Search results

  1. MIMI BABA YENU

    Hongera Rais Samia: DUNIA inashuhudia kufunguliwa kwa siasa za vyama vingi na shughuli zake katika ardhi ya Tanzania

    DUNIA inashuhudia kufunguliwa kwa siasa za vyama vingi na shughuli zake katika ardhi ya Tanzania, si kwa kauli bali vitendo hasa baada ya wiki nzima kuwa na mvutano juu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kutangaza maandamano ya amani. Jina la Rais Dk. Samia Suluhu Hassan litaendelea...
  2. MIMI BABA YENU

    Maswali ambayo viongozi wa Chama Cha Walimu (CWT) wamegoma kujibu

    Walimu Wana maswali mengi ambayo kwa muda Mrefu CWT wakiongozwa na Kiongozi wao Japhet Maganga hawataki kujibu na wala hawaoneshi jitihaza zozote kutetea haki za walimu: i) Mapato yatokanayo na vitega uchumi vya chama mfano: Mwalimu house na ofisi za CWT kila mkoa (rent), je vinamnufaishaje...
  3. MIMI BABA YENU

    Imetosha; Utapeli wa Maganga ndani ya CWT unatisha, achukuliwe hatua

    Wanachama wa Chama cha Walimu nchini tunashuhudia kwa macho yetu tabia ya kudhoofisha chama chetu inayofanywa na Bwana Maganga bila aibu. Hali hii inakasirisha na kuleta wasiwasi juu ya hatma ya walimu nchini ambao kimsingi ni wanachama wa CWT. Mojawapo ya vitendo vinavyotia hasira sana ni...
  4. MIMI BABA YENU

    Rais Samia kununua tiketi 30,000: Stars kuivaa Morocco

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan anaendeleza mbio za kuongeza motisha kwa Timu ya Taifa (Taifa Stars) ambapo kuelekea mechi ya Stars dhidi ya Morocco ametangaza kununua tiketi 30,000 za mechi hiyo itakayochezwa katika uwanja wa Benjamin Mkapa.
  5. MIMI BABA YENU

    Watalii 120 kutalii nchini, Disemba 2023

    DODOMA Kundi la Watalii 120 wakiwemo wachezaji maarufu wa tenisi wa Marekani watakuja nchini Tanzania kutalii katika ziara ya kifahari ya McEnroe na mashindano ya tenisi.
  6. MIMI BABA YENU

    Watalii 120 kutalii nchini, Disemba 2023

    DODOMA Kundi la Watalii 120 wakiwemo wachezaji maarufu wa tenisi wa Marekani watakuja nchini Tanzania kutalii katika ziara ya kifahari ya McEnroe na mashindano ya tenisi
  7. MIMI BABA YENU

    LISSU Vs MBOWE, The Discord Is A Poisoned Lamprey In CHADEMA's 4R's Meal

    "Do you recall the story of King Henry 1? The unfortunate Monarch whom took enough quantities of Lampreys (fish) said to have snatched his life away? Later it was diagnosed that it was never the Lampreys actually that claimed his breath but rather the large varieties of abdominal pathologies...
  8. MIMI BABA YENU

    Jumba la kifahari la Mwenyekiti Mbowe lazua maswali ndani ya Chadema

    Hali ya sintofahamu imeendelea kugubika ndani ya Chadema kufuatia baadhi ya Wajumbe wa Kamati Kuu kuona nyumba ya kifahari anayoishi Mwenyekiti wao Freeman Mbowe ambayo ameijenga hivi karibuni huko Machame. Sintofahamu hiyo imekuja baada ya baadhi ya Wajumbe wa Kamati Kuu kupokea taarifa kuwa...
  9. MIMI BABA YENU

    Kwa uongo huu, Lissu amefeli pakubwa

    Kuna ujumbe unaosambazwa katika makundi ya WhatsApp na wanachama wa Chadema Jimbo la Namtumbo unaodai kuwa nabii THABO MASENYA wa nchini Afrika Kusini ametoa unabii wake unaodai kuwa Lissu ameandaliwa mpango wa kuuwawa. Jambo hili ni upotoshaji wa makusudi unaofanywa na Lissu pamoja na kikundi...
  10. MIMI BABA YENU

    Lissu atimkia Ulaya baada ya kuharibu

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, ameondoka nchini kwenda Ubelgiji, zikiwa ni siku chache baada ya kuachiliwa kwa dhamana kufuatilia kukamatwa na Polisi jijini Arusha kwa kosa la kuzuia Jeshi la Polisi kufanya kazi yake na kulazimisha kufanya mikutano...
  11. MIMI BABA YENU

    Shikamoo CHADEMA migogoro

    Ni kweli CHADEMA kunafukuta Chadema Kuna Mgogoro Kati ya Lissu na Mbowe !! Lakini pia tusisahau kuwa kuna migogoro mingine [emoji116] Kuna mgogoro kati ya Lema na Mbowe, hali inamfanya Lema kuanza harakati za chini chini za kujitoa CHADEMA na kujiunga na ACT- Wazalendo Kuna mgogoro kati ya...
  12. MIMI BABA YENU

