Search results

  1. M

    Waliosoma popatlal miaka ya 1990 mpaka 1994 mpo wapi? Tuwasiliane.

    Wakuu leo napenda kutumia jukwaa hili kuomba mawasiliano na watu waliosoma shule ya sekondari ya Popatlal iliyoko Tanga. Kwa atakayeliona tangazo hili aache namba yake ya simu au barua pepe. Nakumbuka sana enzi hizo mkuu wa shule bwana K.R. CHAUDRI na walimu wengine kama vile Mrs Swai (mwalimu...
  2. M

    Mnakumbuka Bomoa Bomoa ya Ubungo miaka ya 1996? Imeleta Faida yoyote mpaka sasa?

    Wana JF nadhani mtakumbuka sana bomoabomoa ya miaka ya 1996 na kuendelea. Nakumbuka ilileta kizaazaa kweli mpaka ikageuzwa ni agenda ya kisiasa. Sasa naomba mnifahamishe kwa kuchangia. Je kuna faida yoyote iliyoonekana baada ya bomoabomoa hiyo. Maana kipindi hicho ilikuwa inaonekana ni uonevu na...
  3. M

    Hivi Seif Sharif Hamad mke wake anaitwa nani?

    Wana Jamii kuna jambo limepelekea leo kuuliza mke wa Makamu wa kwanza wa serikali ya Mapinduzi Zanzibar-Seif Shariff Hamad. Nimeanza kumtambua Seif tangu nikiwa mtoto mdogo lakini mwenye uelewa wakati ule alikuwa ni Waziri Kiongozi wa serikali hiyo ya Mapinduzi Zanzibar mpaka alipokuja kuwekwa...
  4. M

    Sheria ipi na kifungu gani kinachoruhusu wanafunzi elimu ya juu kubeba mimba au kuoa au kuolewa

    Wana JF nisaidieni. Pia wataalamu au wanojua mnifahamishe. Kwamba form Four wamemaliza mitihani na form Six wanamaliza mitihani yao mwezi wa pili mwaka kesho 2012. Lakini wote hao wangeoa, kuolewa ama kupata mimba wakiwa wanafunzi wangepata matatizo makubwa sana ikiwemo kufukuzwa shule au...
  5. M

    Kwa nini Miss tanzania hutokea Dar es Salaam tu?

    Wana JF naomba mnifahamishe au mchangie hoja hii: Kwa nini miss Tanzania huwa akishinda ni lazima awe ametokea Dar es salaam nikimaanisha Ama Miss kinondoni, Miss temeke au Miss Ilala. Hivi washiriki wanaotokea maeneo mengine kwa nini huwa hawawi Miss Tanzania?
Back
Top Bottom