Search results

  1. cjilo

    Ubora wa Bombardier: Kwanini ndege hii imechukua siku 5 kutoka Canada hadi Tanzania?

    Watu bhana,ndege si ya masafa marefu kwa hiyo lazima kila baada ya umbali flani na kifanyiwa inspections husika. Muwe mnauliza kabla ya kuandika ujinga wenu
  2. cjilo

    Swali Gumu : Washambuliaji wa Lissu wanafahamika, nani wa kuwakamata?

    Sijawahi ona mtu kujikamata mwenyewe
  3. cjilo

    Wote tumesema kuhusu Tundu Lissu lakini kwa huu wimbo wa Aslay katuzidi!

    Asley ushawahi pimwa mkojo wako, utangulie kabisa zimbo
  4. cjilo

    Makala: Buriani Komredi Mawazo, Mpe Hongera Zangu Ken Saro-Wiwa

    R.i.p Mawazo,bado tunamlilia Ben Saanane, tundu Lisu tunamuombea
  5. cjilo

    AJALI: Mabasi ya Mwendo Kasi yagongana eneo la Shekilango na kusababisha foleni kubwa Morogoro road

    Nashukuru kwa taarifa Sent using Jamii Forums mobile app
  6. cjilo

    AJALI: Mabasi ya Mwendo Kasi yagongana eneo la Shekilango na kusababisha foleni kubwa Morogoro road

    Wanajamvi nipo hapa Korogwe kwa zaidi ya nusu saa hakuna gari inayoenda wala kutoka Kimara, watu ni wengi kiasi hata kusogeza mguu huwezi. ------Updates----- tramadol said, Kuna ajali mbaya ya mabasi ya mwendo kasi maeneo ya Shekilango baada ya basi moja kuligonga basi lingine kwa nyuma...
  7. cjilo

    Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

    À Sent using Jamii Forums mobile app
  8. cjilo

    Bilioni 220 zatumika kukimbiza Mwenge mwaka huu 2016

    Mwenge uendelee kwan unamulika mafisadi na mabashite wote
  9. cjilo

    Mnyika: Kama Magufuli anaheshimu uhuru wa maoni, Fulgence Mapunda na wahanga wengine waachiwe

    Mnyika angetuambia ni kwa nini Cotide hapati dhamana leo, kwa nn hapelekwi mahakamani ili tuanze kuwapigia kelele wamuachie
  10. cjilo

    Nani aligharamia ukarabati wa kifahari wa ofisi ya Mkuu wa mkoa DSM?

    Safi sana Makonda tumekuelewa, serikali ina fedha nyingi sana inatafuta matumizi tuu
  11. cjilo

    Biashara zasimama Kariakoo

    Watu wamezuiwa wasifungue maduka leo, usipende kupotosha
  12. cjilo

    Faida ya unyenyekevu katika ndoa na mahusiano kabla ya ndoa

    Kwa hakika umeongoa vitu vizuri kwa afya ya mahusiano
  13. cjilo

    Bodi ya mikopo (HESLB) wafungiwa milango na waajiri

    Wadaiwa sugu!!! Hatulipi....!!
  14. cjilo

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Kufungwa ni matokeo ya mchezo, Conte atafanyia kazi makosa ya huo mchezo na tutaendelea kushinda
  15. cjilo

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Ubora wa mchezaji hahangalii goli na assist tu
  16. cjilo

    Kardinali Pengo: Maisha yamekuwa nafuu sana awamu hii

    Habari hii ni ya ukweli, naweza kuwa nimekosea hapo kwa kwenda kwao, lakini labda kwenda huko alikoenda,,,,sikiliza redio tumaini hasa asubuhi labda washtukie na kuifuta
  17. cjilo

    Kardinali Pengo: Maisha yamekuwa nafuu sana awamu hii

    Leo wakati najiandaa kwenda kanisani ibada ya pili nikasema ngoja niweke redio yetu Tumaini. Baba Askofu akitoa salamu za Xmas kwa waumini alisema kuwa yeye anaona maisha yana nafuu sana, labda kwa wale ambao walizoea kupata fedha ambazo si halali ndio wanaolalamika. Kukazia hilo akasema...
Back
Top Bottom