Search results

  1. Gentleman96

    Ni taratibu zipi nifuate kupata uraia wa Zanzibar?

    Kwanza nimeshangaa mtu kutamani kuwa mzanzibar kwa sababu za kuoa,siasa n.k Unakumbuka Africans wakiitwa NIGA kwa ubaguzi ? Sasa Zanzibar pia unaitwa CHOGO kwa ubaguzi. Kama unatafuta maisha na sio mvivu nenda Zanzibar jaribu kule utapata pesa nyingi tu. Lakini jiandae kisaikolojia usije pata...
  2. Gentleman96

    Ramani hii itatosha kiwanja cha 280 SQM?

    Waungwana mambo vipi? Hapo chini nimepata ramani mtandaoni tu na haina vipimo sahihi. Naomba msaada kwa uzoefu wenu katika ujenzi moja wapo kati ya hizi ramani zinaweza kutosha kwenye kiwanja cha SQM 280? Kama una ramani ya 3 bedroom na gharama itakua msaada pia. ENEO LA UJENZI NI MWANZA-...
  3. Gentleman96

    Naomba kujua kama kuna watu wanakaa Dar es salaam wanafanya kazi Zanzibar

    Ndio,Watu wanakaa dar na wanafanya kazi Zanzibar . 1. Wengi ni wenye kipato kizuri jumatatu hadi ijumaa yuko kwenye biashara zake na jumamosi na jumapili yuko dar na familia Nauli ya dar to zbr mtu wa njaa njaa hawezi kumudu safari za mara kwa mara
  4. Gentleman96

    Mnatumia nini kama mbadala wa free Microsoft Office?

    Libre ninayo, nadhani configuration ndo ilikua noma, Ntachek tutorial youtube
  5. Gentleman96

    Mnatumia nini kama mbadala wa free Microsoft Office?

    Kwa matumizu ya computer sio simu mkuu
  6. Gentleman96

    Mnatumia nini kama mbadala wa free Microsoft Office?

    Mambo vipi JF . Ni muda sasa nimekuwa nikitumia free Microsoft word office ku type kazi, CV, barua n.k. Sasa siku hizi nikijaribu haikubali ku type wala ku edit chochote. Naomba msaada mnatumia nini kama mbadala wa free Microsoft Office? Note: nimetumia Libre office lakini sio nzuri sana...
  7. Gentleman96

    Kuongeza followers instagram kunafanyikaje?

    Najaribu tu, Africa ku share skills, tricks ni ngumu [emoji1]
  8. Gentleman96

    Kuongeza followers instagram kunafanyikaje?

    Wote tunajua ni bots, Lakini sio utapeli kama mtu akiambiwa kua sio real followers Naweza kuja DM unipe maelekezo?
  9. Gentleman96

    Kuongeza followers instagram kunafanyikaje?

    Kuongeza kwa lengo la kutoa huduma hiyo "yaani Kuongeza followers kwa watu wengine " Kama unafahamu, nambie
  10. Gentleman96

    Kuongeza followers instagram kunafanyikaje?

    Hawatoi skills abadani, Nimejaribu kuwaambia wanifunze niwape malipo (wamekomaza shingo)
  11. Gentleman96

    Kuongeza followers instagram kunafanyikaje?

    Mambo vipi wana JF? Kwa sasa kuna trending ya kuongeza followers hasa Instagram, 1. Hawa followers ni kama ulikuwa nao 100 unaweza kulipa mtu na unapata 10k followers, Kumbuka hapa sio zile app za playstore ambazo unapata followers watano, n.k Hii ndani ya 24 hours mtu anapata followers hata...
  12. Gentleman96

    Kama unafahamu chochote Kuhusu Zanzibar Boutique Hotels pitia hapa!

    Kama mtu hajui jambo ni bora kutojibu. 1. Kwanza kabisa Zanzibar kuna maeneo mawili ambayo ni Mjini na Shamba (vijijini) Sasa hapo mjini Hotel zipo lkn sio kwa ajili ya watu waliokuja ku relax sana. Hotel zilizoko shamba zina Beach nzuri na ni expensive kidogo, Lakini hata kwa dollar 100 per...
  13. Gentleman96

    Naomba kujuzwa jinsi ya kuanzisha kampuni ya tours!

    Kuanzisha kampuni ya tours ni muhimu kwanza ufahamu tourism vizuri au utatumia pesa nyingi na faida kidogo. 1. Umewahi kufanya kazi au una experience ya safaris, excursions hapa Tanzania & Zanzibar? 2. Kusajili kampuni ya tour na kupata wageni ni vitu viwili tofauti. Je ushawahi kupata wageni...
  14. Gentleman96

    Huruma malipo ya Uandikishaji Makazi Mkoa wa Mbeya

    Mtandao na kuandika malalamiko kipi fast ?
Back
Top Bottom