Search results

  1. M

    Je, ni nini tofauti kati ya GNI/GNP na GDP kwa Kiswahili? Ni yote "pato la taifa"?

    Pato la Taifa ni GNI/GNP au GDP? "Nominal" - itakuwa kinaganaga? Ufafanuzi kwa Kiingereza: GNP Gross National Product (kisawe = gross national income GNI): total domestic and foreign output claimed by residents of a country, consisting of gross domestic product (GDP), plus factor incomes...
  2. M

    Pato la Taifa ni GNP (Gross National Product) au GDP (Gross Domestic Product)?

    Hamjambo je tunao hapa wataalamu wa uchumi? Pato la Taifa ni GNP au GDP? Nominal - itakuwa kinaganaga? Ufafanuzi kwa Kiingereza: GNP Gross National Product (kisawe = gross national income GNI) : total domestic and foreign output claimed by residents of a country, consisting of gross domestic...
  3. M

    Urusi-Ukraine ni jaribio la ukoloni mpya. Tanzania ipo kimya, kwanini?

    Uvamizi wa Ukraine pamoja na maelezo ya rais wa Urusi ni jaribio la kuanzisha ukoloni mpya. Nchi nyingi zinadai Urusi itoke tena katika nchi jirani na kulipia fidia. Balozi wa Kenya alihotubia Umoja wa Mataifa akilaumu matendo ya Urusi. Tanzania ni kimya. Kwa nini? Serikali haielewi ni nini...
  4. M

    Benin opposition leader Madougou sentenced to 20 years in prison (tulinganishe TZ na Benin!)

    Nauliza tu: Baina Tanzania na Benin, nani alibuni mbinu huu, nani alikopi ??? Benin opposition leader Reckya Madougou has been sentenced to 20 years in jail for terrorism by a special court in the capital Porto-Novo, following a brief trial that her lawyers condemned as a "political attack"...
  5. M

    Je, unajua habari za Kionga, ambayo ingekuwa sehemu ya Tanzania?

    Pembetatu ya Kionga ilikuwa eneo dogo la kilomita za mraba 395 kusini mwa Mto Rovuma kwenye Bahari ya Hindi, ambayo ilienea kaskazini mwa Rasi Delgado . Ndani ya eneo hilo kuna mji wa Kionga (Kireno "Quionga"), ambao mwaka wa 1910 ulikuwa na karibu wakazi 4,000. Eneo hili lilikuwa sehemu ya...
  6. M

    Je, umeshasikia habari za Waafrika wa Bombay?

    The Bombay Africans in the 19th century, Waafrika waliookolewa na wanamaji Waingereza kutoka jahazi zilizobeba watumwa kwenye Bahari ya Hindi; wengi walikuwa vijana, watoto au wanawake. Waingereza waliwapeleka kwenye vítuo maalum huko Uhindi - Bombay; maana waliona wakiwarudisha pwani la Afrika...
  7. M

    Zanzibar 1966 na Gurnah

    Naomba msaada kutoka mtu anayejua vizuri historia ya Zanzibar. Abdulrazak Gurnah aliyeshinda Tuzo la Nobel la Fasihi alizaliwa 1948 akaondoka kwenda Uingereza alipokuwa na umri wa miaka 18. Nimesoma mara kwa mara alipaswa kukimbia; magazeti mengi yanaandika kwamba alipaswa kuwa mkimbizi kwa...
  8. M

    Vijiji vingapi vinapata umeme hali halisi?

    Nasoma kwenye Daily News ya tar. 27 Septemba kuwab"Dodoma regional Commissioner, Mr Anthony Mtaka thanked the President for supporting the region to address a number of challenges. Others are rural electrification projects saying that out of 531 villages in the region, 461 have been connected...
  9. M

    Ujerumani: Mbunge mwenye asili ya Senegal ameshinda jimbo la uchaguzi

    Karamba Diaby alishinda jimbo la Halle (Saale) kwenye uchaguzi mkuu nchini Ujerumani tarehe 26 Septemba. Dk Karamba alizaliwa Senegal akafika Ujerumani akiwa mwanafunzi mnamo mwaka 1986. Baada ya kuhitimu shahada ya uzamivu ya kemia alianza kujihusisha na siasa akajiunga na Chama cha...
  10. M

    The Guardian ya IPP Media imenunuliwa na China?

