Search results

  1. S

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Tuoneeni huruma jamani rudisheni umeme kama kuna shida tuweken wazi watanzania mbn ni waelewa usku tunakosa usingizi joto kali mbu wanauma sio mchezo kwani umeme mnagawa bure,? Si tunaulipia dah hii nchi jamani haya bhana NA HIZO ELA MNAZOTAKA KUWEKA PICHA YA RAIS MAKE SURE KWA UPANDE WA NYUMA...
  2. S

    DOKEZO Wizara ya Afya, Je, kuna mlipuko wa ugonjwa wa macho?

    Nipo sinza, mke wangu karudi kutoka kazini nae macho mekundu kama mimi, guys this is somehow serious
  3. S

    DOKEZO Wizara ya Afya, Je, kuna mlipuko wa ugonjwa wa macho?

    Mm mwenyew tangu jana macho yanawasha na yote nimekundu yameanza kuvimba kama Kuna ka mlipuko hvi tupewe taarifa, nmetumia dawa Lakin bado sijapata nafuu yan machoz yanamwagika tu nanimekundu yanawasha
  4. S

    Nina mpango wakuanzisha biashara ya asali mbichi

    0786909280\0764064872 tuwasliane
  5. S

    Zingatia mambo haya ukiwa gerezani

    ugaidi, uchochezi wa vita, ulawiti, na ubakaji mengne wataongezea
  6. S

    Biashara tofauti za kuniingizia 50,000/= kwa siku

    Kama upo serious mkuu fanya biashara ya mkaa mkuu hautojutia, kama upo karbu na handeni unaweza fanya proces za kuchoma mkaa angalau uanze na gunia 150 ambapo gharama za kuchoma sio chini ya laki5 na gharama za kusafirisha mpaka dar kila gunia ni 6k kibali cha tfs laki mbil kwa mwaka gharama...
  7. S

    Soko la Karume limeungua moto

    Sisiemu oyee,sisiemu namba wani, wacha tuisome namba, ifike hatua watanzania tuamke
  8. S

    Nahitaji mbia kwenye biashara ya kuuza asali Kenya

    First grade inatumika kwa matumiz ya nyumban kama chakula au alternatv sugar, second, inauzw kwny groceries kwa kuongezwa ingredients, third inatumika ktk pharmaceutical industries kutengneza dawa na vipodozi.
  9. S

    Nahitaji mbia kwenye biashara ya kuuza asali Kenya

    Yes, asali itapimwa kama itakuwa na grade inayofaa utapata ela cash, kuhusu bei lita 1 ni kuanzia dola 10- nakuendlea
  10. S

    Nahitaji mbia kwenye biashara ya kuuza asali Kenya

    Inawezekana,hata marekani ila kipengele mtaji ndugu
  11. S

    Nahitaji mbia kwenye biashara ya kuuza asali Kenya

    Habari wadau, ninahitaji mfanyabiashara wa asali au mfugaji wa nyuki ambae ana vibali stahiki vya kuuza na kusafirisha maana nina wafanyabiashara wapo kenya wanasafirisha asali kwenda dubai n.K, hvyo nahtaji mtu wa kushirikiana nae soko tayari lipo ila mim sina mtaji na utaalam wa kuitambua...
  12. S

    Zingatia mambo haya ukiwa gerezani

    Kuna watu wanasema gereza sio kaburi ila sidhani kama wawewah kufungwa, wazee jela mbaya tena sana kwa tunaopafaham panaitwa kaburi kasoro mchanga, just imagine mlo mmoja kwa siku tena ugal mkubwa ila mboga sasa unakuta majan yakunde yalokomaa maharage manne mchuzi pipa , kuoga kwa folen...
  13. S

    Serikali ya Ghana yamuiga Rais Samia kuanzisha Tozo ya Miamala. Wabunge watwangana Makonde

    Mtoa post mwalimu mkuu mama yako pamoja na wanaosapoti tozo
  14. S

    Msaada wa nafasi ya kibarua/kazi

    Sio rushwa hyo ni kama shukrani BTW niko makini sana
  15. S

    Msaada wa nafasi ya kibarua/kazi

    Wadau habari za asubuhi, Kama ilivyo mm ni muhanga wa kukosa ajira miongoni mwa vijana wengi hapa Tz, hivyo ninaomba kwa mwenye connection ya nafasi ya kazi anisaidie, popote pale ninafanya kazi walau inilipe kuanzia 200k kwa mwezi nitashuku na pia nitatoa dau la Tsh 80k kwa atakayenisaidia...
Back
Top Bottom