Search results

  1. M

    Hakuna nchi ya ajabu kama tz...,

    Umbumbu wetu watanzania ndio utaendelea kututoa kamasi, hayo ni maandalizi ya mwekezaji wa bus yaendayo kasi
  2. M

    Dr. Slaa: Baraza jipya limechoka kabla halijaanza kazi

    Ilikuwa mizigo sasa ni shehena, hivi Rais amechukua muda mrefu kutaja baraza la mawaziri haya ndio alikuwa anafikiri muda wote huu! Gosh!
  3. M

    Original Commedy yaivua nguo CHADEMA!

    Hakuna asijue kila bwenyenye anaye mtumwa, hao Original comedy ni watumwa tu nawatabaki hivyo.
  4. M

    Who owns East Africa? yanayotokea leo Tuliuliza miaka miwili iliopita humuhumu JF

    Who owns East Africa? Printable View 13th September 2011, 16:32 Mwaisumbe Who owns East Africa? It is good to be part and parcel for this forum, though I have been one of the effective participator by reading of ll what other stake holder has been contributing, I think its time...
  5. M

    Kweli sikio la Kufa halisikii dawa Tuliyaeleza haya miaka mitano iliopita

    Article Guardian Admin Messages: 273 Date d'inscription: 04/12/2008 Source http://www.ippmedia.com/ipp/guardian/2008/12/18/128364.html Future energy prospects brighter with natural gas deposits 2008-12-18 11:21:32 By Frank Mwaisumbe Energy development and access are two aspects of...
  6. M

    Janja ya CCM kutaka kutuchagulia viongozi wanaowataka imegundulika mapema sana!

    Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Freeman Mbowe na Katibu Mkuu Dr. W. Slaa, ndio viongozi makini na wenye busara ambao wakati huu wanahitajika sana kuliko wakati mwingine wowote. Chadema kwa kupitia wanachama wake inatambua kazi zao na uadirifu wao kwa Chama...
  7. M

    Who owns East Africa?

    Asante kwa kuamsha hisia kwa swali lako Jasusi, kwanza kwa tafsiri ya haraka Phobia ni hofu (fear) kwangu mimi hofu haiwezi kuwa hulka yaani tabia kama ulivyosema. Sidhani kama kuna mtanzania asiyependa kuungana, lakini naomba urudie kusoma swali langu la msingi. Napenda kukumbusha vipau mbele...
  8. M

    Who owns East Africa?

    Thank you, comment taken.
  9. M

    Who owns East Africa?

    It is good to be part and parcel for this forum, though I have been one of the effective participator by reading of ll what other stake holder has been contributing, I think its time also to share and burst of what I have, I hope most of you your saying "karibu" Asante. Well I don't want to...
Back
Top Bottom