Aksante kwa kumbukumbu hii! Nyongeza kidogo kwenye kumbukumbu hii wanafunzi waliokamatwa kwenye zoezi la utambuzi walipelekwa Segerea kufungua gereza jipya!
Umeongea jambo muhimu sana na linatugharimu sana! Hata kwenye biashara leo hii ni vigumu kununua hata mafuta ya Alizeti njiani kwa sababu tu unaweza kuuziwa feki matokeo yake ukitoka Dom kuja Moro njiani mafuta chungu nzima wanunuaji hakuna japo wanaopita wanatamani wanunue na bahati mbaya hata...
Mwenye uchungu na maumivu ni ndugu au jamaa wa aliyeuawa yeye ndiye aulizwe adhabu ikitolewa anaridhia iendelee kama hataki itolewe mbadala, sisi wengine tusiwe wasemaji wao ni kawaida tunapokuwa nje ya maumivu yao kuhisi tuna huruma! Lakini wakati huo huo tukiibiwa chaja tu mwizi anapigwa moto...
Ashukuru yupo kwenye neema wenzie wanaishi kama wapo depo Mara akamilishe kazi zote za nyumbani ndiyo asome, ada yenyewe haipatikani kirahisi lazima apambane
Niliwahi pita hiyo ruti ni mkeka na hakuna gari nyingi zaidi unakutana lori za Dangote hakikisha mafuta unajaza ya kutosha hakuna vituo vingi vya mafuta
Yaani hii story kama unanisema mimi kila kitu siwezi kuongea mbele za watu lakini ukinipa kalamu Mara nyingi ninachoandika huweziamini kuwa ni mimi nimeandika
Hivi unataka kutuaminisha mnunuzi wa paper ni St.Francis tu na ndiyo maana wanafaulu kwamba miaka yote wameingia ubia wa kuuziwa paper! Hapa ndiyo tunakwama kupata ukweli badala ya kujifunza kutoka kwao namna wanavyofanikiwa tunajipoza kwa wananunua paper ndiyo tumemaliza
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.