Search results

  1. rubaman

    Nikumbusheni

    Wimbo wa Mbongwe uliimbwa na Mcongo/Mzaire gani? Nimeutafuta Youtube bila mafanikio, sijaupata... Natanguliza shukrani.
  2. rubaman

    Ethiopia's $5bn project that could turn it into Africa's water powerhouse

    Soma Waethiopia wanavyokimbia wakati sisi Watanzania bado tunatambaa. Hawa jamaa wana project nyingi zilizo under constructions nadhani kuliko nchi yoyote ya East Africa(Yeah, Kijiografia Wanahesabika wapo E.Africa kama sisi). Wana Elevated Train line ipo under construction, hii dam nayo kama...
  3. rubaman

    Petition to save Moyes Job

    Kutokana na tetesi zilizosambaa katika media Britain juu ya uwezekano wa kufukuzwa kwa "THE GREATEST CHOSEN ONE" natumia muda huu kuomba wapenzi wote wa soka waliofurahishwa kwa kazi aliyofanya Moyes katika kipindi cha miezi kama 9 msaini Petition tuipeleke OLD TRAFFORD ili kuokoa kibarua cha...
  4. rubaman

    Wenger to resigned

    ESPN imeripoti kuwa imepata habari kuwa Wenger atatangaza kuresign at 1200 GMT. NB- Ignore the typo, ilitakiwa kusomeka to resign rather not to resigned... ESPN ndo wanavyosema.
  5. rubaman

    Good News-Arsenal

    Kwa wale wapenzi wa Arsenal waishio Marekani, Canada labda na Mexico Arsenal watazuru Marekani Summer hii. Watacheza mechi dhidi ya New York Red bulls July 26 kama sikosei ndani ya Red bulls Arena, Harrison New Jersey. Arsenal.com- Nimefurahi kupata hizu news lakini nadhani kama Arsenal...
  6. rubaman

    Bayern Boss Jailed

    Muda umefika kwa UEFA kuwatimua Bayern toka UCL lol Hoeness trial: Bayern Munich boss jailed A German court has sentenced Uli Hoeness, president of European football champions Bayern Munich, to three years and six months in jail for tax evasion. He admitted defrauding German tax authorities of...
  7. rubaman

    Lawro's vs Merson's Prediction Thread

    Juzi juzi nimeanza kufuatilia kwa ukaribu tabiri (predictions) za Mark Lawro na Paul Merson. Hawa ni magwiji wawili waliobobea katika kutabiri matokeo ya mechi za ligi ya England (EPL, FA cup, League cup). Ikumbukwe hawa ni wachezaji wa zamani wa Liverpool (Lawro) na Arsena (Merson) kwa hiyo...
  8. rubaman

    Harusi ya Sir Alex Ferguson na Marefa Barclays Premier League

    Baada ya Fergie kustaafu refa mmoja mkongwe amefunguka na kuongelea jinsi gani walivyokuwa karibu sana na meneja mkongwe katika ligi kuu ya England. Refa Mark Halsey ametoa ndogo ndogo jinsi alivyokuwa anatextiana na Sir Alex.Tusubiri tutasikia mengi, hii issue inaweza kuzaa mbovu mbovu kuliko...
  9. rubaman

    Tofauti ya Kodi na Ushuru.

    Nadhani waswahili tunachanganya haya maneno.Ninavyojua Kodi inalipwa unalipwa kama pango yaani unapokodi nyumba, chumba,eneo la kufanyia biashara au kama unapokodi kitu kama gari , nk. Na ushuru ni ule unaolipwa unaponunua bidhaa au unapoingiza bidhaa nchini. Wataalam naomba mnieleweshe...
  10. rubaman

    Mourinho

    Chelsea have reappointed J. Mourinho as their new manager. Welcome back to EPL at least for the next three season. By 2016 Chelsea will have another manager, Mourinho's wandering history doesn't lie.
  11. rubaman

    Breaking Rumours.

    Wenger to leave the position as Arsenal's manager at the end of the season. He's moving upstairs.
  12. rubaman

    NBA Playoff: Game 1 Memphis vs Tanzania.

    Mbona hakuna wafuatiliaji wa NBA playoff tunacheza muda huu...Game limefika 4th quarter Tanzania wapo nyuma point 3 na tunacheza nyumbani... Mungu ibariki Tanzania.
  13. rubaman

    Mourinho to Chelsea, Wenger to PSG, Ancelotti to Real Madrid, Joachim Low/ Kopp to Arsenal

    Mourinho kashawasha indicator ya kurudi "I know in England I am loved, I know I am loved by some clubs, especially one." Habari ndo hiyo. ukitaka uthibitisho jipatie gazeti la spotiLeo toleo la jioni ya jioni.Ahsante.
  14. rubaman

    Mourinho

    The special one!:biggrin::biggrin::biggrin: Najua Real Madrid bado wana nafasi kubwa ya kuingia fainali kuliko Barca lakini haya matokeo yatakuwa yamekata ngebe za Mourinho. Ile safari ya kukimbia Santiago Bernabeau imesharahasishwa kwa kipigo hiki. Sitokushangaa kibarua cha Mourinho kuota mbawa...
  15. rubaman

    Ligi Bora Duniani

    Kwa wale wenzangu wanaopenda kubwabwaja bila kutumia vigezo kujudge ligi ipi ni bora, nadhani mko njiani kutuambia Bundesliga ndo ligi bora duniani kwa sababu timu za Bayern Munich na B.Dortmund zimezicharanga Barca na Real Madrid katika Semi-fainali za UCL. Come again.
  16. rubaman

    Tanzania Vs Morocco

    kwa tusio Bongo wapi tunaweza kutazama hili game? Nipeni links. Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Taifa Stars.
  17. rubaman

    Uzalendo kwa nchi

    Hivi siku hizi Bongo kuna uzalendo kama ulionyeshwa enzi za vita ya kagera. Angalia jinsi teenagers walivyojitolea mhanga kuipigania nchi yao? nina uhakika leo Tanzania or Tanganyika au vyovyote upendavyo kuiita ikiingia vitani na nchi jirani nina uhakika hata wanajeshi wataingia mitini...
  18. rubaman

    World Cup Qualifying Match-TANZANIA

    Jamani naomba kuuliza mechi kati ya Tanzania na Morocco katika kutafuta nafasi za World cup itachezwa lini? Kama tunavyojua wikiendi hii ndo mechi za kusaka watakaokwenda World cup zimechezwa duniani... Najua ni ndoto za alinacha kwetu kufuzu hii kitu. Mungu ibariki Tanzania.
Back
Top Bottom