Search results

  1. Artifact Collector

    Hakuna mahali watu wanaishi kwa kuigiza na kutolea stress zao kama JamiiForums

    Ukifungua nyuzi nyingi huku jamiiforums utashangaa sana kwenye section ya comment kila mtu ana-vimba mfano kama mtu amekuja kuomba msaada utastaajabu watu wanavyotoa majibu ya hovyo sana na yasiyojali utu. Jamiiforums ni sehemu ya watu kutolea stress zao, ni kawaida sana jamiiforums mtu kuanza...
  2. Artifact Collector

    Kukithiri kwa wingi kwa pombe fake, Mamlaka imeshindwa kudhibiti?

    Kumekuwepo kwa kukithiri kwa wingi kwa pombe fake hapa Tanzania ni kama mamlaka imeshindwa kudhibiti hali imekuwa mbaya sana serikali ionee huruma wananchi wake huko mbeleni hali itakuwa mbaya sana. Ukiwa bar kuanzia saa sita usiku na kuendelea bia zinazouzwa mida hii nyingi ni fake.
  3. Artifact Collector

    TRA inazalisha mabilionea wengi kupitia wafanyakazi wake

    Sina chuki na wafanyakazi wa TRA bali naongelea uhalisia TRA ndo inayoongoza kuzalisha mabillionnaire wengi vijana wadogo wanamiaka michache kazini wanamiliki utajiri wa kutishi magari ya kifahari na mahekalu na wafanyakazi wa TRA weekdays anaenda na gari la kawaida mfano wa ict alafu weekend...
  4. Artifact Collector

    Wakati mzee kilomoni anapinga janja ya Mo dewji alionekana mbaya

    Mzee kilomoni aliona mbali sana na alipinga janja janja ya mohamed dewji kipindi kile cha mabadiliko ila wana-simba wengi walimbeza na kumuona msaliti na anayekwamisha mabadiliko Ukweli ni kwamba kilomoni aliona mbali sana leo hii simba mwenyekiti anatumia gharama kubwa ya kumleta manzoki...
  5. Artifact Collector

    Surat al jini iliyotafsiriwa kiswahili

    Hivi kuna surat al jin iliyotafsiriwa kiswahili mwenye nayo aitume huku kama pdf ili nasisi tuweke kuya-control hayo majini mazuri
  6. Artifact Collector

    Maajabu ya Wilaya ya Lushoto

    Maajabu sio lazima kuwe na mastori ya kutisha ambayo asilimia kubwa ni uongo mfano mzungu akija huku afrika akaona kulivyo kuchafu, dis-organized vumbi kila sehemu atastaajabu sana Haya kwangu ni maajabu Wengi wa watu wakisikia Wilaya ya Lushoto wanapata picha ya haraka haraka kwamba wenyeji...
  7. Artifact Collector

    U.S Federal Reserve wakiadopt expansion monetary policy uhaba wa dola uliopo dunian utaondoka

    Baada ya corona kuisha kulikua na inflation kubwa dunian marekani kupitia federal reserver waliamua ku-implement contraction monetary policy kwa kuongeza interest rate ili kupunguza fedha kwenye mzunguko na hatimaye kupunguza inflation Madhara ya contraction monetary policy Kuongeza riba ya...
  8. Artifact Collector

    Simba wameweka rekodi ya kipekee kwenda Pre Season bila ya Kocha Mkuu wala Msaidizi

    Unaenda Pre Season bila ya Kocha Mkuu, Msaidizi, na bado unatumia jezi ya msimu uliopita, hii ni record Simba wameweka. Inshort wameenda Pre Season bila ya kuwa na bench la ufundi.
  9. Artifact Collector

    Kitendo cha Serikali ya Sweden kumpa kibali muislamu kuchoma Biblia na Torah nje ya Ubalozi wa Israel ni kitendo cha kijasiri sana

    Kitendo cha serekali kumpa mtu ambaye ni muislamu mhamiaji kutoka Syria kuchoma biblia na torah nje ya ubalozi wa Israel kama njia ya kulipiza kisasi kwa kuchomwa quran nje ya ubalozi wa Iraq mwezi uliopita ni kitendo cha ujasiri sana. Na pia kimeonyesha pasipo shaka wazungu wako mbali sana...
  10. Artifact Collector

    Hiki ndiyo kipimo kidogo cha viongozi wa nchi husika kama wana upeo mkubwa

    Ukienda kwenye nchi yeyote kipimo cha haraka haraka ili ujue viongozi wao wana akili ya kuona mbali angalia mipango miji Mfano kama umeenda western countries, china, japan, au gulf countries kwa mara ya kwanza kabisa kitu ambacho kitavutia macho yako ni jinsi miji yao ilivyopangiliwa na kila...
  11. Artifact Collector

