Search results

  1. W

    Mawakala wa oryx ifakara hapa mnafanya wizi.

    Ndg wana jf-bei ya gesi kg 6 dar ni elfu 19000,ruaha-kilombero ni 25000.Cha ajabu ifakara ndani ya muda mfupi sana bei iliruka kutnka 30000 ikaenda hadi 35000 kufumba na kufumbua 40000.jamani hii imepitiliza yaani mtungi wa kilo 6 elfu 40000.je oryx wanalitambua hili wana jf naombeni mawasiliano...
  2. W

    nimepata kazi mkoani ...najishauri!!

    <br /> <br /> Ndugu yangu nakushauri kaa mjini piga kazi.meatu kumechoka vibaya sana-mi nilipangiwa kazi ya serikali nikaenda nikakaa mwezi.nikakimbia sababu serikali initupa tu si unajua mwl.lakini pili kumechoka sana vumbi tupu,maji shida,kamji kadogo sana kama kijiji,taasisi zozote...
  3. W

    Je, Tanzania bado ni nchi ya Amani?

    Tanzania nchi ya amani sana.
Back
Top Bottom