Search results

  1. O

    Top ten wonderful names from Tanzania

    Musa mkunduge na Uswege Angumbwike..,Azania sec.98'-01' Mulilo Tolewa huyu alikuwa mtangazaji wa BBC Swahili
  2. O

    Basi la Raha Leo lilivyosheheni abiria mpaka mlangoni!!

    kama ni ile Raha Leo inayotoka Tanga saa 10 jioni mbona hapo bado kwenye corridor ya hlo basi huwa kuna vigoda vya kukalia watu yani hata kwenda kuchimba dawa huwa ni issue pa kupita..waTz tunahitaji kubadilika kwa kweli unless we will remain surrow 4 life!!!
  3. O

    CUF yafunika Igunga, Shughuli zasimama, Maduka yafungwa, CDM yapata aibu.

    ndugu thibitisha kauli zako kwa vielelezo sio unajifungia chumbani then unatuandikia ngonjera za kusifia chama humu
  4. O

    Ubora wa degree za UDOM na St Joseph

    hyu n kati ya watu ambao wanaishi kw kukariri na ninawasi wasi hta na ufaulu wke..nowdays elimu haipimwi kwa ukongwe wa chuo bali ni facilities zipatikanazo..hyo UDSM bora E.A anayoizungumzia yeye n ya enzi za akina Samwel Sitta n si hii ya wataalam wa migomo ambao wanakaa nyumban miez 2 ndan ya...
  5. O

    Meli ya MV Spice Islander, yazama ikelekea Pemba; wengi wahofiwa kupoteza maisha

    atakuwa amekaririshwa ku-smile kama watangazaji wa Tv..na ndo maana hata akitoa maagizo watu huyachukulia poa tu na kuyapuuzia bila ya utekelezaji sbb ya kucheka cheka kwake kusiko na msingi wowote hta kwenye mambo serious!
  6. O

    Vyombo vya habari vya umma na siku tatu za maombolezo

    mi nafikir hyu mkurugenz wa ss amekosa vipaumbele kwny kazi yke..
Back
Top Bottom