alisema watumishi wa umma wengi hawapati 1/3 kama kanuni za mshahara kwa watumishi wa umma,hii inatokana na makato ya bodi ya mikopo ya elimu ya juu.Kwahiyo,mkuu hali ni mbaya kuliko kwa watumishi wa umma.
Ukiambiwa katiba ya tz hajakidhi mahitaji ya watanzania,mtu mmoja tu anafanya kazi zote,hatak kugawa madaraka,siku akisahau kubofya kitufe tu,ndo haya tunayashuhudia.
Tanzania inapitia kipindi kigumu sana,kijamii,kisiasa na kiuchumi,mbaya zaidi tumejikuta tukitawaliwa na kizazi cha roho mbaya kuwahi kutokea tangu neno Tanzania lianzishwe.
Nikisikia mwanasiasa hususani wa chama tawala akiniambia niwe mzalendo binafsi huwa simwelewi,tumefikia mahala tumekosa...
Mimi ni mwathirika wa bodi kwenye tozo la 6% salary slip ninazo na ndio maana kwenye barua nilikolezea kuwa,Bodi ya mikopo ni kirusi kinachowatafuna wanufaika.Licha ya kuathirika na tozo,nimwathirika wa penalty na pia ni mwathirika wa muda wa kurejesha deni ni zaidi ya miaka 10.Mimi deni langu...
Hi
Hivi rais wa wanyonge anasomaga uzi mzuri kama huu,bodi ya mikopo ni kirusi kinachowatafunna watoto wa maskin,na mbaya zaid hali si shwali kwa waliosoma sayansi,ukiangalia salary slip zao utasikitika,utakuta mtu anadaiwa mpaka milion 30,ikute una penalty hadi milion 40,na makato hayako fixed.
Kuna uzi nilitoa jana kwenye hoja mchanganyiko,wengi hawakuutilia maanan,kwa uzi huu,wadau watakubaliana nami,sekta binafsi inalia njaa kias kwamba waliojiajir kwa biashara ndogondogo wanasuffer ugumu wa maisha kiasi ya kushindwa kulipa hata chumba cha kulala hivyo wengi wameamua kulala...
Pengine viongozi wa kiserikali wako bize na issues zingine,naona nitoe hili kwan nalishuhudia binafsi kila kukicha.Kumekuwa na ongezeko la vijana wasio na makazi maeneo ya mijini hasa stand,maeneo ya starehe,maeneo ya biashara ndogondogo,mkoa wa Dar es Salaam ukiongoza.
Kwa wakaz wa Dar hasa...
Walimu wa Tanzania ni kada inayodharauliwa sana,walimu wanaamini kuwa mchawi wa mwalimu ni mwalimu,ikimaanisha kuwa mwalimu akiwa kiongozi,huwa anawakandamiza walimu kimaslahi hata kuwa dharau huku akiwanyima maslahi walimu japo yapo kisheria.Mifano inaanzia chini kabisa,wakuu wa shule,afisa...
Kabudi anajua kula na wakubwa!Jamaa ukimuona anaongea utafikir anajua sana,issue ya makinikia iliishia wap alituaminisha pesa tutakayolipwa si ya kitoto.Kabudi endelea kuwapaka mafuta kwa mgongo wa chupa.
Kipindi cha serikali ya awamu ya nne,serikali ilitilia mkazo wa kuandaa walimu wa sayansi,baada ya kuona walimu wa Physics,Chemistry, Biology na mathematics kuna upungufu mkubwa mashuleni.Moja ya mikakati ilikuwa kutoa mikopo kwa asilimia 100 kwa wanafunzi hao.Hoja yangu iko hivi,hawa walimu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.