Search results

  1. Cash Money Forever

    Msaada: Inamaanisha nini kuona muda na dakika zinazofanana kila mara?

    Yaani muda wowote ninaotaka kuangalia muda ndio nakutana na mfanano huo, iwe Asubuhi, mchana, usiku. Mfano naweza kurupuka usingizini Asubuhi nikacheki saa 05:05, labda nimekaa mahali mchana nikajiuliza hivi saa hivi saa ngapi nikakuta 13:13, 14:14, 15:15 na Kuendelea Pale muda wowote tuu...
  2. Cash Money Forever

    Msaada: Inamaanisha nini kuona muda na dakika zinazofanana kila mara?

    Hahahaha Mkuu nitake radhi katika miasha yangu sijawahi kutumia kilevi chochote
  3. Cash Money Forever

    Msaada: Inamaanisha nini kuona muda na dakika zinazofanana kila mara?

    Hapo Nimekuelewa Mkuu haswa hapo kwenye ubungo kunilazimisha kuangalia muda. Na wakati nakua naangalia nakuwa relaxed baada ya kuangalia ndio nashtuka imekuwaje tena kufanana kumejirudia
  4. Cash Money Forever

    Msaada: Inamaanisha nini kuona muda na dakika zinazofanana kila mara?

    Mimi nikawa naangalia saa nikaona hivyo hapo hapo najikuta naingia kwenye mawazo sana kujiuliza why.
  5. Cash Money Forever

    Msaada: Inamaanisha nini kuona muda na dakika zinazofanana kila mara?

    Aisee na iwe hivyo itakuwa jambo jema sana
  6. Cash Money Forever

    Msaada: Inamaanisha nini kuona muda na dakika zinazofanana kila mara?

    Habari wadau? Kwa muda mrefu sana kuna jambo huwa limekuwa likijitokeza mara kwa mara kwangu, kwamba mara nyingi nikiwa naangalia majira kwenye saa ya mkononi au simu nakuta masaa na dakika zinafanana. Mfano 02:02, 10:10, 20:20, 15:15 N.k, yaani naweza kujiuliza hivi saa hivi saa ngapi saa...
  7. Cash Money Forever

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Wazee utani kidogo tuu mmetushushia kipigo heavy aisee, tuongezeeni basi pesa kidogo kwa Kai, acheni ubahili.
  8. Cash Money Forever

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    THE BLUES poleni kwa kipigo heavy. Chelsea ikicheza mashabiki wake duniani kote wanaingia kwenye maombolezo timu yao kuwambwa msalabani.
  9. Cash Money Forever

    Magodoro aina zote yapo kwa bei ya punguzo

    Tofauti yake ni ipi?
  10. Cash Money Forever

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Hahahaha[emoji23] leo zamu yenu kutolewa
  11. Cash Money Forever

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Poleni THE BLUES kwa kuondolewa FA.
  12. Cash Money Forever

    Israel yajibu mashambulizi dhidi ya Iran. Yashambulia Iran, Syria na Iraq

    The Iranian state television reported explosions in Isfahan. Israel had promised to respond after Iran last Saturday launched a barrage of drones and missiles on the country. The United States and a number of European countries have been calling on Israel not to respond. More details to come...
  13. Cash Money Forever

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Carabao yenyewe waliifunga Chelsea mbovu.
Back
Top Bottom