Unakuta mdada kavaa kisuruali fulani chepesi kimenataaa kimemchoraaa kama na makalio mpaka makovu name manundunundu yanaonekana, kama ni pichu inaonekana wazi. Kichwa juu anakatiza hadi kichefuchefu.
Jirekebisheni, mwenye picha tuwekee wajione walivyo.
Hata ukiingia na kitu Kwenye rum kwa kazi ya kikubwa ni shidaaa.eti subiri kwanza nicheki whasp,duh mwingine kwa hasira anakodoa macho weee.hata morali inashuuuka.kama huyo anaesoma hii jf muda huu mwone kwanza
Zinapunguza wateja mahotelini kwenye mabaa kwa kuwa mtu afikapo anakaa tuu anaanza kuchati mara Whatsapp,kisha Facebook, alafu instagram, anamalizia na Jamiiforums ndo unasikia niletee mchemsho, akimaliza kula anaanza tena kuchati weee,
Inaudhi sana hata kwenye usafiri mtu hakuna hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.