Search results

  1. lolyz

    Nauza nyumba ya biashara kerege Tsh 28 m

    Ina frem 3 bado ni mpya ina 3phase umeme,parking,3bathrooms. Mobile:0767700292 serious buyers only Kerege(Bagamoyo rd) ni eneo linalofuata baada ya kutoka Bunju,na Mapinga Sent from my HTC Desire 620G dual sim using JamiiForums mobile app
  2. lolyz

    Women In Balance-kitchen party Gala

    Habarini wadau...Jamani nani mwenye kujua hii kitu inafanyika lini?maana nimepata msg kuwa ni kesho ...naskia ni nzuri kuna yeyote aliyewahi shiriki kati yetu? Asanteni
  3. lolyz

    (Kwa wadada wenye ndoa) Utii kwa waume zetu

    ……Wasiwe wachonganishi, wala wasiwe watumwa wapombe; bali waonyeshe mfano mwema. 4 Hivyo wawafundishe akina mama vijana kuwapenda waume zaona watoto wao 5 nakuwa wenye kiasi na safi, wakitumia wakati wao kushughulika nyumbani mwao. Wawewema na watii kwa waume zao, ili neno la Mungu lisije...
  4. lolyz

    It’s because we’re girls, and we need to be reassured from time to time

    We get mad over the smallest reasons. We over-analyze everything. We feel a sense of jealousy when we see you talking to someone who has more to offer. We get sad at the thought of ever losing you. We start pointless arguments and fights, just to see if you care enough to stick around. We often...
  5. lolyz

    Kwani mkeo akipendeza kuna shida gani?

    Kwa wanaume mli-ooa(married) hivi kwanini baadhi yenu mkeo akipendeza mnanuna? (naongelea age mate kati ya 29-35..huko kwingine sijafikia (time will tell) wakati mkiwa wote labda mmekaa mahali akipita mwanadada kapendeza zake tuseme kiumri hawapishani sana na mkeo mnajiiba- iba kuwatizama,haya...
  6. lolyz

    Jamani wherever you are lolyz anakushukuru!

    Nilikuja kwenu na Mume wangu hataki kubadilika....na wewe Fidel80,tito majala,King’ast,Magoo,BPM,Ashadii,Iza,neggirl,mtalingolo,Vin diesel,Kaunga ,Oak,Lokissa ,Shantel ,Mapujds ,Blackberry ,The boss ,shost ,Ngereja ,Bujibuji , Husninyo ,Fundi mchundo,Mwanaweja ,Gajungi ,Caroline Danzi ,Anheuser...
  7. lolyz

    Special for Parents

    TB parents...lol – Please don’t ignore the prayer at the end Children are a photocopy of their parents's character You are the hydro power dams from which they Can tap the power of living light. But if the dams are empty of values, and the water levels are too low, What will they tap? Only...
  8. lolyz

    Ukiitaka nipm

    A Man buys a lie Detector Robot which slaps people who lie... He decides to test it one evening at Dinner. So he asks his son. >>>> >>>>''Where were you today during school hours??''.... ''l was in class''.... Son >>>>replies.. ''Twack!!!'' the Robot slaps Son. The Son goes...
  9. lolyz

    Two Keys to a Happy Marriage(kwa wanandoa)

    Mara nyingi ndoa zote huanza na furaha tele pamoja na familia na marafiki,kila wanandoa wana ndoro na mipango mizuri kwenye maisha yao siku zijazo. But the road to a happy marriage is far from easy. Maisha ya leo yanaonyesha migogoro ya ndoa ilivyo & many couples opt not to complete the journey...
  10. lolyz

    It’s not competition; it’s cooperation

    WanaJF wenzangu hebu tuchek hii......... The foundation upon which you build your marriage relationship is a mutually agreeable and mutually binding plan. That's what makes marriage successful. It's not a "tingle"; it's a life-time commitment. It's not competition; it's cooperation. Is your...
  11. lolyz

    8 Ways To Create Quality Time With Your Kids

    Wanajf natumai mkop poa,kama sijakosea nadhani kuna wazazi humu na natumai itasaidia japo kidogo...samahani kama ntakua nimekosea sehemu ya kupost........ Can you relate? If so, here are eight things I do to develop my relationships with my kids, in spite of a hectic schedule. 1. Take one child...
  12. lolyz

    Wazungu matapeli wa M-Pesa!

    Kuna wazungu wameonekana siku ya jana mitaani wakitembelea maduka yanayotoa huduma za M-Pesa wanadai wao wametoka makao makuu.Wakifika wanauliza una float kiasi gani kwenye akaunti yako,majina ,na namba za simu kitu ambacho ikiwa yeye ametoka makao makuu ni lazima akicheck namba yako anaweza...
  13. lolyz

    Mume wangu hataki kubadilika

    Jamani wana JF maji yamenifika shingoni, Ni mume wangu nampenda na kumuheshimu sana ila kuna mambo yanayonikera,mda mwingine ananilazimisha nikae naye kwenye baa mpaka usiku sana nikimshauri kuwa inatosha twende nyumbani yeye anakuwa mkali na kuniamuru nichukue gari au tax nirudi nimuache yeye...
Back
Top Bottom