Search results

  1. Top Thinker

    Viatu vya Kiume vya Mtumba

    Sijaona kiatu cha 85,000 hapo!
  2. Top Thinker

    Usafiri 5000/= per day kutoka kwako mpaka kazini kwako na kukurudisha

    Imebadilishwa jina, siku hizi inaitwa BOLT
  3. Top Thinker

    Kumbe ilikuwa ya mama mkwe

    Mkuu heshima nyingi kwako, mwezi uliopita nilikuwa maeneo ya usambaani, na moja ya mambo nilisikia ni hii ya vitigo, kwa heshima kama hotojali naomba utuandalie thread inayoelezea haya mambo pamoja na mambo mengine ya kimila ambayo huenda yanamaliza watu bila wenyewe kuyajua.
  4. Top Thinker

    TANZIA Mfanyabiashara maarufu wa madini Arusha, Saitoti afiwa na Baba yake

    PIGO ZITO kwako na yeye, Islamabaaad Wagadugu!!!
  5. Top Thinker

    Kisa Cha kuchekesha kuhusu roho mbaya za walimu wa kibongo

    Nyie mlikuwa mnafurahia kuoneshwa maswali kwenye test, lakini kiuhalisia huyo lecturer wa Kikorea alikua anawaona vilaza, mamburula, hamjui kitu, hivyo akaona isiwe kesi, njia pekee ya kuwasaidia ni kuwaonesha maswali ya mtihani ili walau mtoboe, hiyo sio sifa, mwenzenu alikuwa anawaona vilaza.
  6. Top Thinker

    Plot4Sale Tunauza Viwanja, Nyumba na Mashamba Dar es Salaam

    Kumbe Mkuranga kuna MOROGORO ROAD!
  7. Top Thinker

    Plot4Sale Tunauza Viwanja, Nyumba na Mashamba Dar es Salaam

    Ngoja ni trade Forex nije kununua fasta, naingia position 5 kwa lot size ya 100.
  8. Top Thinker

    Kuna uwezekano mkubwa sisi bora kuliko Mungu

    Kama unaona Gari, Simu, Ndege etc vina uwezo kuliko wewe, basi huo mmea ulioanza kuuvuta nakushauri uachane nao, maana utakupeleka pabaya!
  9. Top Thinker

    Waimbaji kumi bora wa nyimbo za injili kuwahi kutokea hapa Tanzania mpaka sasa

    Unamjua Rehema Simfukwe? Martha Mwaipaja ana tofauti gani na Bahati Bukuku? Tena kwa vigezo ulivyoweka, Bahati Bukuku yupo mbele ya Martha Mwaipaja. Boaz Danken pia yupo mbele ya Joel Lwaga!
  10. Top Thinker

    Naomba kufahamu dalili za mtu mwenye Upungufu wa Akili Kichwani

    Wahi hospital, kwa jinsi ulivyoanzisha huu uzi kuna asilimia 75% una UWAKI
  11. Top Thinker

    Sauti inayodaiwa kuwa ya Jerome akisimulia mgogoro na mkewe na jinsi alivyomuua

    "Sexual Frustration" Ogopa sana hii psychological illness!
  12. Top Thinker

    Nauza WiFi adaptor

    Acha kuitikia tu, tv ikishakuwa smart means tayari inaweza kupokea internet through Wi-Fi, sasa hizo adapter zako ni kwa ajili ya pc ambazo hazina Wi-Fi. Haya kwenye smart tv hiyo driver itai install vp kwa kutumia hiyo CD???
  13. Top Thinker

    Plot4Sale Nauza kiwanja kibada kigamboni

    Kweli bei nzuri.
  14. Top Thinker

    Nahitaji TV 65 inches

    Asante kwa ushauri mkuu. Ila nimesema "Lg inapewa kipaumbele", haimaanishi ukiwa na Panasonic, au Sharp au Samsung sitaihitaji. But in short nimesema LG kwa kuwa almost electronic appliances zangu zote ni za LG
  15. Top Thinker

    Nahitaji TV 65 inches

    Kama una TV ambayo ni 65" weka offer yako hapa chini, isiwe plasma tu. LG inapewa kipaumbele zaidi, smart, 3D will be added advantage. Thank You
  16. Top Thinker

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa maeneo ya Mwanagati (Dar es salaam )

    Usd 800,000 = 1,760,000,000 TZS ukiigawa kwa hizo sqm 35,395 utapata about 50,000 TZS per Sqm. Be Serious bro, kama kweli unataka kufanya hiyo biashara!! Mwanagati 1 SQM should be about 12,000 so hiyo bei yako angalau ili ifikirike kuuzika, unapaswa kuigawa kwa 4 ambayo ni dola laki 2 that is...
  17. Top Thinker

    Kiwanja kinauzwa Kunduchi

    Means ukituma sms, hata kama simu imezima, akija kuwasha ataipata.
  18. Top Thinker

    Nauza kabati la kioo bei poa pita ulione.

    Na huyo uncle wako hapo unamuuza?? Halafu next time jifunze kuwa msafi, lisafishe kwanza ling'ae ndio utangaze unauza!
  19. Top Thinker

    Tanzania ndo nchi Ndege nyingi zimepotea bila kuonekana

    Hawa vijana wa UVCCM hata kujieleza hawawezi. Very pumba kabisa
  20. Top Thinker

    Ujanja kwenye majina ya vyama.

    Utafiti usio rasmi unaonesha kwamba moja kati ya sababu zilizoipa ushindi CCM kwenya chaguzi zilizopita ni herufi zake ( alphabet). Ikumbukwe watanzania wengi ni watu wasio na msimamo na wana maamuzi ya ghafla, hivyo kwenye kupiga kura huwa wanachagua tu jina la kwanza watakaloona na kwa kua...
Back
Top Bottom