Search results

  1. T

    Natafuta chumba cha kupanga

    Natafuta chumba cha kupanga maeneo ya sayansi mpaka Morroco, Sinza au Mikocheni. sifa za chumba ni:- 1. Iwe chumba na sebule self contained na jiko, maji na umeme. 2. Ndani ya fensi 3. Pawe na uwezo wa kufika gari mpaka kwenye nyumba 4. Karibu na barabara na usalama uwepo. Mwenye...
  2. T

    Hair super gro!

    Kwa akina dada wanaohitaji dawa ya kurefusha nywele na kuzifanya ziwe nzito wanaweza wakapiga namba hzi,(0716574636/0787638521) wakazipata. Ni kwa sh. 10,000/=. Ni dawa iliyotengenezwa kwa mmea wa Alovera, na imetengenezwa USA.
  3. T

    Dawa ya kukuza nywele

    Dawa ya kukuza, kujaza, na kufanya nywele ziwe nzito inauzwa kwa bei ya sh. 8500/= tu. Mnaweza kuipata kwa kupga simu 0787638521. Napatikana Dsm, Karibuni kina dada na kina mama.
  4. T

    Fhi

    Naombeni msaada kwa anayelifahamu shirika la Fhi lilipo hapa dar. Nafahamu tu liko oysterbay, lakini sifahamu exctaly location. Naombeni tu mnielekeze. Asanteni wana'jf
  5. T

    Kw wana'UDSM, naombeni msaada kwa hili

    Wapndwa naomba msaada kwa yeyote aliyeko chuo kama anaweza kunisaidia kunichekia timetable ya sup kwa somo la EC.116 inafanyika lini. Plz naombeni msaada.
Back
Top Bottom