Search results

  1. J

    Currently in TZ , what is the average price for a professionally done website?

    Naomba kuuliza hili swali maana so far naona kila kampuni na kila freelancer ana bei zake kutokana na yye anavyojiona, naombeni wazoefu mnisaidie hapa, on average, typical price ya website nzuri, professionally done and maintained inakua ina range kwenye how much?
  2. J

    Ipi bora? Kulipia tangazo liwe "Sponsored Ad", au kumlipa mtu mwenye followers wengi anipost?

    Habari wadau, nipo hapa kuomba ushauri wenu, nakutana na wafanyabiashara wengi wanaofanya biashara zao kwenye mtandao wa Instagram. Katika hawa Wafanyabiashara naona wengi wanapata mafanikio wakipostiwa na watu kuliko wale wanaotangaza kwa kulipia "Sponsored Ads" lakini bado naona idadi ya watu...
  3. J

    Unatumia njia gani kuwapata wateja kwenye biashara yako?

    Nmegundua kwamba sio wafanyabiashara wengi wanatumia mitandao (Internet) kuwapata wateja wao, wakati ukweli ni kwamba kwa kutumia mitandao hasa mitandao ya kijamii unaweza kuwapata wateja wengi kwenye biashara yako na kukuza soko lako, hii ni dhahiri hata kwa wale wachache waliochagua kutumia...
Back
Top Bottom