Search results

  1. Isayalussy11

    Natumia Tecno WX3, kuna muda WhatsApp statuses za watu zinafutika zote kwenye screen bila ku-view

    Wakuu mnotumia whatsapp Mimi natumia tecno WX3, nina shida moja kuna mda statuses za watu zinafutika zote kwenye screen bila ku-view, yaani kuna kuwa hakuna Recent updates wala viewed updates, screen inakuwa empty! Nimejaribu kutumia WhatsApp zingine hali inakua hivyohivyo! Shida ni nini...
  2. Isayalussy11

    Msaada wakuu

    Wakuu mnotumia whatsapp! Mimi natumia tecno WX3 , Nina shida moja kuna mda statuses za watu zinafutika zote kwenye screen !bila ku view Yaani kuna kuwa hakuna Recent updates wala viewed updates ,screen inakuwa empty! Nimejaribu kutumia whatsapp zingine hali inakua hivyohivyo!.Shida ni nini ...
  3. Isayalussy11

    Bsc Landscape Architecture

    Habarini wana jamvi ,kwa yoyoye mwenye kuifahamu hiyo kozi hapo juu anifahamishe inahusiana na nini?,Je soko lake la ajira lipo? na vyuo gan vinavyotoa hiyo kozi?.Msaada tafadhal!.
  4. Isayalussy11

    Msaada kwa anayeifahamu kozi ya Actuarial Science

    Mimi ni mwanafunzi was kidato cha sita. ningeomba msaada kuhusu hiyo coarse kwa anayefahamu. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom