Search results

  1. J

    duh, wazoefu nisadieni katika hili

    @all asanteni sana wakuu, baada ya kupitia coments zenu hasira hiyo na kumaliza kila kitu jana, ajalala usiku akipiga simu me kimia maana nimemtext text moja imeenda shule kidogo baada ya kupiga sana simu haipokelewi alianza kufunguka matext sijui huo mda kaupata wapi, nimeanza namjibu ila text...
  2. J

    duh, wazoefu nisadieni katika hili

    @Mtalingolo, mpaka nafika hapa yote nimeishamueleza ndugu yangu, ngoja nifanye maamuzi magumu siku akipiga simu au kutuma text itabidi nipotezee amenichosha akili yangu.
  3. J

    duh, wazoefu nisadieni katika hili

    nashukru ushauri wako nimeupenda, nitaufanyia kazi
  4. J

    duh, wazoefu nisadieni katika hili

    kuna mkaka niliwahi kumdate arafu tulikaa miezi ka 2 tukagombana kwa k2 kidogo tukaliana cul miaka 2, akanitafuta kanieleza kipindi kile tatizo lilikuwa nini me nikampotezea takiribini miezi 4 anadai alinipenda sana anaomba niwe muelewa nimpe nafasi tena na yupo serious ktk hili, nikamwambia npe...
Back
Top Bottom