Search results

  1. Papi Chulo

    Wataalam msaada wa haraka unahitajika

    Natumia tecno camon CX air,ni simu nzuri tu ila ina changamoto katika charge,inakaa na chaji vizuri tu ila sasa kwenye kuchaji ndo kimbembe unaweza ukaiweka chaji saa 1 asubuhi ukija saa 5 kuangalia,unakuta imeingia 15% tu, ukitaka ijae full labda masaa 10 + lakini napo inaweza isijae unaweza...
  2. Papi Chulo

    DJ Sinorita siyo mtu mzuri hata kidogo

    Doh! Washkaji nendeni XXL DJ Sinyorita kakinukisha huko doh! Huyu demu siyo mtu mzuri anapiga mix za kufa mtu yaani alivyonimiksia ile ngoma ya gyptia halafu akagusa roko ya mtaalam tyga aaaahhh kuna redio zina kazi kubwa sana kwa clouds Duh! DJ Sinorita shikamoo
  3. Papi Chulo

    Airtel nilipeni jero langu

    Nilipeni jero langu, haiwezekani kipindi hii ya corona,hali mbaya kichizi halafu mi nalitoa jero(500 tsh) langu la ngama nanunua vocha yenu,naunga bando la mbs halafu netweki yenu ya internet hakuna,yaani tangu nimejiunga sijatumia mbs hata kiduchu..yaani hadi kufika kesho mchana hamjarudisha 3g...
  4. Papi Chulo

    Kuna nini kwa majirani?

    Wadau, mbona siku hizi nchi za jirani sizisikii zikitaja idadi ya madereva waliopimwa na kukutwa na virusi vya corona? Tulizoea kusikia madereva 85 wamepimwa, waliokutwa positive ni 80,77 ni Watanzania, 1 Rwanda,1 Mganda,1 mcongo. Sasa hivi nina week sijasikia Rwanda wala Uganda wakitangaza...
  5. Papi Chulo

    Google drive ni nini na ina kazi gani?

    Je, Google drive ni nini? Ipo kwa kazi gani? Inafaa kwa matumizi? Naomba pia mnipe maelezo ya ziada kuhusu Google Drive. Kuuliza ili kujua si ujinga, ujinga ni kubaki na kutokujua wakati unaweza kuuliza watu wakakujuza ukajua.
  6. Papi Chulo

    Sisi marofa na mawazo yetu juu ya corona

    Hapa nipo na marofa wenzangu tumeshashiba ugali wa mama ntilie, ghafla stori za corona zikaanza na ubishani mkubwa ukatokea, Hivi serikali kwa nini isitangaze uvaaji wa barakoa kila mtu pindi anapotoka nyumbani kwake hasa katika haya majiji yaliyoathirika zaidi, mmoja kati ya marofa akasema...
  7. Papi Chulo

    Wataalamu wa smartphone msikose kutoa neno hapa, Msaada jamani

    Nina simu yangu HTC one ni simu ninayoipenda sana sana sana, lakini imepatwa na tatizo..mara ya mwisho ilikuwa inachemka sana nikitumia kwa muda mrefu na ile screen yake inaonyesha kama kuungua fulani. Nikiacha kutumia inapoa..sasa juzi ilivyoisha chaji usiku,asubuhi nimeiweka chaji haipeleki...
  8. Papi Chulo

    Simba njaa yenu kali sana..!!duhhhh...

    Nyie fc guruguja hamna utani kabisa yan mmeweka full kikosi..ina maana hadi vikombe vya uji mnavitaka???.. kudadeki yaan mmekitolea macho hamna masikhara kabisa
  9. Papi Chulo

    Jumanne ni siku ya ajabu kibiashara

    Wadau nina miaka 9 kwenye vi-biashara vyangu vya hapa na pale, lakini tangu zamani huwa naishangaa sana hii siku ya Jumanne, biashara inaweza kuwa mbaya na kusuasua siku zote, lakini ikifika tu Jumanne kudadeki yaani napiga biashara hadi najiuliza hivi MUNGU ameweka kitu gani katika hii siku...
  10. Papi Chulo