    Hotel ipi dar nzuri iliyoko mbezi beach kwa kufanya tafrija ndogo

    Ni hotel ipi dar nzuri ambayo unaweza fanya tafrija ya watu kama 30 hivi ambayo ipo maeneo ya mbezi beach
  12. Artifact Collector

    Nimejaribu kuelezea maana ya kuishi na mwanamke kwa akili

    Moderator naomba usifute uzi au kuunganisha. Pia uzi haujajikita kumjua mwanamke bali ni jinsi ya kuishi nae kwa sababu tunaishi na wanawake kama wapenzi wetu na kama wake Na pia ni mtizamo wangu kwako msomaji unaweza usihafiki Kwa mda nilioishi hapa dunian huu ndo mtizamo wangu na maon yangu...
  13. Artifact Collector

    Alichofanya Magufuli kwenye uchaguzi wa 2020 matunda yake ndo tumeanza kuyaona jana terehe 10/6/2023

    Mwaka 2020 kwenye uchaguzi wa Tanzania kulifanyikia uharamia ambao hakuwah kufanyika kwa mtu ambaye mara kwa mara utamuona jumapili akiomba aombewe Bunge la chama kimoja lilikua ni lengo na matamanio ya magufuli lengo ni kuhakikisha jambo lolote lile atakalopeleka bungen hakuna atakayepinga ila...
  14. Artifact Collector

    Who control houses of wisdom across the world (nani msimamiz wa nyumba za hekima zilizopo maeneo mbalimbali duniani)

    Katika maisha yangu yote sikuwahi kujua hiki kitu ebu nishare na wewe Miaka flan nilisoma mistari ifuatayo kwenye biblia Mstari wa kwanza huu hapa Mithali 8:1-36 1.Je, hekima haitani? Je, ufahamu hapazi sauti? 2.Juu ya miinuko karibu na njia, penye njia panda, ndipo asimamapo; 3.kando ya malango...
  15. Artifact Collector

    Ukiangalia ukwasi waliokuwa nao wafanyakazi wa bandari na ufanisi ni mdogo ni bora bandari ipewe mwekezaji

    Mod nakuomba huu uzi usiunganishe Ukiangalia hapa duniani management ni tatizo kubwa tuliokua nao waafrika sehemu yeyote katika nchi za kiafrika watu wanapigania matumbo yao na sio uhai na ufanisi wa taasisi au kampuni husika. Ukiangalia ukwasi waliokua nao wafanyakazi wa bandari binafsi...
  16. Artifact Collector

    Ijue sababu ya vita vya wenyewe kwa wenyewe vinavyopiganwa Sudan kwa sasa

    Tokea mwaka 1958 sudan yameshatokea majaribio almost 36 ya kupindua serekali kwa lugha nyepesi sudan ni moja ya nchi ngumu sana kuiongoza afrika Mwanzon wa miaka ya 2000 kulikua na vuguvugu la waasi darfur rais wa wakati huo omar al bashir alianzisha janjaweed ambao ni kama kikosi maalumu kwa...
  17. Artifact Collector

    Baada ya US Federal reserves kupandisha interest rate madhara yake yameanza kuonekana

    Baada ya watu kutoka lockdown iliyoshababishwa na corona kulipelekea watu kuwa na hela nyingi huku uzalishaji production ikiwa chini kilichotokea ni inflation kuwa juu karibia nchi zote dunia Marekani kama taifa lenye uchumi mkubwa waliamua kupambana na inflation kwa kupandisha interest rate...
  18. Artifact Collector

    Tujifunze ujasiri wa Zelensky Rais wa Ukraine

    Usipokua mtu wa kuappreciate mambo mazuri wanayoyafanya wenzako ni ngumu sana kujifunza na kufanikiwa Sisi waafrika hatu-appreciate mambo mazuri ya watu wengine ndo maana tuko vilevile, ni rahis sana kwa mwafrika kumuona mwezake amefanikiwa balaa ya ku-appreciate ataanza kumtuhumu ni...
  19. Artifact Collector

    Zitambue aina za akili ambazo binadamu wamekirimiwa

    Zifuatazo ni aina za akili ambazo binadamu wamekirimiwa Akili ya darasani, mara nyingi watu wenye akili ya darasani huwaga wanafaulu sana masomo yao na hii inatokana na uwezo wao mkubwa wa kukariri na kukumbuka na kutokusahau kile walichofundishwa Akili ya ubunifu, unaweza ukawa na akili ya...
  20. Artifact Collector

    Ukimtongoza mwanamke na akakuambia muwe marafiki kwanza ujue hapo amekukataa tayari jiongeze achana naye

    Katika harakati za kutongoza huwaga mwanaume anakutana na majibu mengi mojawapo ni hili la mwanamke kumwambia mwanaume wawe marafiki ukweli ni kwamba hapa umeshakataliwa tayari Kama mwanamke kavutiwa na mwanaume kamwe hawez mwambia wawe marafiki lazima atamkubali ila kama hajavutiwa na mwanaume...
Back
Top Bottom