Search results

  1. Redpanther

    Ubaguzi wa serikali juu watumishi wa Afya walioko TAMISEMI

    Habari za Asubuhi ndugu na wanajambi wenzangu. Ni muda sana sijaweka bandiko hapa JF. Majukumu na kazi za watu zinabana sana kusema ukweli. Naomba niende kwenye mada moja kwa Moja. Mimi ni mtumishi katika moja ya Taasis za serikali katika Manispaa "X" mkoa mmoja maarufu kama Kanda Maalum...
  2. Redpanther

    Mambo ambayo Mwanaume hupaswi kuyategemea kutoka kwa Mwanamke

    Habarini za Wakati huu Ndugu zangu wanajamvi letu pendwa. Ni siku nyingine tena na fursa nyingine ya kupambana iki kuhakikisha mkono unaenda kinywani. Katika jamii zetu ambazo zimedumu toka enzi na enzi zikihusiana na hata kuzaliana, kutegemeana kwa jinsia hizi mbili, Mwanaume na Mwanamke ni...
  3. Redpanther

    Wizara ya Afya na TAMISEMI mbona mko kimya sana?

    Habari gani ndugu wanajamvi la Habari mchanganyiko. Ngoja niende moja kwa moja kwenye Maada. Mnamo aprili 16 2022 kulitangazwa nafasi za Kazi upande wa Afya na Elimu/Ualimu. Ni miezi sasa imepita toka dirisha la kutuma maombi lifungwe. Huenda mimi ni mgeni au sina uzoefu sana kwenye haya...
  4. Redpanther

    Ushauri huu kuhusu Ndoa umeniamsha kutoka kwenye usingizi mzito

    Habari zenu wanajamvi pendwa la MMU. Ilikuwa tarehe 07/10/2019 Majira ya Jioni huko Dodoma nilipofunga ndoa kwa mara ya kwanza. Wakati wa sherehe usiku nilibahatika kuzungumza na mzee wangu (sio Baba mzazi) kabla ya kwenda ukumbini. Kwenye mazungumzo yetu bitu vikibwa mzee wangu alivikazia...
  5. Redpanther

    Tetesi: Maafisa Utumishi Njooni hapa: Nahitaji msaada juu ya hili

    Habari gani wana Jamvi la Habari na Hoja mchanganyiko. Acha niende kwenye Hoja moja kwa Moja. Nipo katika Harakati za kuomba Ajira za Wizara ya Afya. Kuna hiki kipengele cha Kudhibitisha Vyeti mahakamani au kwa Wakili. Shida yangu kubwa haja nikutaka kujua, Je kuna shida yoyote nikiambatanisha...
  6. Redpanther

    Bloggers naomba mnisaidie, mie Blogger Mpya

    Habari za wakati huu ndugu wanajamvi pendwa la Technology. Mimi ni Mtu ambaye napenda sana kuandika na kusoma mambo mbali mbali hada mtandaoni. Nikiwa chuo mwaka wa Kwanza 2013, wakati nafundishwa jinsi ya kutengeneza Blog nilianza harakati za kutengeneza Blog. Hiyo Blog imebaki dormant kwa muda...
  7. Redpanther

    Nikisema Wanawake wengi ni wabinafsi wa furaha (Narcissists) nitakuwa nakosea?

    Hello Habari gani wanajamvi la MMU. Eeh bhaa kuna kitu nilikuwa nakisikiaga tu ila naanza kukiamini. Ishu iko hivi. Hivi kwa mfano mke wako yeye anapenda kutizama Muvi za kibongo kama Vile Tamthilia ya Huba na Jua Kali. Yeye anatizama tamthilia zake na kiukweli mimi sio mshabiki wa hizo...
  8. Redpanther

    Kwanini ni rahisi kwa Mwanamke kumwambia rafikiye kuwa amempenda kaka yake na si kwa Wanaume?

    Habari za wakati huu wandugu. Mie nimepata maswali kadha kadha kichwani mwangu. Hii imejulikana toka muda, kwamba si Jambo rahisi au jema kwa Rafiki wa kiume kuambizana kuwa nimempenda dada yako. Hii kauli haraka haraka yawezaibua ugomvi na hata kusababisha urafiki kufa kabisa. Lakini kwa...
  9. Redpanther

    Cash app ipi ambayo mtu aliye Tanzania anaweza kupokea pesa kutoka Marekani?

    Hello everyone, Hope this post finds you well! To cut it short, nahitaji mnisaidie kunitaji Cash app ambayo mtu aliyeko Tanzania anaweza pokea pesa kutoka Marekani. Nimejaribu kufuatilia PayPal, Paypal walidai kuwa hawana huduma ya kupokea pesa kwa Tanzania bali naweza pokea pesa kama malipo...
  10. Redpanther

    Niko katika Njia panda sijui nichukue kipi kati ya hizi course

    Habari za Jioni hii ndugu WanaJf wenzangu. Natumaini mko poua kabisa na mko katika mapumziko baada ya kazi za siku nzima. Ngoja niende kwenye maada moja kwa moja. Niko katika Njia panda sijui nichukue kipi kati ya hizi course. Kwa ufupi mimi nimwajiriwa kwenye shirika la umma ambaye nimesomea...
  11. Redpanther

    Mwanasayansi agundua chanzo mbadala cha nishati ya umeme itakayofanya mgao wa umeme kuwa historia

    Habari za wakati huu wanaJamvi wenzangu. Aseee, Mwanasayansi nguli na Professor Cha jae Weon amegundua Choo Chenye uwezo wa kubadili Kinyesi cha binadamu kuwa Chanzo cha nishati. Kwa Mujibu wa Utafiti, Binadamu anauwezo wa kuzalisha Nusu kilo (500gm) ya kinyesi kwa Siku. Na kiasi cha 500gm kwa...
  12. Redpanther

    #COVID19 Je, COVID-19 imeathiri vipi maisha yako ikiwemo mahusiano yako na unaowapenda?

