Search results

  1. BUSH BIN LADEN

    Hivi kilichotokea mlima Hanang na Kawetele hayawezi kutokea Mwanza?

    Hivi kilichotokea mlima Hanang na Kawetele hayawezi kutokea Mwanza? Itakuwaje na ile milima ya mawe? Pia soma Manyara UPDATE: Waliofariki kwa Mafuriko Wilayani Hanang wafikia 80 na Majeruhii 133 Mbeya: Mlima Kawetele wameguka, nyumba zaidi ya 20 zadaiwa kufunikwa
  2. BUSH BIN LADEN

    Kanuni za TFF kuhusu ushirikina viwanjani.

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri. Wakuu nina swali kwa mwenye ufahamu atusaidie wana jukwaa. Tff wanatumia vigezo gani kugundua kwamba kitendo flani kilichofanyika ni cha kishirikina na kutoa adhabu kwa mujibu wa kanuni zao? Mfano hii issue ya Simba Sc kuukataa uwanja wa Azam Complex sio imani...
  3. BUSH BIN LADEN

    Jina Kilimanjaro stars kwa timu yetu ya football kwa wachezaji wa bara linachanganya.

    Habari za wakati huu ndugu zangu katika jukwaa hili? Hivi ni sahihi hii timu kuitwa Kilimanjaro stars ilhali jina kilimanjaro linawakilisha mlima na mkoa? Inaleta contradiction. Kwanini kama lengo ni kuutangaza mlima isiwe specific timu ikaitwa Mount Kilimanjaro Stars kuliko hivi sasa ambapo...
  4. BUSH BIN LADEN

    Week end

    Jf mpo? Kama mosi ni moja na pili ni mbili inakuwaje jumamosi na jumapili ziitwe siku za mwisho wa juma(week end)?
  5. BUSH BIN LADEN

    Hivi MWAUWASA wanatuuzia maji ya mvua?

    Habari za mchana huu wana jukwaa? Kuna kitu kimekua kinaendelea kwa muda sasa jijini Mwanza kinanishangaza. Kwa muda mrefu sasa kuna baadhi ya maeneo jijini Mwanza yanapitia mgao mkali wa maji kwa sababu wanazozijua. Kinachoshangaza sana ni kwamba pamoja na kwamba chanzo cha maji ya bomba...
  6. BUSH BIN LADEN

    Je, kisukari hakiwezi kutibika kwa transplant ya kongosho?

    Habari za majukumu wana jukwaa? Nimekuwa nikijiuliza hili swali. Ikiwa ugonjwa wa kisukari ni matokeo ya organ ya kongosho kushindwa kuzalisha kimeng'enya cha insulin cha kutosha kwenda ku balance kiwango cha sukari kwenye damu. Je, haiwezekani muathirika wa hili tatizo akafanyiwa upasuaji...
  7. BUSH BIN LADEN

    Sheria ya droo (sare) kwenye mpira wa miguu iangaliwe upya

    Wakuu mpo? Naamini wengi tunaangalia mechi inayoelekea mwishoni kati ya Chelsea na Man City ila pia huenda tunnangalia mechi inayoendelea kati ya Lazio na Roma ambayo huenda ikaisha kwa suluhu ya 0-0. Hivi kwa logic ya kawaida ni sahihi Chelsea na Man City walifungana 4-4 wapate point moja...
  8. BUSH BIN LADEN

    Je Tigo wanafanya sensorship kwa baadhi ya maneno kwenye msg tunazotuma?

    Habari zenu wana jukwaa? Kuna kitu kinaendelea katika huu mtandao nimefuatilia naona sio sahihi na kama wanafanya sijui wanafanya kwa sheria gani. Juzi kati hapa nilikuwa nachat na kipenzi cha roho yangu nikashangaa nikiandika neno "sex" katika sentensi zangu, text husika haiwi delivered ila...
  9. BUSH BIN LADEN

    Neno "kimoja cha nguruwe" lafanya kipindi cha Kipenga Extra East Africa Tv kifutwe mchana huu

    Wakuu habari za mchana? Nikiwa nime tune tv kufuatilia kipindi changu pendwa cha sports cha kipenga extra ni shtushwa na neno Kimoja cha nguruwe likitamkwa na mgeni Mjata Mjata shabiki kindaki ndaki wa Makolo wakiwa wanaongolea matokeo ya Man United. Naona imebidi kipindi kifutwe kabisa saizi...
  10. BUSH BIN LADEN

    Ni ipi sera ya ITV kuhusu habari za kimataifa?

