Search results

  1. angomwile

    Kuzaliana kunamsaidia nini kiumbe anayezaa?

    N Na mjusi akizaa mtoto anapata faida gani?
  2. angomwile

    Makinika na mijusi wa ndani ya nyumba!

    Nilishadhitibitisha Kwa kupima DNA!
  3. angomwile

    Makinika na mijusi wa ndani ya nyumba!

    Kamini kitu bila ya uthibitisho ni upuuzi!
  4. angomwile

    Makinika na mijusi wa ndani ya nyumba!

    Bado unaendeleza habari zisizo na uthibitisho! Huo ufunuo umethibitisha Vipi kuhusu uwepo wa uchawi kama sio unanukuu tu kilichoandikwa! Kitovu kinaingiliana Vipi na kuwepo Kwa uchawi ,ukitizama vizuri hoja zako zote zimelalia kwenye mambo ya kufikirika!
  5. angomwile

    Uongo mkubwa zaidi kutokea dunia - The biggest scam in the world

    Kwahiyo kutokujua Hayo ndio inatulazimu kuabudu na kubuni buni mambo?
  6. angomwile

    Uongo mkubwa zaidi kutokea dunia - The biggest scam in the world

    Hivi unajua kwanini watu wanapinga dhana ya uwepo wa Mungu?
  7. angomwile

    Makinika na mijusi wa ndani ya nyumba!

    Imani za kishirikina zimetamalaki! Kama usipokuwa makini kila kitu utaona kina uchawi! Hebu Kwanza kabla ya kuendelea kujadili hili swala,unaweza kudhibitisha uchawi upo bila ya Shaka yeyote?
  8. angomwile

    Ni aibu gani uliwahi pata na hutokuja kuisahau?

    Wewe Ni mjinga wa mwisho kwanini kitu kama huelewi usiulize Kwanza?kwani ungeuliza na kupata maelekezo ungepungua Nini?ona sasa ulikunywa limao 😁
  9. angomwile

    Dini ni kwa ajili ya "Low minded people", Genius can't be trapped!

    Mimi ndio maana kitambo Sana nilishapiga chini huu upuuzi wa kuitwa Dini sijui na maujinga jinga mengine😁 kufuatilia dini inatakiwa ujitoe ufahamu !
  10. angomwile

    Dini ni kwa ajili ya "Low minded people", Genius can't be trapped!

    Mchanganyo wa Quran unaanzia pale aliposhushiwa Muhammad ili aje atusambazie Dunia nzima! Harafu humohumo kwenye Quran imeandikwa Kwa kumsifia Mungu Ni mwenye haki na usawa asiye na ubaguzi right?sasa ilikuwaje ampe mtu mmoja habari muhimu kama hizi za kumjua yeye na Sheria zake ili aje...
  11. angomwile

    Umewahi kujiuliza haya maswali?

    Aisee kama una make sense hivi mkuu
  12. angomwile

    Uongo mkubwa zaidi kutokea dunia - The biggest scam in the world

    Duniani kuna Dini nyingi Sana sasa utajuaje Dini uliyopo ndio sahihi?na kila mtu wa Dini tofauti na yako unamuona amepotea!wakuu Dini Ni uongo mkubwa Sana uliokubalika na wengi kwa muda mrefu!binadamu wa kale baada ya kukosa majibu ya baadhi ya maswali magnum mfano tumetokea wapi,kwanini...
  13. angomwile

    Nimeamua kuachana na dini, nitamuabudu Mungu kwa utaratibu wangu mwenyewe

    Mtoa post hajasema kwamba haamini mungu hayupo! Yeye anadai kuwa dini ndio zina ujanja ujanja na ni utapeli mkubwa pia sio vizuri kumwita mjinga, mbona yeye hajasema kuwa nyie mnaofuata hizo dini ni wajinga?
  14. angomwile

    Nimeamua kuachana na dini, nitamuabudu Mungu kwa utaratibu wangu mwenyewe

    Na kama huwezi kujibu pia unaweza kusema tu
Back
Top Bottom