    Habari gani ndugu zangu wanaJamvi pendwa la Hoja Mchanganyiko. Natumaini mnaendelea vyema kabisa na mihangaiko ya kila siku na mapambano ya UVIKO-19. Niende kwenye maada moja kwa moja. Binafs, huu ugonjwa umeniathiri sana katika mahusiano yangu na watu ninao wapenda. Tuanzie hapa, Mwezi June...
  13. Redpanther

    Hivi nyie mliooa mnatuonaje siye ambao hatujaoa?

    Habari za wakati huu wanaJF wenzangu, ni matumaini yangu mko salama kabisa ndugu zangu. Acha niende kwenye maada moja kwa moja. Eeeh Bhana kuna mshikaji mmoja alikuwa anamla Manzi fulani hapa mtaani na bahati nzuri au Mbaya yule demu akashika ujauzito so ikabidi wasogezane waanze kuishi pamoja...
  14. Redpanther

    Nikilewa najikuta naongea maneno mazuri mazuri kwa mpenzi wangu

    Habari gani ndugu zangu wanajamvi pendwa la MMU. Natumaini wote ni wazima wa Afya kabisa, Mi pia ni mzima wa Afya. Iko hivi, nina mpenzi wangu ambaye kusema ukweli nampenda ila kuna zile up and down kuna muda nakuwa sina ile amani ya moyo labda jwa sababu tulitofautiana so hapo inakuwa hadi...
  15. Redpanther

    Yaani we ni mfupi halafu unajaza kifua ili uende wapi?

    Habari za wakati huu wadau wa Jamvi letu pendwa JF. Eeeh bhana niko kwenye mtoko wa pekee yangu huku mkoani kwetu. Sasa hapa kuna ki pub kimoja hapa, sasa kafika jamaa mmoja hivi kajaza hicho kifua ila ni mfupi ndio. Nikawa najiuliza hivi watu wengine huwa hawajiukuzi kuwa. Nitaonekana vipi...
  16. Redpanther

    Serikali inadhibiti vipi maduka ya vifaa vya magari vilivyotumika nchini?

    Habari za wakati huu tena Dada na Kaka zangu, ni jioni nyingine tena ya siku ya Jumapili ya tarehe 20/06/2021 ambayo mimi Binafsi ni mzima Afya natumaini pia hata nyinyi mko salama. Acha niende kwenye maada moja kwa moja..! Kuna wizi wa vifaa vya magari na magari yenyewe umeshamiri sana Hapa...
  17. Redpanther

    Kwani lazima kila mahusiano ya kimapenzi yaishie kwenye ndoa?

    Habari gani ndugu wana Jf Kama maada inavyojieleza, ninakuwa na maswali machache ambayo moja la swali ni hili..! Kwanini watu wanataka Kila mahusiano yawe au yaishie kuwa ndoa? Hapa unakuta kijana wa kiume au kike basi analalamika kaumizwa ooh kapotezewa muda. Kwani nani alisema kila mahusiano...
  18. Redpanther

    Dada una miaka 28+ unatoa wapi ujasiri wa kuuliza namba yangu umepata wapi?

    Habari gani wadau na wanajamvi wenzangu wa jamvi pendwa la MMU? Eti mtu nimekuwa napiga naye stori kila mara kwenye ki glosari kimoja hivi. Sasa nikawa nimemuelewa, huyu dada ni mzuri kusema ukweli halafu anakamwili fulani portable sana yaani [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]. Nikawa...
  19. Redpanther

    Tukisema ndoa zimekosa mvuto na thamani mnakataa na kutuuliza "umeoa"?

    Habari gani Wakuu Aisee mimi kila siku nimekuwa najiuliza maswali memgi kwanini nioe yaani kwanini ? Wanaojiita Wachungaji wanatuaminisha oooh ndoa ni tamu oooh imekaa hivi ooh imekaa pale! Hebu chukulia mtu ameolewa juzi juzi ambaye tunaamini ndoa ni tamu bado lakini anachepuka na Mume wa...
  20. Redpanther

    Kuchati kwenye simu wakati mmetoka 'out' na mtu ni kero

    Habari gani watu wa nguvu..! Poleni kwa Majukumu ya siku nzima na kwa wale walioingia kazini usiku huu, Majukumu mema. Acha niende kwenye maada, katika karne hii ya 21 kuna mambo memgi yamejitokeza, Mengi mazuri na Mabaya machache. Moja ya mambo yaliyokuja kwenye karne hii ya 21, ni pamoja...
Back
Top Bottom