    Clouds Tigo Fiesta kukiwasha Taifa

    Clouds hawajawahi kubahatisha Tigo Fiesta DSM kufanyika Uwanja wa Taifa tarehe 8. Kiingilio ni sh. 3000 na getini 5000, hiki ni kiingilio cha kimwananchi kabisa. Ukikosa shauri yako Clouds FM Tuonane tarehe 8, Levels baby
  11. Papi Chulo

    Nisaidieni kuhusiana na mnada

    Wakuu nina amini kupitia jamiiforum ninaweza kupata taarifa sahihi kabisa,wakuu nataka kupeleka bidhaa zangu kwenye hii minada inayofanyika katika jiji la Dar es salaam,kama kuna mdau anaweza akaniambia ikiwa kuna taratibu za kufuata au nipeleke tu mzigo mnadani
  12. Papi Chulo

    Nairobi is not only a slum hub but also nyumba za udongo

    Hii picha ya leo Sept 23,2019
  13. Papi Chulo

    Hii kitu huwa inaonewa tu,sioni uharamu wake

    Inaitwa bange,tangu nianze kuitumia hii kitu miaka miiiingi iliyopita hadi leo hii sijawahai kuona ubaya wa bange, nimeanza kuvuta mmea tangu nikiwa form 2,hadi nachukua degree yangu hadi leo hii nina harakati zangu hapa town huwa napuliza tu,kiasi ambacho ukiniona kazini huwezi amini kama mi ni...
  14. Papi Chulo

    The most beautiful cities in africa by 2019

    Once again, dar es salaam knocks nairobi down very hard...even adis ababa is more beautiful than nai-slums
  15. Papi Chulo

    Hongereni sana wakenya leo imenibidi niwapongeze tu majirani!!

    Kenya have made it possible to contribute 4 major slums in the list of the world worst slums, Wakenya hiki ni kitengo chenu bwana msiisingizie dar es salaam
  16. Papi Chulo

    Vibanio vya nguo vya plastic

    Wakuu naomba mnielekeze kwa hapa town napata wapi vibanio vya kuanikia nguo kwa bei ya jumla,na naanzia kiasi gani?
  17. Papi Chulo

    wazee wetu mnachotufanyia sisi vijana wenu sio poa!

    wadau kuna demu mmoja hapa kitaa yaani ni bakora mtoto mzuri kinyama yaani,basi mdau nikamzimikia nika anza kumlia misele japokuwa mdingi wake ni mkali lakini nikakomaa,nikafanikiwa kumwaga sera zangu,dah huyu demu ni ananibania huwezi amini hii wiki ya pili nafukuzia lakini natoka kapa,yaani ni...
  18. Papi Chulo

    wataalamu,wajanja wajanja wa mambo ya smartphones usipite bila kuchungulia huu uzi,sema chochote,usipite kimyakimya..

    Je,naweza kui-root simu yangu Sony ambayo ni 3G iwe 4G?? Au iwe na mifumo ya simu nyingine ambazo ni 3G?? Kwa hapa dar es salaam,niende wapi ili nifanikishiwe ili jambo?..niandae shilingi ngapi?..maana nataka ni-improve my smartphone life..
  19. Papi Chulo

    Wadau hii hainifikishi mtoni (Marekani )

    Wadau eehh bila shaka mko poa, Kama una ushauri naombeni tu mnishauri tu kijana mwenzenu,toka mwaka jana nimekuwa nikijichanga changa nipate mkwanja kidogo niende mamtoni (marekani),siendi kufanya mishe yoyote nataka niende tu kuondoa tongotongo si mnajua kibongo bongo mtu unaweza kuzaliwa hadi...
  20. Papi Chulo

    msaada wenu tafadhali

    Wakuu habari zenu, nimenunua sony xperia z4 lakini sijui jinsi ya kuiwezesha 4G mnara unasoma E, naombeni muongozo wakuu..
Back
Top Bottom