Search results

  1. L

    Foleni ya kutisha Mbezi beach

    Kuna jam ya kufa mtu mitaa ya mbezi beach sasa hivi, kuanzia Lugalo kuelekea Tegeta magari hayasogei kabisa, nimekaa zaidi ya masaa matatu na sioni dalili za kusogea. Kama una mpango wa kuja Mbezi beach nakushauri tafuta tu sehemu uwe unabailisha chupa labda mpaa saa 9 usiku hali inaweza kuwa...
  2. L

    Nimekoma kutumia Airtel Money.

    Jana jioni nikiwa mitaa ya Sinza nilikuwa natafuta sehemu ambapo ningeweza kuweka Airtel Money kwenye simu yangu ili nimtumie mtu, nilikuwa nataka kiasi kama cha laki 2 mbili. Nikaanza kuulizia kwenye maduka amabyo yalikuwa na vibao vinavyoonyesha kuwa ni wakala wa Airtel Money lakini cha ajabu...
Back
Top Bottom