Search results

  1. T

    The Power of Letting Go....

    Letting it go z not something am good at, but the fact the she/he ditches you for someone else better than you (hypothetically) or for any other reason. Then it's evident enough that she/he doesn't belongs to you, may advice is, you cant hold on to a broken branch while you know there are other...
  2. T

    Natafuta kazi

    kuna kazi ya kufundisha primary math kuanzia std 5hadi 7 na weekend full time 24/7 makazi unapata na chakula cha shule mashahara laki 200000 upo tayari? ni porini umeme hamna jenereta lipo kuanzi saa kumi na mbili na nusu jioni mpaka saa 4 kamili usiku.
  3. T

    Kuanzisha saccos

    Bila kuwapotezea mud me ni Graduate wa IT na ktk kutafuta kazi sioni mafanikio ila nina wazo la kuanzisha saccos ambayo itajumuisha vijana wote wa mahali ninapo ishi tatizo cjui utaratibu wa kuanzisha saccos ukoje na changamoto zake ni zipi? Malengo yangu ni vijana tujijengee uwezo wa kujiajiri...
  4. T

    Maumivu ya Kifua

    Ni upande wa mbele na c mgongoni ckohoi ila yanakuja nikiwa nainama au nimejikunja au nikiwa nanyanyuka wakati mwingine nikiwa nimekaa tuu yanatokea na kunawakati bega la upande wa kushoto kwa nyuma usawa wa titi linauma pia. mazowzi huwa nafanya atleast mara 3 kwa wiki yasiozidi dakika 20...
  5. T

    Maumivu ya Kifua

    Wadau ni tkribani miezi miwili sasa nackia maumivu katikati ya kifua changu yaanu sehemu ambapo mbavu za pande mbili zinapokutana cjui ni nini hasa nahitajj ufafanuzi please?
  6. T

    Dawasa makao makuu dar........

    Makao makuu yake kama ilivyo tanesco ni ubungo je dawasa ni wapi yalipo makao makuu ....?
  7. T

    Dawasa makao makuu dar........

    Mahali zilipo office za dawasa
  8. T

    Dawasa makao makuu dar........

    Wadau nimekuwa nikitafuta ofice za hawa jamaa kwa muda mrefu na kila nnaye muuliza ananielekeza DAWASCO Iliyoko posta ambao ni sehemu tu ya DAWASA ila cjafanikiwa kupata ofisi za DAWASA nackia wako KIJITONYAMA mwenye info zaidi plz nijuzeni ni muhimu sana
  9. T

    Mwalimu wa ICT shule za msingi na Secondary au High school

    Kwa yeyote yule anayehitaji walimu wa kufundisha masomo ya ICT na kusimamia mifumo ya mawasiliano ktk shule yake au kutengeneza mifumo hiyo na ushauri juu ya kuwa na mifumo ya mawasiliano katika shule yako tafadhali waasiliana nami kupitia TanzaniaCreativeDesign@gmail.com Gharama zetu ni nafuu...
  10. T

    Ajira JWTZ

    Wadau nawakubali kwa mawozo yenu mazuri nitayafanyia kazi lkn mwenye ndugu huko matesoni tujuzane ili tusadiadiane maisha magumu mtaani bora yakawe magumu porini au vitani na c kijiweni
  11. T

    Ajira JWTZ

    acheni utani namanisha ajira na c wendawazimu huwezi kukimbia tu na shaidi wako ilo c jeshi la leo na haliwezi kuitwa jeshi la wananchi wa tanzainia
  12. T

    Ajira JWTZ

    Wadau nataka kujiunga na jeshi na cjui nianzie wapi na nielekee wapi na kwa nani. m2 yeyote mwenye kujua taratibu za kujiunga na jeshi na zinapatikana wapi taarifa zao tafadhali tujuzane. mimi ni muhitimu wa chuo kikuku taaluma ya mifumo ya cmputer
Back
Top Bottom