Search results

  1. mhalisi

    NDUMBARO VS MALINZI: Sababu za ugomvi wao zabainika

    Dar es Salaam. Mwanasheria Damas Ndumbaro ametoboa siri ya ugomvi wake na rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi kuwa ni basi la Taifa Stars na urais. "Kuna mambo mengi yamejificha nyuma ya mgogoro huu, lakini nadhani chuki yangu na Malinzi imechangiwa na mambo kadhaa,"...
  2. mhalisi

    Kituo cha Afya Fore Plan Clinic chafungwa

    Sikutarajia kituo kama hiki kufungiwa sababu dk Mwaka amekuwa akijatangaza sana kwenye radio na tv na niliamini kituo kina vigezo vyote vya kitaalamu vinavyotakiwa
  3. mhalisi

    Yuko wapi Ezekiel Mwalongo wa RTD Radio/TBC?

    wakati anatangaza kipindi cha michezo RTD alikuwa anajiita beki mstaarabu
  4. mhalisi

    Picha Joshua Nassari: akishushiwa kibano jimboni kwake

    napenda na Arumeru Magharibi Chadema pia mchukue jimbo.
  5. mhalisi

    Sikujua kama huyu dogo ni pimbi kiasi hiki

    Kwa wenye ufahamu wa sheria mahakama inaweza kutoa adhabu gani kwake?
  6. mhalisi

    Lucy Nkya (Naibu Waziri wa zamani) arushiana risasi na mwanae

    ni mheshimiwa yupi huyo mkuu?
  7. mhalisi

    Irene Charles Isaka, Director General, Social Security Regulatory Authority

    siku moja Lowassa alihojiwa kwenye tv kuhusu ujenzi wa udom,akasema yeye alipokuwa waziri mkuu aliwaita wakurugenzi wote wa mifuko ya hifadhi ya jamii kuhusu mifuko hiyo kutoa fedha za ujenzi wa udom na akawaambia mkurugenzi ambaye angetaa mfuko wake kutoa pesa basi aandike barua ya kujiuzulu.
  8. mhalisi

    Dr Benson Banna: Mimi ni muumini wa serikali moja

    Kuna kipindi nilisikia ni mshauri wa rais wa mambo ya siasa, kwahiyo hawezi kuwa na ujasiri wa kukosoa.
  9. mhalisi

    Uharamia wa CCM: Mbunge Highness Kiwia afanyiwa operesheni masaa 6

    Mwenyezi Mungu akujalie Highness Kiwia upone. waliokutendea unyama huu Mungu atawalipa.
  10. mhalisi

    Picha: Sakaya atikisa jimboni kwa mzee Sitta, Urambo

    wakifanya kwa pamoja pia ni nzuri zaidi kwasababu itakuwa ni ukawa yote.
  11. mhalisi

    Picha: Sakaya atikisa jimboni kwa mzee Sitta, Urambo

    kazi nzuri wanayofanya cuf urambo. natamani pia chadema waende na chopa urambo wahakikishe wanapita kila nyumba kueleza usanii wa huyu mzee.
  12. mhalisi

    TANZIA: Dr. William Shija, (Waziri wa zamani) amefariki

    nawapa pole familia ya Dk.Shija Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.
  13. mhalisi

    Huyu Robert Shumake ni balozi wa nchi ngapi?

    wanaojua maana ya balozi wa heshima wanaweza wakatusaidia, mfano Emmanuel Ole Naiko ni balozi wa heshima wa Botswana hapa nchini pia Profesa Simon Mbilinyi ni balozi wa heshima wa nchi fulani siikumbuki.
  14. mhalisi

    Sitta akalia moto

    Sitta halisi ameanza kuonekana. malipo ni hapa hapa duniani kama alimwondoa Lowassa madarakani ili aonekane msafi, ameshaonekana ni walewale, anateketeza mamiliini ya pesa kwa kututungia katiba yake mbovu ambayo haina vision yoyote kwa maendeleo ya taifa.
  15. mhalisi

    Fahmi Dovutwa: Uchaguzi wa ndani ya chama changu utafanyika baada ya kuviangusha CHADEMA na CUF

    Dovutwa ni ccm, mwaka 2010 wakati wa kampeni alijitoa kugombea urais akasema kura zake apewe Kikwete.
  16. mhalisi

    Sitta: Nyaraka zinazosomwa makanisani ni za kipuuzi

    mimi nalia na gazeti la Mwananchi kwasababu limekuwa likimpamba kwa kipindi kirefu Sitta kama vile ni kiongozi mzuri wakati sio kweli, sijui Mwananchi wana ajenda gani naye. Kikwete aliwahi kusema viongozi wa dini wakizungumza nchi inatetemeka, alafu yeye anatoa kauli hii ya dharau, hakika...
  17. mhalisi

    Enzi ya kuzamia video kwa jirani

    wakati huo mnaulizana tv yenu ni inchi ngapi, n.k
  18. mhalisi

    Hivi hii ni kweli kuhusu Obama na Uhuru Kenyatta?

    ktk kusmoke inasemwa kuna mmoja anatumia weed
Back
Top Bottom