Search results

  1. Tommy 911

    Biashara ya bidhaa kutoka China

    Habarini WanaJF, Nina mtaji wa laki moja na elfu hamsini nataka niagize bidhaa KUTOKA CHINA. Je, ni bidhaa gani nikiagiza itanipa at least faida ya nusu ya mtaji wangu? Napokea ushauri wenu Asanteni🙏
  2. Tommy 911

    Naomba msaada wa connection ya field, nasoma BSc in Chemistry

    Habarini Wana JF, Kijana wenu naomba mnisaidie connection nipate sehem ya kufany field. Maeneo ya field ni viwandani, migodini, viwanda vya dawa vyuoni as laboratory scientist NB: Nimejaribu kutuma barua ya maombi sehem mbalimbali lakn hakuna majibu na muda wa field unakarbia. 🙏
  3. Tommy 911

    Kwa mtaji wa laki tatu nifanye biashara gani?

    Habarini Wana JF, Naombeni ushauri kwa mtaji wa laki TATU nipige mishe gan ambayo nitapat ata elf 5 per day.
  4. Tommy 911

    Internship Chemicotex

    Habarini wakuu, Je, kuna mtu amewahi kufanya internship chemicotex? Na je utaratibu upoje?
  5. Tommy 911

    Mchanganuo wa biashara ya vitumbua

    Habarini wana jf. kam kichwa kinavyosem nahitaji kujua mchanganuo wa hii biashara ikiwemo mtaji na ushauri mwngne. Asanteni
  6. Tommy 911

    Nina mtaji wa laki moja. Je nifanye nini ili niwe napata angalau elfu mbili kwa siku?

    Habarini wana jf. Nimepata mtaji laki moja.je nifanyej ili nipate elfu mbili mpk elfu tano per day. @everyone
  7. Tommy 911

    INAUZWA Nauza glass protector za simu kwa shilingi elfu moja

    Habarini Wana JF. Glass protector aina zote zinapatikana kwa bei ya shilingi elfu moja per item. napatikana kivule dar es salaam ukihitaj nakuletea popote ulipo kwa dar es salaam. Contact: 0753158943
  8. Tommy 911

    Mwanachuo natafuta kibarua kipindi hiki cha likizo

    Habarini wana JF Mimi ni kijana ni Mwanachuo kwa sasa nipo likizo. Nahitaji msaada wa kupata kibarua chochote kipind hiki cha miezi miwili Posho hata ikiwa elfu tatu kwa siku ni sawa. contact: 0621554787
  9. Tommy 911

    Biashara ya kutembeza vitumbua au mayai Kariakoo, Mnazi mmoja na Posta

    Habarini Wana JF,, Kama kichwa kunavyosem natak niwekeze io sekta nitafute vijana wapige kazi. je faida yake ipoje na changamoto zake. nahitaj ushaur kwa wenye kuijua hii biashara. @everyone
  10. Tommy 911

    Kujitolea wakati wa likizo kada ya chemistry

    Habarini Wana JF Mimi ni mwanafunzi wa chuo mwaka wa pili nasoma Bsc in chemistry. Hivyo nahitaji kujitolea wakati wa likizo kuanzia mwezi wa nane Hadi kumi na moja. Mwenye connection kiwanda chochote au mwenye kujua taratibu za kupata nafasi naomba Msaada. @everyone
  11. Tommy 911

    Business plan ya restaurant

    Habarin wana jf..... Mimi ni kijana wa miaka 22 ni mwanachuo nina business plan kuhusu mgahawa hivyo napend kupata mtu serious amabe tutaweza kueka plans ili kufanikisha iwe kama partnership. If interested pm me nikupe business plan niliyoandaa ili tuweze kuwekan sawa Pia nahitaj ushauri...
  12. Tommy 911

    Scholarships za Master's katika Chemistry

    Habarin Wana JF, Mimi ni mwanafunzi wa bachelor of science in chemistry mwaka wa pili ndoto zangu ni kuendelea na masters baada ya kuhitimu kuhusu GPA nina 4.1 first year naimani itarange humo Hadi 3.8 minimum (final year). Hivyo ningependa kujua km kuna scholarship na namn ya kupata ktk moja...
  13. Tommy 911

    Natafuta mchumba baadae awe mke

    Habari za wakati huu, Nahitaji mchumba miaka 23-27, awe mweusi, dini yoyote. Umri wangu ni miaka 22, mwanafunzi wa Degree.
  14. Tommy 911

    Biashara ya electronic devices ndogo ndogo

    Habarini Wana JF. Mimi ni kijan wa miaka 22 ni mwanachuo nimekuja na wazo la kuanzia biashara ya devices ndogo ndogo za electronics kam scientific calculators,smart watch na airpods.... nilijarb kutembelea site ya alibaba nimeon zinauzwa bei nafuu Sana $1-$3 maximum for scientific calculators...
  15. Tommy 911

    Natafuta iPhone X, 64GB

    Habarin Wana JF, Nahitaji iPhone X ya GB 64, battery health iwe kuanzia 90% na face id sio lazima. Offer yangu ni 290,000/=
  16. Tommy 911

    Am looking for any Part time job in Moshi Kilimanjaro

    Habari Wana jf..Mimi ni mwanafunzi wa chuo mwaka wa pili kutokan na ratiba ya masomo yang kuisha mapema (saa nane mchana) mdogo wenu naomb Kaz yoyote Ile kuanzia mda huo mpka saa tatu au nne usiku Location: Moshi Kilimanjaro Contact:0621554787
  17. Tommy 911

    INAUZWA Nauza RAM 4GB

    Nauza RAM 4GB ya Laptop Bei: 35k Dm me or nichek 0621554787
  18. Tommy 911

    Computer4Sale Nauza PC used hp

    Nauza PC Ina ram 8gb hdd500 charge 3hrs Bei 300k Pm me or WhatsApp me at 0621554787
  19. Tommy 911

    Mwanachuo, natafuta kibarua cha miezi mitatu

    Habarini wana jf Mimi ni kijana ni mwanachuo kwa sasa nipo likizo...nahitaj msaada wa kupata kibarua chochote kipind hiki Cha miezi mitatu. Nipo Ukonga, Dar es Salaam
  20. Tommy 911

    Wanafunzi wa udsm, udom, dit na uba wa BSc in Chemestry huwa mnafanyia fiel wapi?

    Rejea kichwa Cha habari hapo juu. Mimi ni mwanafunzi wa chuo mwaka wa kwanza(degree) nasoma bachelor of science in chemistry. Nahitaji msaada wa maeneo ya kufanyia field nikifiki mwaka wa pili Kwani mwaka wa kwanza nilipata shida kupata hivyo kwa wanafunzi wanaosoma hii course udom au udsm na...
Back
Top Bottom