Search results

  1. Jason Bourne

    CHADEMA imepona, CUF itapona? Mchezo wa uwezo wa ujasusi unaendelea!

    Juzi wamejiunga makada wa ccm 32 mjini magharibi Zanzibar na wamepokelewa na Maalim Seif
  2. Jason Bourne

    CUF: Taarifa kwa waandishi wa Habari juu ya Kujiuzulu Mwenyekiti Prof. Lipumba

    Leo tarehe 6 Agosti, 2015 Profesa Ibrahim Lipumba aliitisha mkutano na waandishi wa habari katika Hoteli ya Peacock, mjini Dar es Salaam na kutangaza kwamba amejizulu nafasi yake kama Mwenyekiti wa Taifa wa Chama Cha Wananchi (CUF). Sisi kama Chama tumezipokea taarifa hizo na tunayaheshimu...
  3. Jason Bourne

    CHADEMA imepona, CUF itapona? Mchezo wa uwezo wa ujasusi unaendelea!

    Dawa ya moto ni moto, ukawa tumieni moto huo
  4. Jason Bourne

    CHADEMA imepona, CUF itapona? Mchezo wa uwezo wa ujasusi unaendelea!

    Upo tayari kupokea mambo magumu?
  5. Jason Bourne

    CHADEMA imepona, CUF itapona? Mchezo wa uwezo wa ujasusi unaendelea!

    Imetimia tayari Lipumba kajivua uenyekiti wa CUF
  6. Jason Bourne

    CHADEMA imepona, CUF itapona? Mchezo wa uwezo wa ujasusi unaendelea!

    Kuwa na taarifa ni nusu ya ushindi! Hutaki, unaacha!
  7. Jason Bourne

    CHADEMA imepona, CUF itapona? Mchezo wa uwezo wa ujasusi unaendelea!

    Nguvu kubwa ya caldone ikiongozwa na majasusi waliokubuhu Kardinal Pengo, Pinda, Membe na vijana wa kazi ilikuwa imetua Chadema kwa mwezi mzima ikipita mlango wa nyuma, Heko Chief Rwakatare na kikosi chako kwakuzuia hayo hasa ukitumia mfumo wa external battle bird ambao umewaacha hoi majasusi...
  8. Jason Bourne

    Hatimaye Dr. Slaa aonekana, asema kuzungumza muda ukifika

    Kuna mission imehamia side two, Take care!
  9. Jason Bourne

    Dr. Slaa: Uongo ni dhambi na siko tayari kuishiriki!

    Politics and political verification,
  10. Jason Bourne

    Mkuu wa Majeshi nchini, Gen. Davis Mwamunyange atishia kujiuzulu

    Ilani ya Moderator: Thread hii imefungwa hadi uthibitisho wa madai haya utakapoletwa kuliko kujadili uzushi au porojo tu. Mhusika amepewa masaa 48 kuwa amethibitisha alichoandika chini ili hoja hii iendelee au iondolewe kabisa naye kuwajibishwa.
  11. Jason Bourne

    Tazama na fikiri kwa jicho la tatu nguvu ya ACT nje ya NCHI

    Im not a politician, take care
  12. Jason Bourne

    Tazama na fikiri kwa jicho la tatu nguvu ya ACT nje ya NCHI

    Do you know The Tanzania Intelligence Act? Chadema wangejidanganya wasema wanaifahamu hii chama kingefutwa siku hiyo hiyo. Try to read the Rep of Tz constitution of 1977, Sehemu ya Tatu, ibara 18-(1-2).
  13. Jason Bourne

    Tazama na fikiri kwa jicho la tatu nguvu ya ACT nje ya NCHI

    Watanzania nisameheni kwakuwa kimya kwa mda mrefu, Kuna mambo mengi yamepita hapa katikati bila kuwajuza, Nitaanza kuifanya kazi hiyo wiki ijayo. Leo nawakumbusha kidogo huko nyumba tulikotoka, nilipowapa ripoti ya siri ya Zitto kuna sehemu alitajwa mama wa UN Mjerumani kuwa alikuwa...
  14. Jason Bourne

    Taarifa ya Zitto Kabwe kuhusu Gazeti la Taifa Imara

    Zitto upo tayari nilete ushahidi wa wewe kukutana na rais na kumwambia ya Mengi? Unatambua kuwa kila anapokaa au kusimama rais pana Special surveillance camera?
  15. Jason Bourne

    Utafiti: Dhana ya Mfumo Kristu Tanzania na ukweli wake!

    Kwasababu mliingilia na kuchafua ilibidi ufungwe, sasa hali ya udini inaendelea kuliandama taifa kwamanufaa ya watawala imebidi utafiti urudi kwa ungalizi maalumu, tumshukuru mtafiti binafsi
  16. Jason Bourne

    Safari za Rais Jakaya Kikwete tangu aingie madarakani 2005

    UPDATES Tarehe 19/01/2015 SAFARI YA 427 Rais Jakaya Kikwete amesafiri toka Holand kwenda Davos nchini Uswisi kuungana na viongozi wenzake wa dunia katika Mkutano wa Jukwaa la Uchumi Duniani maarufu kama World Economic Forum utakaoanza 21 hadi 24/2015.
  17. Jason Bourne

    Godbless Lema kutumia nguvu ni kukosa uwezo wa kujenga hoja au ameathiriwa na kazi yake ya awali?

    lema mbayaaaaaaaaaa kamfuata mwigamba mpaka huko kwa mayuda act???? Hahaaaa mwigamba kidole na jichooooooo
Back
Top Bottom