Moja ya sababu kubwa iliyooelekea Chama cha Mapinduzi (CCM) kutawala (sio kuongoza) kwa kutumia vyombo vya dola ikiwemo Polisi na TISS kushindana na vyama vya upinzani hususan CHADEMA ni kwa sababu CCM hawana ITIKADI.
Ndio maana leo wanajibu hoja za Chadema kwa jeshi la polisi kuvamia shughuli...
Akili za maccm zinajulikana kwamba ni za hovyo kwa kuwa wamelaaniwa kwa matendo yao.
1:Unaposema takwa la Katiba Mpya sio takwa la wananchi ni takwa la CHADEMA,Maccm mjuavyo wanachadema sio wananchi,Ni upuuzi
2:Aliekuambia kulikuwa na uchaguzi mkuu (General Election 2020) ni nani?upo ushahidi...
Hivi Mbatia ni Rais wa wapi?kwanini ameruhusiwa kuingia wakati walitangulizana na viongozi wa Chadema?
Yaani walipokataliwa viongozi wa chadema,akaja Mbatia akaruhusiwa,hiyo ni kitu gani?
Ilani ya uchaguzi haiandikwi na mtu mmoja,Chama chochote kikiandika ilani kutumia mtu mmoja hiyo sio ilani ya uchaguzi iliyowalenga wananchi.
Ilani ya uchaguzi inaandikwa na wananchi, Chama cha siasa kinatakiwa kufanya kitu kinaitwa Canvassing, lengo likiwa ni ku-identify issues zonazowahusu...
Nimemsikia makamu Mwenyekiti wa CCM ndugu Philip Mangula juzi akiwa ktk ziara zake sambamba na katibu mkuu wa CCM ndugu Bashiru wakijigamba kwamba,uchaguzi ujao wa 2020 hakuna mbunge wala Diwani kutoka vyama vya upinzani watapenya,kwamba hawawezi kushinda hata jimbo na kata yoyote.
Kauli hii...
Mwigulu Nchemba nakuuliza Leo Mara ya pili,Ben Saanane huko wapi?
Nafahamu sana jinsi ulivyokuwa karibu naye,nafahamu sana jinsi ulivyokuwa hata unahitaji ushauri wake,please tafuta namna yoyote ya kunijibu Ben yuko wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmepanga kimteka au? Tangu muanze kuteka,kuua na kubambikia kesi,tena siku hizi mmetunga sheria ya Money Laundering, je mme-achieve your goal?
Nini mlichofanikiwa?CCM yenu imepanda chat?
Mnawaza kuua tu au kuweka watu jela muda wote!!!!khaaa!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Unafikiri kwa kutumia masaburi....alieanzisha vita ni maccm.
Hii ni kwa sababu ya kushindwa kumnunua,sasa mmeanza Vita
Sent using Jamii Forums mobile app
Unauliza watu potential ndani ya chadema,au ndio mawazo na ndoto za chadema ilishakufa bado mnahangaika nazo?
Kama huoni potential people kutoka chadema,basi hakika utakuwa unadhani Magufuli ni potential candidate. Poor you.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hili hao maccm uliwaonea tu,swali hili kwao gumu sana.
Kwa taarifa yao mwaka 2005 mh Mbowe aligombea urais na kushika nafasi ya 3.
Hata CHADEMA wanaamini na kuiishi democracy kuna both internal party democracy na democracy nje ya chama.kwa haimaanishi kwamba ukiwa mwenyekiti wa chama lazima...
Wewe ndio hopeless moving figure,na wewe ni mnufaika wa dhuluma zinazofanywa na maccm,hakika wewe ni mwana wa shetani alieweka makao pale Lumumba.
Yaani unakurupuka tu kama unatoka chooni,unajua sheria na kanuni zinazo ongoza Jiji la Dar?
Nakudokezea kidogo tu,Moja ya kanuni inayoruhusu...
Wahuni ni maccm,ndio waanzilishi wa huo mtafaruku,na imeshakuwa ni kawaida yao,kwa hiyo ni bora tuwaseme wazi bila kuficha,wahuni maccm na hako kakurugenzi ka jiji,ndiko kalikotengeneza mpango wa kufoji jina la mjumbe ambae hakuwepo
Sent using Jamii Forums mobile app
Tulisema kuanzia mwanzo kabisa baada ya kulazimisha ushindi,kwamba kwa Magufuli huyu na chama chake,genge la maharamia linaenda kuweka mizizi.
Watanzania wakati tukiendelea kupiga kelele wengine walisema haya ni ya wapinzani hayatuhusu,vyombo vya habari vikaandamwa tukasema Mimi sio...
Mwandishi ameandika kwa mbwembwe na ushabiki wa kumshabikia anaemuunga mkono kanda ya Serengeti.
To be Honest,mchuano kati ya mh Ester Matiko na John Heche ni mkali sana.
Ni kweli pia mh Heche ame-shine kwenye siasa za upinzani kabla ya mh Matiko,lkn kwa sasa wote wame-shine,kazi itakuwa kubwa...
Majaji wachache sana wenye moyo na weledi wa kutenda haki,jaji asietenda haki,jaji anaepora haki ya mwingine kwa maelekezo ya CCM huyo ni jaji jambazi kama tu majambazi wengine,jaji wa aina hiyo ni muuaji tu kama wauaji wengine.
Ni jambo la hatari sana kwa jinsi utawala huu wa awamu ya tano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.