Search results

  1. R

    Ifahamu kiundani Hifadhi ya Burugi-Chato itakayozinduliwa na Rais Magufuli

    Mwaka 2018 serikali iliyapandisha hadhi mapori ya akiba matano (5) yaliyomo Mkoani Kagera, kutokana na maamuzi hayo mapori hayo matano yalitengeneza hifadhi mbili za Taifa ambapo hifadhi ya Biharamulo, Burigi na Kimisi zitatengeneza hifadhi iliyopendekezwa kuitwa BURIGI-CHATO. Huku Ibanda na...
  2. R

    Baadhi ya Wabunge wapokea fedha chafu Morena Hoteli, Dodoma

    Jamii inapaswa kujua kuwa Sheria hiyo inafanyiwa marekebisho ili iwe rahisi kuwahudumia wananchi wanaotaka kuwa na NGOs. Pia itapunguza utitiri wa taasisi za kusimamia jambo moja
  3. R

    Ubalozi wa Marekani umekiri kuwa umefanya makosa ya kutoa tetesi kuhusu shambulio

    Tarehe 19 June 2019, Ubalozi wa Marekani Nchini Tanzania ulitoa taarifa katika mitandao ya kijamii “Twitter” kuhusu angalizo la kiusalama “security alert”. Angalizo hilo la kiusalama lilitokana na uvumi unaodaiwa na ubalozi huo kusambaa kuhusu uwezekano wa kutokea kwa shambulio katika baadhi ya...
  4. R

    Hoja kuu mbili kuhusu taarifa iliyosambazwa na ubalozi wa Marekani, Tanzania

    Vyombo vya ulinzi na usalama vipo macho
  5. R

    Hoja kuu mbili kuhusu taarifa iliyosambazwa na ubalozi wa Marekani, Tanzania

    Na, Ibrahim Haroub Geveva Nikiwa katika shughuli za kikazi za Umoja wa Mataifa hapa Geneva, nimefadhaishwa na namna Ubalozi wa Marekani Tanzania ulivyotoa taarifa ya UZUSHI huko Tanzania. Mwaka 1998, hao ndugu walipigwa na hawakutoa tahadhari yoyote Dar es Salaam wala Nairobi. Nakumbuka...
  6. R

    Tuijadili Hifadhi ya Taifa ya Burigi-Chato Kiuchumi na siyo kisiasa

    Mwaka 2018 serikali iliyapandisha hadhi mapori ya akiba matano (5) yaliyomo Mkoani Kagera, kutokana na maamuzi hayo mapori hayo matano yalitengeneza hifadhi mbili za Taifa ambapo hifadhi ya Biharamulo, Burigi na Kimisi zitatengeneza hifadhi iliyopendekezwa kuitwa BURIGI-CHATO. Huku Ibanda na...
  7. R

    Magufuli na CCM yako waoneeni huruma watoto hawa

    Kutoa taarifa za uongo ni kosa kisheria,hicho kitu ulichopost sio Tanzania bali ni kenya na nawashangaa jamii forum mnaiacha taarifa hii inasambazwa wakati haijakamilika.Tunataka mtoa taarifa atueleze hii picha kaitoa wapi.
  8. R

    Katibu Mkuu wa CCM, Bashiru Ally amuombea msamaha RC Makonda Askofu Shoo amuita madhabahuni asamehewe

    Wanatakiwa wajue nchi yetu ni ya amani sana na ndio maana huwa nashangaa watu wanavyosema inaudectetor wakati watu wanamtukana rais na bado inanyamaza kimya.Kwenye mitandao kuna uhuru wa kutosha kabisa lkn watu wanasema ni nchi ya udectetor ivi wanajua maana ya hilo neno.Sasa huyo aliyemtusi...
  9. R

    Huyu Mlinzi wa Rais Magufuli kapatwa na majanga gani tena?

    Hiyo sio kazi yako ndugu na hayo hatuyataki sisi wananchi,sisi tunachotaka nikuleta sera za maendeleo hayo mambo ya private issue peleka huko kama huna la kuandika kaa kimya ushauri vya wenzako vyenye maana.
  10. R

    Wizara ya Mambo ya Nje yatangaza nafasi za masomo Misri

    Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imepokea nafasi za masomo ya muda mrefu katika fani ya Sayansi kutoka Serikali ya Misri. Masomo hayo ambayo ni kwa ngazi ya Shahada ya Uzamili na Uzamivu yatatolewa kwenye Chuo Kikuu cha Alexandria kilichopo nchini Misri chini ya...
  11. R

    Bunge lamlilia Dkt. Reginald Mengi

    Spika wa Bunge, Job Ndugai kwa niaba ya Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ameungana na Watanzania kuomboleza kifo cha Dkt. Reginald Mengi na kueleza mchango wake mkubwa kwa taifa. Spika Ndugai ametumia dakika mbili kuoeleza mchango wa Dkt. Mengi katika Taifa na namna wakavyomkumbuka...
  12. R

    Kauli nzito kuelekea ramadhan

    Mufti Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abubakari Zuberi amewaomba wafanya biashara nchini kutopandisha bidhaa mbalimbali kuelekea kipindi hiki cha mfungo wa ramadhani, huku akiwataka Waislamu wote kuwa macho ifikapo mwezi 29 ili kupata taarifa sahihi juu ya mwandamo wa mwezi huo.
  13. R

    Mwenyekiti CHADEMA Wilaya ya Chato, Steven Nyororo atangaza kujiunga CCM

    JPM atawaondoa wengi sana..........na 2020 atashinda kwa asilimia 90 kumi zitazobaki ndo watagawana wapinzani
  14. R

    Arab Contractors wakabidhiwa Billion 688.6 kama malipo ya awali mradi wa umeme wa maporomoko ya mto Rufiji

    Hongera kwa serikali ya awamu ya tano kwa kuanza mradi mkubwa wa umeme hii itakuwa ni suluhuhisho la uhaba wa nishati ya umeme nchini. VIVA MAGUFULI
  15. R

    Aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Baraza la Vijana CHADEMA Tanzania Bara, Getrude Ndibalema ahamia CCM

    Aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Baraza la Vijana CHADEMA Tanzania Bara,Getrude Kokwenda Ndibalema amejivua uanachama wa Chama hicho kuanzia jana April 16,2018 na kujiunga na chama cha Mapinduzi CCM,uamuzi huo ameufanya jijini Dodoma katika ukumbi wa Makao makuu ya CCM
  16. R

    James Lembeli atoboa siri kuhama CHADEMA na kurudi CCM

    Wapo watu wengi ambao wanatamani sana kurejea CCM, ila wanaogopa kuchekwa. Suala kubwa hapa ni kumuunga mkono Rais MAGUFULI kwa ngivu zote ili kulijenga taifa
Back
Top Bottom