Search results

  1. M

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Hmm Warusi walikuwa na kazi nyingi kugandamiza upinzani. Kherson nakumbuka wananchi waliandamana sana wiki za kwanza hadi wengi walikamatwa na kupigwa. Putin alilazimishwa kuendesha referendum kwa mbio maana alihitaji kitu cha kuonyesha baada ya kupigwa vibaya vile katika maeneo ya Kharkiv...
  2. M

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Ona ramani ya LYman leo. Putin alikataza askari wake wasirudi nyuma. Hivyo alitoa hukumu ya mauti kwao (au ya kufungwa). Kuna njia moja tu kutoka Lyman kuelekea Mashariki - njia hii iko umbali kwa silaha za kila aina hata silaha ndogo za Ukraine. Mara itakapotokea, tuwasikie tena waimbaji wa genius!
  3. M

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Safi. HAdi jana Waukraine hawakuruhusiwa na Marekani kupiga eneo la Urusi. Sasa wanaweza kuendelea kupiga eneo la Urusi na wakati huohuo wako nyumbani kwao...
  4. M

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Haifurahishi kusikia ujinga, tena ikiunganishwa na propaganda wa mbaguzi, mlawiti na mwizi Trump.
  5. M

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Maskini, wanabaki peke yao kwenye uwanja. Hata wakijaribu kumchafusha Katibu Mkuu wa UM anayefanya tu kazi yake na kukumbusha misingi ya sheria ya kimataifa iko namna gani. Tuone Putin anaweza kununua wangapi watakaotambua wizi wa maeneo hayo.
  6. M

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Na wewe unavutwa sana na topic ya ushoga? Basi ufurahie Urusi ilifuta sheria ya kukataza ushoga mwaka 1996 hivi. Hama tu.
  7. M

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Angalau waliazima kwenye makumbusho. Masikini huyu. Kweli hawana silaha halisi kuwapa hao vijana wanaolazimishwa?
  8. M

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Mbona unaleta video ambayo huelewi? Hao jamaa wote ni wageni na watalii wa kidini. Katika Ukraine kuna maeneo makubwa yaliyokaliwa hasa na Wayahudi hadi 1941 kabla hawajauawa (Maangamizi makuu dhidi ya Wayahudi wa Ulaya - Wikipedia, kamusi elezo huru). Kuna makaburi ya marabi mashuhuri...
  9. M

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Muone hali ya mstari wa mapigano leo jioni huko Lyman karibu na Slyovansk / Kramatorsk. Nyekundu ni eneo linalosjikwa hapa na Warusi. Inasemekana Putin alikataza wasirudi nyuma. Hivyo wako hatarini kuzungushwa.
  10. M

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Jamani Mungu abariki roho yako ya kitoto! Waliondoka Urusi ni wanaume 300,000 hivi. Wewe unaamini ni majasusi?? 😂😂😂 Yaani miaka hii yote walikuwepo majasusi 300,000 nchini Urusi na huduma za usalama wa Putin hawakujua kitu?? Safi sana!! Au ni kawaida yako kutumia maneno kama matusi tu bila...
  11. M

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Ndiyo, bomba la Northstream 2 kutoka Urusi hadi Ujerumani ilikuwa tayari tangu 2021 na kujaa gesi. Ndani ya Ujerumani kulikuwa na majadiliano kuifunga au la. Marekani, Poland na nchi za Baltiki pamoja na Ukraine zilipinga bomba hili zilidai Ujerumani lisitumie wakaona hatari ya kutegemea Urusi...
  12. M

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Mali ya Urusi? Kwa sababu Bwana Putin anaandika jina kwenye karatasi?? Unachekesha. Kati ya Mikoa minne, kuna moja tu ambako ameshashika zaidi ya 90% - kwa sasa. Mji wa Zaporishia (makao makuu ya mkoa) hana. Donetsk ana 60% hadi sasa... Unapenda hadithi za Abunuwasi ?
  13. M

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Hakuna aliyeleta habari kwamba Urusi haina chakula. Wote wanajua Urusi bado kuna chakula tosha. Unadanganywa na propaganda au umeamua kusambaza propaganda. Habari ilikuwa vikosi kadhaa za Urusi zilitumwa (na zinatumwa) katika mapigano bila chakula cha kutosha. Ambacho ni ukweli Mtupu...
  14. M

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Nani anaathirika kiuchumi kutokana na kubomoa bomba ambako hakuna gesi inayosafirishwa? Maana tangu wiki hakuna m³ iliyopita?? Labda ile ya kuepukana na kulipishwa kwa kuvunja mikataba . . ?
  15. M

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Paniki ya MArekani??? Utulivu wa Urusi inayoona raia zake kupanga foleni mpakani ili waondoke??? Sijui unaishi mwezi gani??
  16. M

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Naamini una uwezo wa kusoma mwenyewe habari. Sijui kama unataka kusikia habari halisi. Ni shauri lako. Siwezi kufurahia kama nchi kama Urusi inatuma watu wake wafe - na wasioandaliwa watakufa wengi. Habari za Warusi eti wanatumwa bila maandalizi ni nyingi. Orodha zinazorushwa na askari wapya...
  17. M

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Hizi habari za ajabu. Kuhusu askari mpya kupewa bunduki zenye kutu. Askari kutumwa mbele kwenye mapigano hata bila mafundisho ya wiki moja?? newsweek.com Mobilized Russians Sent to War After Two Days of Training: Rights Group Russian State Media Figures Rail Against Army’s Mobilization...
  18. M

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Hapana wameshaahirisha. Bunge la Urusi halikai hadi Oktoba. Kumbe
  19. M

    Je, mbunge Luhaga Mpina ndiye aliyechukua nafasi ya kiongozi wa upinzani Bungeni?

    Siyo alikuwepo mserikalini, waziri, wakati ule? Ameshasahau??
Back
Top Bottom