Search results

  1. Gentleman96

    Ramani hii itatosha kiwanja cha 280 SQM?

    Waungwana mambo vipi? Hapo chini nimepata ramani mtandaoni tu na haina vipimo sahihi. Naomba msaada kwa uzoefu wenu katika ujenzi moja wapo kati ya hizi ramani zinaweza kutosha kwenye kiwanja cha SQM 280? Kama una ramani ya 3 bedroom na gharama itakua msaada pia. ENEO LA UJENZI NI MWANZA-...
  2. Gentleman96

    Mnatumia nini kama mbadala wa free Microsoft Office?

    Mambo vipi JF . Ni muda sasa nimekuwa nikitumia free Microsoft word office ku type kazi, CV, barua n.k. Sasa siku hizi nikijaribu haikubali ku type wala ku edit chochote. Naomba msaada mnatumia nini kama mbadala wa free Microsoft Office? Note: nimetumia Libre office lakini sio nzuri sana...
  3. Gentleman96

    Kuongeza followers instagram kunafanyikaje?

    Mambo vipi wana JF? Kwa sasa kuna trending ya kuongeza followers hasa Instagram, 1. Hawa followers ni kama ulikuwa nao 100 unaweza kulipa mtu na unapata 10k followers, Kumbuka hapa sio zile app za playstore ambazo unapata followers watano, n.k Hii ndani ya 24 hours mtu anapata followers hata...
  4. Gentleman96

    Huruma malipo ya Uandikishaji Makazi Mkoa wa Mbeya

    DHURUMA MALIPO YA KUANDIKISHA POST CODE ............... (retweet hadi kwa waziri) Nasikitika kuandika kuhusu dhuruma iliofanyika Mbeya, zoezi la uandikishaji post code limefanyika Mkoa wa Mbeya na kwa wizi wa malipo kwa vijana waliofanya kazi. .. Baada ya matangazo ya kazi hiyo kutoka vijana...
  5. Gentleman96

    Natafuta kazi english medium school

    Habari wakuu! Mimi ni MWALIMU wa shule za msingi na awali, Natafuta kazi kwenye shule hizo:- 1.nina DIPLOMA IN EARLY CHILDHOOD EDUCATION 2.nina CERTIFICATE IN INFORMATION AND COMMUNICATION TECHNOLOGY. 3.NI MWALIMU WA MZURI :- *GEOGRAPHY *KISWAHILI *ENGLISH *SCIENCE...
  6. Gentleman96

    Nahitaji Kibanda cha M-Pesa bei isizidi 200,000/=

    NAHITAJI KIBANDA CHA M PESA BEI ISIOZIDI 200,000/=. Wakuu mambo vipi? Nahitaji kununua kibanda cha m pesa kiwe cha chuma au mbao. Bei isizidi 200,000/= Kama unauza au unafahamu anae uza nijulishe. Nipo Dar es Salaam/ Kinondoni.
  7. Gentleman96

    Natafuta eneo kwaajili ya mgahawa au M-Pesa. Mtaji laki tano tu

    Habari wakuu. NATAFUTA ENEO KWA AJILI YA MGAHAWA AU M PESA MTAJI LAKI TANO TU. Nimehangaika sana hapa Dar sasa nimepata laki tano kama mtaji wa kuanza kufanya biashara ndogo ndogo kwa sababu njaa ni kali sana. Hivyo nimefikiria kuanza biashara za migahawa, baba/mama lishe, m pesa au kuuza nguo...
  8. Gentleman96

    Diamond Platinumz huenda akatolewa kwenye mchakato tuzo za BET

    Hiki ndio kinachoendelea huko Twitter na mtandao wa change Movement #ChangeTanzania started this petition to bet awards and 3 others This is a call to BET Awards hosted and produced by Black Entertainment Television (BET) to disqualify Diamond Platnumz Diamond Platnumz is a world-renowned...
  9. Gentleman96

    Je, Serikali itoe ajira nyingi au itoe ajira chache kwa malipo mengi?

    JE SERIKALI ITOE AJIRA NYINGI AU ITOE AJIRA KIDOGO/ CHACHE KWA MALIPO MENGI? Kila mtu anatamani kupata kazi ili aendeshe maisha yake kwa uhuru, furaha na mambo kama hayo. Watu tuliopo mtaani ambao hatujapata ajira tunalalamika kila siku pengine SERIKALI itatoa ajira za kutosha wananchi wake...
  10. Gentleman96

    Rais Samia amemteua Dkt. Jabir Bakari Kuwe kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) akichukua nafasi ya Eng. James Kilaba.