    Nikiangalia leo tovuti ya The Guardian hapa THE GUARDIAN | IPPMEDIA ninakuta vichvya vya habari vifuatavyo kwenye ukurasa mmoja : CPC's-great-practice-offers-inspirations-says-turkish-party-leader" CPC’s 100-year history is a heroic legend: Turkey’s Patriotic Party...
  11. M

    Africa (Tanzania) could face vaccine-resistant Covid

    Soma wanachosema madaktari mabingwa wa Afrika; Tanzania itaendelea kulala hadi itakapoamka? Why Africa could face vaccine-resistant Covid Summary : New variants of the SARS-CoV-2 are rapidly spreading across continents and multiple variants are emerging in Africa, some deadlier, as the...
  12. M

    Kura moja ya Lindi ina uzito mara tano ya Dar. Nani ameamua?

    Kura moja ya raia wa Lindi inabeba uzito kisiasa mara tano kuliko raia wa Dar es Salaam. Kwa nini? Angalia namba (nazitumia za 2016 na 2010, 2020 sijaona lakini kimsingi ni vile): Dar es Salaam wakazi 5,465,420 (2016), majimbo ya bunge 10, maana raia 546,000 = mbunge 1 Lindi wakazi...
  13. M

    Africa medics warn of India-like Covid surge

    Sijaona bado maagizo kuhusu sharti ya kuvaa barakoa, hasa kwenye mabasi, wakati wa kuingia katika majengo ya serikali n.k. Tanzania si serious, ila virusi ni serious! Soma hiyo (Citizen ya leo): 'Act now': Africa medics warn of India-like Covid surge Some countries, including the Democratic...
  14. M

    Mjumbe wa Kenyatta na Rais Samia - mbona ni mmoja tu mwenye barakoa?

    Mjumbe wa Kenyatta na Rais Samia - mbona ni mmoja tu mwenye Barakoa? Suluhu hosts CS Amina for diplomatic talks, vows to restore ties with Kenya - Kenya and Tanzania's diplomatic relations deteriorated during the late president John Pombe Magufuli's tenure During his reign, Magufuli made it...
  15. M

    Karl Peters - baba wa taifa kihalisi?

    Katika Tanzania tumezoea kusema Mwalimu Julius Nyerere ndiye Baba wa Taifa. Hii ni kweli kwa kwa taifa la kisasa la Tanzania. Maana Nyerere pamoja na Abeid Amani Karume wa Zanzibar waliamua kuunganisha nchi za Tanganyika na Zanzibar kuwa nchi moja. Ila tu Mwalimu Nyerere aliwahi kuwa kiongozi...
  16. M

    Maana ya Mrima

    Mrima (kwa Kiingereza: Mrima Coast) ni jina la sehemu ya pwani ya Afrika ya Mashariki inayotazama Zanzibar. Wenyeji wake walijulikana kama Wamrima ilhali kati yao walikuwa watu wa makabila mbalimbali. Kimrima kinahesabiwa kuwa kati ya lahaja za Kiswahili. Mipaka ya eneo hili ilielezwa tofauti...
  17. M

    Makonda anataka mahubiri kilabuni

    https://www.thecitizen.co.tz/news/1840340-5265814-9bxbkk/index.html Nimependa habari hii: Dar es Salaam RC gives greenlight to preach in night clubs Naona nafasi nzuri! Twende kilabuni, tumwambie mwenye baa salamu za Makonda, (wanamwogopa, kumbuka: hakuna aliyekuwa tayari kuingia kwenye mnada wa...
  18. M

    Global Positioning System (kifupi: GPS) ni kitu gani?

    Global Positioning System (kifupi: GPS, kwa maana: Mfumo wa mwongozo kote duniani) ni mfumo wa kupima na kutambua kimakini kila mahali duniani ukitumia satelaiti. Misingi Satelaiti kama 30 zinazunguka Dunia muda wote kwenye njia maalum. Zinakaa kilomita 20,000 - 25,000 juu ya uso wa ardhi na...
  19. M

    Pakistan vet charged with blasphemy ovr medicine "wrapped in religious text"

    "A Hindu veterinary doctor in south-east Pakistan has been charged under the country's strict blasphemy laws after allegedly selling medicine wrapped in paper bearing Islamic religious text. An angry crowd set fire to his clinic near Mirpur Khas, Sindh province, and other Hindu-owned shops were...
  20. M

    Hai DC donates vehicle to CCM ??

    (IPP Media) "HAI District Commissioner Lengai Ole Sabaya yesterday donated a vehicle bought in collaboration with development stakeholders in the area to CCM to enable the ruling party follow up implementation of its manifesto. Speaking during hand over ceremony to the Kilimanjaro CCM regional...
Back
Top Bottom