Search results

  1. Ringers

    Usiwaambie watu mambo ya ndani ya ndoa yako

    Kuna mke wa mtu ni rafiki yangu yan hayo yote huwa ananiambia sijui ananiamini vipi
  2. Ringers

    Sifa za makabila mbalimbali hapa Tanzania

    Sijaona wayao humu
  3. Ringers

    PES Masters Club

    Mkuu mimi beginner kubadili formation unabonyeza wapi nina pes17 patch23 ndo nimeanza kujifua hapa
  4. Ringers

    PES Masters Club

    [emoji23][emoji23]sio powa
  5. Ringers

    Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

    Hiyo hapo mzee wangu [emoji120]
  6. Ringers

    Kila kitu unachopaswa kujua kuhusu PC games

    Mkuu hp probook 650 g1, i5-4310m intel hd graphics 4600 2.7ghz naweza kucheza euro truck 1.46?? Na gta 5
  7. Ringers

    Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

    Mkuu hivi zile safuba za boss BS 1871-2L zinakuwa na surrounding speakers 5 ndo zikoje yan kwenye mambo ya RMS hebu nisaidie shule kidogo[emoji120]
  8. Ringers

    Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

    Vipi haijakuletea tena huu ujumbe The game contains unauthorized modifications. No support is available for modified game. Incase of problem or crashes try to remove your mod packs!" Au ikileta unaignore tu?? Au ikiwa mod ambayo ni ya uhakika huo ujumbe hauji tena..
  9. Ringers

    Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

    Naona hii ndo inatulia kwangu kutokana na specifications
  10. Ringers

    Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

    Mwenye mod za magari madogo kwa version ya 1.36 hiyo ya kwanza kwenye link alizoweka mkuu kcamp anisaidie link asee[emoji120]
  11. Ringers

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kwa analysis ndogo niliyofanya week hii game nyingi zinatoa +1.5 yani nakubaliana na wewe na nimechukua hizi code ✊
  12. Ringers

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    mkuu usiogope kutuletea bwana hakuna atakae kulaumu wewe lete tufe nayo akipigika sie ndo furaha yetu akitupiga bahati yake, ni vizuri tukiwa tunamshona wengi hadi akili imkae sawa😂
  13. Ringers

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Zinapatikania site gani chief tuwe tunazipitia
  14. Ringers

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Leo mikeka 13 yote chali hapa ndo nimeamka nijiandae nilale sasa, maana hata nilivyolala nilikuwa sijijui kulikuwa na kijimkeka cha mwisho nilitegemea ningepata ile 50 ya kupunguza maumivu sijui kitimu gani kimeniharibia halafu hata sikijui. Ebwana ngoja sasa nivue viatu nilale maana...
  15. Ringers

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Nihamie single beti tu maana naona dalili ya kulazwa hospitali huu mwaka 😱
Back
Top Bottom