Search results

  1. R

    Ifahamu kiundani Hifadhi ya Burugi-Chato itakayozinduliwa na Rais Magufuli

    Mwaka 2018 serikali iliyapandisha hadhi mapori ya akiba matano (5) yaliyomo Mkoani Kagera, kutokana na maamuzi hayo mapori hayo matano yalitengeneza hifadhi mbili za Taifa ambapo hifadhi ya Biharamulo, Burigi na Kimisi zitatengeneza hifadhi iliyopendekezwa kuitwa BURIGI-CHATO. Huku Ibanda na...
  2. R

    Ubalozi wa Marekani umekiri kuwa umefanya makosa ya kutoa tetesi kuhusu shambulio

    Tarehe 19 June 2019, Ubalozi wa Marekani Nchini Tanzania ulitoa taarifa katika mitandao ya kijamii “Twitter” kuhusu angalizo la kiusalama “security alert”. Angalizo hilo la kiusalama lilitokana na uvumi unaodaiwa na ubalozi huo kusambaa kuhusu uwezekano wa kutokea kwa shambulio katika baadhi ya...
  3. R

    Tuijadili Hifadhi ya Taifa ya Burigi-Chato Kiuchumi na siyo kisiasa

    Mwaka 2018 serikali iliyapandisha hadhi mapori ya akiba matano (5) yaliyomo Mkoani Kagera, kutokana na maamuzi hayo mapori hayo matano yalitengeneza hifadhi mbili za Taifa ambapo hifadhi ya Biharamulo, Burigi na Kimisi zitatengeneza hifadhi iliyopendekezwa kuitwa BURIGI-CHATO. Huku Ibanda na...
  4. R

    Wizara ya Mambo ya Nje yatangaza nafasi za masomo Misri

    Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imepokea nafasi za masomo ya muda mrefu katika fani ya Sayansi kutoka Serikali ya Misri. Masomo hayo ambayo ni kwa ngazi ya Shahada ya Uzamili na Uzamivu yatatolewa kwenye Chuo Kikuu cha Alexandria kilichopo nchini Misri chini ya...
  5. R

    Bunge lamlilia Dkt. Reginald Mengi

    Spika wa Bunge, Job Ndugai kwa niaba ya Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ameungana na Watanzania kuomboleza kifo cha Dkt. Reginald Mengi na kueleza mchango wake mkubwa kwa taifa. Spika Ndugai ametumia dakika mbili kuoeleza mchango wa Dkt. Mengi katika Taifa na namna wakavyomkumbuka...
  6. R

    Kauli nzito kuelekea ramadhan

    Mufti Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abubakari Zuberi amewaomba wafanya biashara nchini kutopandisha bidhaa mbalimbali kuelekea kipindi hiki cha mfungo wa ramadhani, huku akiwataka Waislamu wote kuwa macho ifikapo mwezi 29 ili kupata taarifa sahihi juu ya mwandamo wa mwezi huo.
  7. R

    RC Simiyu akabidhi kompyuta 100 kwa shule za Simiyu

    Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Anthony Mtaka (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wakuu wa shule, wanafunzi wa shule ya sekondari Bariadi na Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano anayeshughulikia Mawasiliano, Dkt. Jim Yonaz na Mkuu wa Mkoa wa Simiyu...
  8. R

    Muhimbili (MOI) kwa kushirikiana na Taasisi ya BMVSS ya India zinatarajiwa kuendesha upimaji na kutoa bure zaidi ya miguu bandia 600

    Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) kwa kushirikiana na Taasisi ya BMVSS ya India zinatarajiwa kuendesha upimaji na kutoa bure zaidi ya miguu bandia 600 kwa watakaohitaji. Watu wenye uhitaji wa miguu hiyo wametakiwa kufika MOI ndani ya mwezi huu kwa ajili ya vipimo na maelekezo mengine na...
  9. R

    Kisutu: Mahakama yakataa Mdhamini wa Lissu kujitoa kwenye kesi akidai hana mawasiliano na mshtakiwa

    Mdhamini wa Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu, Robert Katula, katika kesi ya uchochezi inayomkabili mbunge huyo na wahariri wa gazeti la Mawio, amedai mshtakiwa huyo hana ushirikiano hivyo anaomba kujitoa. Katula ametoa madai hayo leo Jumatatu Machi 25, katika Mahakama ya Hakimu Mkazi...
  10. R

    Serikali yatangaza ajira 500

    Serikali imetangaza kutoa ajira 500 kwa walimu watakaopangwa kwenye shule ili kusaidia wanafunzi wenye ulemavu. Makamu wa Rais Samia suluhu hassan amezungumza katika Sherehe za ugawaji tuzo za I CAN zilizoandaliwa na Taasisi ya Dk Reginald Mengi inayoshughulika na watu wenye ulemavu, amesema...
  11. R

    Serikali yaanza kugawa bure mafuta kwa wenye ualbino

    Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan amesema watu wenye ualbino wataanza kupatiwa mafuta ya kuzuia miale ya jua bure, kutoka katika hospitali za mkoa na wilaya kote nchini. Ameyazungumza hayo akiwa katika utoaji tuzo za I CAN zilizo andaliwa na Taasisi ya Dr. REGNALD MENGI kwa watu wenye ulemavu...
Back
Top Bottom