    Rais Samia amemteua Dkt. Jabir Bakari Kuwe kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) akichukua nafasi ya Eng. James Kilaba Jabir Bakari Kuwe CV: Jabiri Kuwe Bakari (Ph.D) is a Tanzanian pracademic: his experience spans both the academic and practical realms. He is a...
  11. Gentleman96

    Natafuta fremu ya biashara ya chakula Kinondoni au Ilala

    NATAFUTA FREMU YA BIASHARA YA CHAKULA KINONDONI AU ILALA. Natafuta fremu kwa bajeti isiozidi elfu sitini kwa mwezi. Maeneo kama: Magomeni Makumbusho Kinondoni studio Mkwajuni Kanisan Magomen Mapipa Kama unayo au una taarifa NAOMBA msaada nipate hiyo frem kwa ajili ya kuuza Chai, chapati...
  12. Gentleman96

    Roma Mkatoliki atangaza kuacha muziki!

    Roma MKATOLIKI ametanganza Nia ya kucha muziki soon. Kwanza kabisa ameeleza wimbo wake wa kwanza ilitoka 2007 na sasa anatoa wimbo wa mwisho, hivyo ametoa shukrani kwa wale wote walio support kazi zake za sanaa tangu mwanzo!
  13. Gentleman96

    Nataka kurudia mtihani wa form four (Naomba msaada wa kituo cha QT Kinondoni)

    Habari ndugu zangu katika elimu! Mimi nimekuja kutafuta ushauri wa kituo gani kizuri kwa masomo ya QT, Kinachopatikana kinondoni, magomeni, Morocco, studio au maeneo karibu na hayo. Nahitaji kusoma na kufanya mtihani wa kidato cha nne mwakani Somo ni History, Geography na mathematics...
  14. Gentleman96

    Simba SC na Yanga SC kwenye game PES2020

    Itakua jambo la furaha kuona club zetu pendwa za mpira wa miguu zikipatikana kwenye games kama fifa, Pes na magame mengine! Hizo picha nimezitoa kwenye ukurasa wa habari tu za kimichezo africa zone !
  15. Gentleman96

    Kwa nilichoshuhudia coco beach nadhani hakuna corona Dar

    Leo ni siku ya PILI watu waki enjoy siku kuu ya Eid! Nimetembea hadi coco beach kwenye PARTE AFTER PARTE YA MKOA LEO, nilifika pale mida ya saa kumi jioni nikiwa nataka kuona kwa macho kama ni kweli watu wana enjoy bila hofu! Nimeshuhudia watu weeeengi kabisa watoto kwa watu wazima, watanzania...
  16. Gentleman96

    Harmonize kamrudisha Rich Mavoko kwenye game upya

    Mambo vipi! Kama unavojua rich mavoko aliondoka wasafi na kuanza kujitegemea, lakini hajawahi kutoa ngoma wala kuskika kama mwanamuziki mkubwa! sasa harmonize amesema kuhusu mchizi! Familia ngapi zipo nyuma ya Rich Mavoko na zinamtegemea yeye kwakila jambo hasa hili la kupata mkate wa kila...
  17. Gentleman96

    Sallam SK amefuta taarifa zinazomuonesha kama Manager wa Diamond Platnumz

    Mambo vipi? ......... Label ya muziki Tanzania, WASAFI ( WCB) ni label kubwa sana hapa bongo,lakini pia imekua na matukio mengi mazuri na mabaya Kuhusu management nzima. Leo jamaa Salam SK amefuta taarifa zinazomuonesha kama Manager wa Diamond Platnumz Na Diamond Platnumz pia ameweka...
  18. Gentleman96

    Hofu ya Mgonjwa wa CoronaVirus: Aga Khan wanaeleza kweli au tutarajie nini?

    Jana usiku nimeambiwa na mtu kama story tu kuwa 1... " Kuna jamaa amepatikana na ugonjwa wa corona pale Aga Khan hospital " 2. "Leo asubuh kwenye mishe mishe kariakoo nmemkuta mtu akisimulia Habari ya Corona Aga Khan " Je hizi ni taarifa za kweli au uongo? NOTE: Takribani watu 11,000...
  19. Gentleman96

    Msaada ndugu watumiaji wa Adobe Premiere Pro

    Habari za wakati, Nimekuwa nikitumia ADOBE PREMIERE PRO kuedit video zangu lakini siku hizi kama week au zaidi, 1. Nikiwasha laptop inakuwa nzito kuwaka 2. Nikifungua ADOBE pia inasumbua na inaleta ujumbe huo kwenye picha 3. Nyimbo, video, picha, zinapotea bila kufutwa Naomba msaada hapo...
  20. Gentleman96

    Nimemeza dawa iliyo expire je, ntapata madhara

    Leo nimeenda hospital na Nimeona kuwa nina vidonda vya tumbo. Lakini nimenunua dawa, nikatumia sawa sawa tu. Na sasa nimegundua ime expire! Nina wasi wasi sana, Nifanye nini?
Back
Top Bottom