Search results

  1. hirorobert

    Teknolojia Mpya kutoka Japan ya kupunguza ulaji wa Mafuta kwenye Gari

    The laminate seems working for Diesel Generators and my level 1 Diesel emmision car 😂.Savings has been somewhat substantial. There is a need to see if it can provide same magic for up to 2 years as claimed by distributors. Otherwise price is scary.
  2. hirorobert

    Teknolojia Mpya kutoka Japan ya kupunguza ulaji wa Mafuta kwenye Gari

    AdPower inawezekana una product nzuri ila unashindwa kujieleza. Oxygen is at the centre of everything in Engine, the lower the oxygenated air-intake the lower the combustions and carbon-fouled plug. walichofanya hao jamaa wame deal na Oxygen tu maana wanajua Quality ya mafuta in third world ni...
  3. hirorobert

    Teknolojia Mpya kutoka Japan ya kupunguza ulaji wa Mafuta kwenye Gari

    Hongereni! Nliwahi ku import gari ya UK nkaikuta kwa Engine!! seems it has been there long time ago.
  4. hirorobert

    Natafuta rafiki wa kubadilishana nae mawazo kuhusu mahusiano

    watoto wenye tabia nzuri kama yako ya kuwa na bf mmoja tu huku hawapo,please dont dare...
  5. hirorobert

    Salary Scale University of Dar es salaam/ Ngazi za mishahara UDSM

    Kijana mishahara ya serikali imetofautiana kutokana na kada ,mwalimu(academician),administrative (accountants,HR na wengine) kwa mshahara wa Accountant III unaweza kuwa kwenye pgss(10-12) from which you will get an amount and benefit ,commensurate with that Scale
  6. hirorobert

    Pumba pumba kwenye kereng'ende

    Pole Kijana Inawezekana umejaribu tiba au hujajaribu ila kwavile hayo maeneo ni mazuri kwa bacteria kukua na kuzaliana,fanya yafuatayo: 1.tafuta sulphur(njano) 2.pia olive oil changanya upate rojo(1&2) hakikisha kuwa umeshave vya kutosha na paka huo mchanganyiko katika eneo ambalo unaona...
  7. hirorobert

    Juliana Shonza: Mimi bado ni Makamu Mwenyekiti BAVICHA...!

    Navyojua mimi ukishatoka damu kwenye maandamano uko CHADEMA tayari-ref: Mshumbushi aliwahi kutoka damu Arusha kwenye maandamano Arusha,so ni mwanaCHADEMA huyu jamani "ndani ya CHADEMA kuna damu yake" best regards
  8. hirorobert

    CAR EXEMPTION(msaada)

    Nikushauri mzee naona wote wanakukwepa Exemption kwa civil servant bado ipo,na gari isiwe chini ya 2004 maana inaenda January sasa 2013, isiwe na >3000CC make it happen best regards
  9. hirorobert

    Je Unakunywa Juice za Mixed Fruits?...

    Wakuu, Hongereni kwa comments, Ushauri wangu kuhusu hili ni kwamba ,kula mixed fruits si mbaya ila kuna ukweli kwenye "mixed PH fruits" namaanisha kama wapenda kula matunda,kula ya aina moja(matamu),,,,,,,usichanganye na machachu(limao,chungwa,) hapo unatengeneza matatizo kwenye mfumo wa chakula...
  10. hirorobert

    Msc.Finance

    nkusaidie kidogo hasa pale mzee ndachuwa alipoongezea ,MSc na MBA zina tofautiana kwenye syllabus,infact uki dig much humo kwenye hizo curriculum zao unakuta objective yao ni mmoja tu hasa kwa mambo haya ya (business&finance) kwenye ajira kama unavyouliza huwa kama masters ni preffered and not...
  11. hirorobert

    Ziara ya rais Kikwete Arusha yaahirishwa?

    Inaguration ya mandela university ni tarehe 2Nov,2012 siku ya ijumaa mnakaribishwa wote,na mgeni rasmi ni Mh.Rais Jakaya Mrisho Kikwete
  12. hirorobert

    Nani anayekagua na kudhibiti ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali(CAG)?

    nadhani ulikuwa unahitaji jibu hili-ofisi yake huwa inakaguliwa na PWC.
  13. hirorobert

    Faida ya kunywa maziwa ya ngamia

    Ngudu mzizi mkavu huwa nazifurahia sana comment zako na hili la leo nimeona niweke na mimi mchango wangu,hapa arusha huwa tunayapata kirahisi hayo maziwa maana yanatoka TURKANA kama ukiyapata kabla hayajawekwa "nyingi" ukawa unayaweka kwenye friji asubuhi una jog,ukimaliza unapata kikombe cha...
  14. hirorobert

    Jamani gauti inanitesa

    Pole bwana GAMBALANYOKA labda mimi nikupe mbadala wa Tiba kwa maana ya namna ya kuishi na hiyo Gaut ,kama unataka kupona kaka acha pombe na nyama hasa za kuchoma,the latter(nyama choma) ina URIC kubwa mno na the previous(BIA) ina kitu kinaitwa PURINE nyingi mno sasa hivi ukiviendeleza baada ya...
  15. hirorobert

    NM-AIST shortlist

    Labda niwasaidie vijana,inawezekana uliyetoa thread ukawa unawasaidia pia wengine wanaotaka kuelewa,kifupi hii ni taasisi mpya na vibali vya ajira vinatoka hazina,ila kwa kuwa wameshateuliwa wakuu wa chuo kwa maana ya Mwenyekiti wa Bodi (Prof.Mwakyusa) na Mkuu wa chuo(His execellence Dk.Bhilal)...
  16. hirorobert

    Nelson-Mandela AIST Arusha.

    let me thank you guys for appreciating that ,Ndechumia, sawe boy, and the thread bearer ,there is a scholarships here I wonder to date there are still few Tanzanians applicants while the institution is yours applauds for more TZ to apply,there is a very attractive package for those who will...
  17. hirorobert

    Nelson-Mandela AIST Arusha.

    labda nkusaidie kijana,(bearer of the thread)kifupi hakuna mtu aliyeitwa kwenye interview mpaka sasa ila mambo yote yameiva na labda niweke sawa kidogo kuwa mishahara yote ni kwa TSH na scale ni zile zile za serikali, Shortlisted candidates will be contacted sooner rather than later and priority...
  18. hirorobert

    Self tax assessment inafanyika vp?

    labda nkusaidie kidogo ingawa ungeenda TRA ungepata majibu zaidi (Tailored) to your needs ,hujasema ww ni mlipa kodi wa aina gani? presumptive au ni accounts case naposema nhivyo namaanisha income yako inagenerate kiasi gani kwa mwezi au unapata faida kiasi gani labda tuanzie hapo
  19. hirorobert

    Unazikumbuka timu za mtaani enzi hizo?

    UMEWAACHA boma,home boys NA jamhuri -
  20. hirorobert

    Shortlisted - Nelson Mandela , Arusha

    kind regards bwana Ngoswe ukibahatika kuwa short listed nadhani tuwasiliane Karibu NM-AIST-ARUSHA
Back
Top Bottom