Search results

  1. SOTI

    Utaratibu wa Chuo cha LITI Morogoro sio sawa kwa watoto maskini

    Ni mara kadhaa Sasa Chuo cha Wizara ya mifugo LITI Morogoro kimekuwa kinawafukuza wanafunzi ambao hawajamalizia ada ya semista ya Pili. Utaratibu huu ni kuwabagua kielimu hasa wanafunzi wanaotoka familia maskini. Watoto hawa wameskika wakimtaja mkuu wa Chuo kuwa kawambia kama hawana ada warudi...
  2. SOTI

    Zitto Kabwe, alikuwa Mkurugenzi wa TADIP kabla ya kuondoka CHADEMA

    Tofautisheni TCIB ya 2010 na TADIP
  3. SOTI

    Takwimu katiba pendekezwa pasua kichwa

    Mzee sita kwa hili kachemka sana.Nimemuona chabruma alivyobanwa hadi kawa mkali
  4. SOTI

    Takwimu katiba pendekezwa pasua kichwa

    Kwa aliyefuatilia mjadala HotMix EATV ataamini kuwa kuna uchakachuaji wa hali ya juu kuhusu idadi ya wajumbe. Takwimu zilizo kwenye katiba zinaonesha Zanzibar wajumbe 212 na Bara 416 jumla 628. 2/3 ya zanzibar kwa takwimu hizi ni wajumbe 142. Siku ya kutangazwa matokeo tuliambiwa na katibu wa...
  5. SOTI

    Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Alhamis 2 Oktoba 2014 - Matokeo ya Kupitisha Ibara za Rasimu ya Katiba

    Hizi takwimu Duuh! Tanganyika kutoka 419 hadi 411, Zanzibar 210 hadi 219. Jumla kutoka 629 hadi 630!
  6. SOTI

    Tathmini ya Chabruma Juu ya Upigaji Kura BMK, Chereko kwa CCM, Kilio kwa UKAWA,AKIDI KIULAINI

    Hii CCM naona imekuwa ya Konda Chabruma na Babake 6 tu! Iwe bungeni au kwenye mitandao wewe ndo unajifanya mzalendo sana. Unajua unafanya hayo kumuokoa 6 lakini tambua kuna vijana wenye uwezo mkubwa tunaumia sana kusikia eti wewe unatuwakilisha vijana bungeni. Ni lini na wapi tulikutuma...
  7. SOTI

    Tanzia: Nimefiwa na mwanangu

    Pole sana Mkuu! Hata mimi nimempoteza mwanangu nadhani ni siku moja na wako akiwa na siku tano tu.
  8. SOTI

    Tamko la kihuni kutolewa Tabora Punde ..wanajita wenyeviti wa Matawi ya Mkoa .

    Nilikuwa vijiji vya Musoma vijijini na musoma mjini kama kuna mtu anamdanganya zitto kuwa yy ni maarufu kama zamani wanampoteza.Huko vijijini wao wanasema baada ya Zitto kuingia ile Tume ya Bomani(Madini) umaarufu uliishia hapo.Asidanganywe eti anapendwa watu wanamuona kama msaliti
  9. SOTI

    Jangwani: Lissu amenisikitisha!

    Ilikuwa inarushwa ITV pia.Au uliamua kutumia radio tu.
  10. SOTI

    Mwigulu Nchemba aombwa kuongoza majimbo mawili, wananchi wazuia mwenge kwa muda...

    Ganzi (mtela Mwampamba) huu sasa ni utumwa.Bora ukabaki na professional yako kuliko kulamba miguu ya mwanaume mwenzako
  11. SOTI

    Mazishi ya kiongozi wa CHADEMA - Judith William

    Haya yana Mwisho wake Dr.Msivunjike moyo
  12. SOTI

    Star TV na ITV kujitoa rasmi Startimes muda si mrefu!

    Hata mimi nawapongeza sana Star Tv Kujitoa kwao kumesaidia sana habari zao za kichama zaidi zisiwafikie watz wenye visimbuzi vya startimes ambazo zinapotosha
  13. SOTI

    Mzee Farijala ni nani hasa?

    Kuna jamaa mmoja aliniambia ni mtu anayetumiwa na TISS kuitetea serikali kwenye media pale inapokuwa imekabwa koo.Kumbuka kwenye mgomo wa madaktari
  14. SOTI

    Wananchi wa DODOMA wapuuza ujio wa CHADEMA jana

    Umaskini ni kitu kibaya sana huwa nikipita Dodoma na mikoa mingine ya kanda ya kati zile nyumba za tembe zinanifanya nijiulize maswali mengi sana! Tulipata uhuru ili iweje? Siku wakijua haki zao na anayesababisha umaskini wao hapatakalika.Hata kama mkutano wa CDM ulikuwa na watu 1000 kwa Dodoma...
  15. SOTI

    Bungeni: Halima Mdee aambiwa anacheza 'mbwa kachoka'

    Kaongea hayo maneno ila ni watu wameamua tu kupotosha kwa sababu ya njaa zao tu.Anamkataza waziri asijibu hoja za wapinzani cha ajabu na yeye anaongelea hayo hayo then anaunga mkono hoja kwa asilimia 100
  16. SOTI

    Bungeni: Mwigulu achafua upepo, Lissu atolewa nje ya bunge, agoma! Bunge lakatishwa kabla ya muda...

    Mkuu unachoongea ni kweli lissu ni mwepesi wa kujenga hoja na kwa vyovyote vile Mwigulu asingeweza kuthibitisha ila ndo hivo kiti kimeamua kumlinda
  17. SOTI

    Bungeni: Mwigulu achafua upepo, Lissu atolewa nje ya bunge, agoma! Bunge lakatishwa kabla ya muda...

    Nadhani lengo la Lissu kusimama ilikuwa amwombe Mwigulu athibitishe kauli ya Dr Slaa kukutana na viongozi wa dini na Ndugai analijua hilo ndo maana kamnyima fursa.Ila na wabunge wengine wa chadema wawe sharp na si kumwachia Lissu peke yake ataonekana mkorofi
  18. SOTI

    Dennis Msacky atumika kuiangamiza CHADEMA,alikua na mawasiliano ya karibu na Ludovick Joseph

    Mkuu hamna gazeti nililokuwa naliamini kuliko hili na kila siku ilikuwa lazima nitoe mia 800 yangu lakini sasa hivi nalisoma online tu.Mmiliki wa gazeti inabidi achukue hatua la sivyo mapato yatapungua siku hadi siku.
Back
Top Bottom