    Harakati za CHADEMA katika kudai Katiba Mpya na kupinga Uwekezaji katika Bandari ni kiini macho zimejaa ubinafsi na uchu wa madaraka

    Suala Katiba mpya limekuwa agenda ya muda mrefu la lakini pamoja na umuhimu wake kwa taifa, kwa kiasi kikubwa limebebwa na Chadema pamoja na wanaharakati wanaokiunga mkono chama hicho cha kisiasa. Kupata Katiba mpya ni jambo muhimu, lakini Chadema imesau kwamba, suala hilo siyo jambo dogo kama...
  13. MIMI BABA YENU

    Nay wa Mitengo, laana ya baba ake na mihemko ya kisiasa ina mvuruga kichwa

    Nimesikiliza wimbo mpya wa msanii wa muziki wa kizazi kipya Emmanuel Elibariki almaarufu ‘’Nay wa Mitego’’ unaojulikana kwa jina la ‘’Amkeni’’. Wimbo huo kimsingi una baadhi ya maudhui ambayo hayana staha dhidi ya Kiongozi Mkuu wa nchi, pia yamelenga kupandikiza chuki na uchochezi dhidi ya...
  14. MIMI BABA YENU

    Jezi tano za Simba zitakazozinduliwa juu ya mlima Kilimanjaro zitakuwa na majina ya viongozi wa Serikali

    “Jezi zetu tano zitakazo zinduliwa juu ya kilele cha Mlima Kilimanjaro zitakuwa na majina ya Viongozi wa Serikali mgongoni Rais Dkt. Samia , Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mwinyi, Makamu wa Rais Dk. Mpango, Waziri Mkuu Majaliwa, Spika wa Bunge, Dkt. Tulia na Rais wa...
  15. MIMI BABA YENU

    CHADEMA kususia kushiriki katika uchaguzi mdogo wa madiwani ni uwoga na kukosa ukomavu wa kisiasa

    Nimeshangazwa sana kuona Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kikitoa tamko la kutoshiriki Uchaguzi mdogo wa Madiwani katika Kata 14 zilizopo kwenye Halmashauri 13. Nimezisoma sababu zilizotajwa na CHADEMA kutoshiriki uchaguzi huo, kwa kweli sababu hizo hazina mashiko. Kwa mfano hili...
  16. MIMI BABA YENU

    DC aingilia kati mgogoro wa Wananchi na Luhaga Mpina mkoani Morogoro

    MKUU wa Wilaya ya Morogoro,Rebeca Nsemwa,amejikuta akipokelewa na Mabango pamoja na vilio kutoka kwa wananchi wa Vijiji vya Dalla tarafa ya Bwakira na Mbwade tarafa ya Mvuha katika Halmashauri ya wilaya ya Morogoro wakishinikiza kurudishiwa ardhi yao ekari zaidi ya 1000 zinazodaiwa kuchukuliwa...
  17. MIMI BABA YENU

    Utapeli wa ardhi uliofanywa Luaga Mpina Mkoani Morogoro

    Zaidi ya wakazi elfu 40 wa Vijiji viwili vya Dalla na Bwade vilivyopo wilayani Morogoro mkoani Morogoro wameiomba serikali kuingilia kati kurejesha ardhi yao yenye ukubwa wa ekari zaidi 1000 iliyochukuliwa kwa njia ya utapeli na aliyekuwa waziri wa Mifugo LUAGA MPINA tangu mwaka 2009...
  18. MIMI BABA YENU

    Pongezi kwa watanzania kwa ushindi katika mradi huu wa gesi, Rais Samia apewe tuzo

    Na Mwl Udadis, Mtwara Makubaliano kati ya serikali ya Tanzania na kampuni za Equinor & Shell yamekamilika kwaajili ya uwekezaji katika mradi wa gesi asilia, mradi wenye thamani ya Dola Bilioni 42 (Fedha hii ni zaidi ya Bajeti ya mataifa ya Rwanda & Burundi kwa miaka 5).Kampuni za Tanzania...
  19. MIMI BABA YENU

    Tume ya kuboresha mifumo ya haki jinai ni historia kwa Afrika

    Rev. John E. Kimario Watu wa Mungu, watanzania wenzangu nawasalimu kwa upendo na kwa jina lipitalo majina yote. Kama tujuavyo HAKI HUINUA TAIFA, leo natuma waraka huu kwenu ukazidi kuifanya haki na upendo utamalaki kila kona ya nchi yetu hii nzuri. Ndugu zangu, Mimi kama Mhadhiri katika...
  20. MIMI BABA YENU

    Upotoshaji kuhusu SHIB-NSSF na Bima ya Afya

    Nikiwa katikati ya harakati za kusaka mkate wangu wa siku, nikakutana na hoja ambayo si tu kwamba ilinichosha bali ilinipa mahangaiko kutokana na UPOTOSHAJI mkubwa ambao ukiuangalia kwa ndani unabaini unafanyika makusudi ili kuendelea kunufaisha wachache na kuangamiza wengi. Habari ya mjini...
Back
Top Bottom