    Wakuu habarini za jioni? Nimekuwa nikufuatilia hiki kituo cha televisheni kwa muda mrefu ila sikuwahi kuwaona wakiwa na habari za kimataifa nje ya East na Central Africa. Naona siku za karibuni wamekuwa wakiturushia matukio ya kinachoendelea Gaza katika habari yao ya saa 2 usiku, je huu ndo...
  11. BUSH BIN LADEN

    Tanzania Safari Channel na historia zao zisizokamiloka

    Habari wakuu Nimekuwa nikifuatilia kwa muda mrefu programs mbalimbali za kituo chetu hiki maalumu kwa ajili ya kutangaza vivutio vilivyomo ndani ya nchi yetu. Napenda sana na nafurahishwa na hii channel japo kuna kitu wananikwaza. Napenda sana historia lakini kila nikiona historia...
  12. BUSH BIN LADEN

    Madokta mpo?

    Hivi daktari wa matibabu(MD) akiwa PhD holder anaitwaje?
  13. BUSH BIN LADEN

    Happy left handers day

  14. BUSH BIN LADEN

    Rais anasifiwa hadi kwa mambo ambayo hahusiki nayo kabisa

    Wakuu habari? Hii trend ya kumsifia Rais kwa kila kitu hata ambavyo hajafanya na hahusiki navyo direct inazidi na tunakoelekea itawakatisha tamaa baadhi ya watu wenye moyo wakujitolea. Kwenye taarifa ya habari leo ITV kuna mwananchi wilayani Kibiti kajitolea eneo lenye ukubwa wa hekari 9 kwa...
  15. BUSH BIN LADEN

    Tetesi: Meli ya Tanzania inashikiliwa na vikosi vya Iran kwa wizi wa mafuta

    Habari wana jukwaa? Inasemekana meli moja inayopeperusha bendera ya Tanzania imekamatwa na vikosi vya wana maji vya Iran ikiwa na shehena ya mafuta ghafi ipatayo tani 900 ambayo ni ya wizi. --- Iran's Revolutionary Guards seized a tanker holding 900 metric tons of "smuggled fuel" and 12 crew...
  16. BUSH BIN LADEN

    Ni udongo gani ambao ukikaushwa unatumika kama chanzo cha nishati?

    Habari wana jukwaa? Naomba niende moja kwa moja kwenye mada. Leo nikiwa naangalia mapokezi ya Rais Kagame wa Rwanda nchini, TBC walirusha kipindi flani cha historia kikionyesha ziara ya Mwalimu Nyerere nchini Rwanda enzi za Rais Habyarimana. Katika ziara yake hiyo, mwalimu alitembelea kiwanda...
  17. BUSH BIN LADEN

    Jamaa atengewa hotpot lenye mkaa dinning

    Kwema wana jukwaa? Kuna jamaa yangu kakumbwa na mkasa amenisumulia nimebaki kinywa wazi. Ni hivi jamaa anaishi na mke wake na ndoa haina muda mrefu akiwa anajishughulisha na kazi za miradi ambayo huwa inamfanya awe mtu wa kusafiri sana. Sasa jamaa huwa ana utaratibu wa kuja na gunia la mkaa...
  18. BUSH BIN LADEN

    Ilani ya CHADEMA Uchaguzi wa mwaka huu itakuwa na mambo gani?

    Ni matumaini yangu hamjambo na mnaendelea na shughuli za kila siku za ujenzi wa Taifa. Wakuu nimeamua kuja na huu uzi ili tujaribu kushirikishana ni mambo yepi tunahisi/kudhani yanaweza kuwa kwenye ilani ya Uchaguzi ya chama kikuu cha upinzani nchini CHADEMA. Kama tunavyojua kila chama...
  19. BUSH BIN LADEN

    Wahaya punguzeni mbembwe

    Habari wana jukwaa. Kama kawaida ni jumapili tulivu nimepumzika naangalia Tv naona kuna tukio linaendelea Ikulu la mabalozi wa Marekani na Vietnam wanajitambulisha. Sasa katika kujua hili na hili kuhusu hili tukio na uhusiano wa Tanzania na mataifa hayo mawili naona mtangazaji Emmanuel...
Back
Top Bottom