Cross over players: Simba wanaye Niyonzima tu na Yanga wana Yondani, Tambwe, Ajibu, Kessy na yule wa almanusura Buswita. Sijui kama inamaana kwa game hii.
Tatizo ni la watanzania wenyewe, viongozi wake wote wanatakiwa kubarikiwa. Ila sisi tunawaweka viongozi wabovu! Fikiria kama tungeweka viongozi wazuri, hii nyuzi isingekuwa na mashiko. Tatizo sio wimbo, kwanza si 'wabariki viongozi wote' bali ni 'wabariki viongozi wake'.
Huyo mama naye mnafiki tu, siku zote walikuwa wapi? wanasubiri hadi madhara yatokee ndio waanze kung'aka! Hili ni jengo la ngapi linaanguka, kwa nini wasichukue tahadhari mapema? kibongo bongo bwana, kila mtu msanii tu.
Tatizo la bongo bado watu wachache ndo wanatuchagulia rais halafu wananchi wanafanywa rubber stamp. Nafasi halisi ya wananchi kuchagua bado naiona ni ndogo. Na hawa walioko madarakani ni kama wana laana!
Siku hazifanani na huenda promo haikuwa kubwa ili kuepuka ukumbi usijejaa pomoni. All in all dogo anapiga pesa ndefu mno, kama ana akili nzuri ndo keshatoka. Au naye anatumia yale majani?
Huu muungano wa EAC nadhani wenzetu ndo wako strategically zaidi tena kwa faida. Sisi Tz tunataka kutimiza matakwa ya kisiasa hata kama kwa gharama ya hasara ya nchi na wananchi wake. Shame on you our politicians!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.