Jamii tunahitaji kukamilisha taarifa zetu katika mtandao wa bodi ya mikopo ya elimu ya juu lakini mtandao huu haufunguki .au huko kwenu vipi unafunguka?
mkuu si unit ya mwendo kasi ni km/h au mph kwa maana ukiandika 80km/p maana yake ni kwamba itakukuchukua lisaa limoja kutembea kilomita 80. sasa hakuna umbali wa gari kubwa au ndogo umbali uko ardhini . na hii imekaa ki theory lakini practicaly ni ngumu ule mshale ukawa uko kwenye 80km/h lisaa...
JAMIIFORUM,
NAJUA HUMU KUNA WAJUZI WENGI HIVYO NAAMINI NITAPATA MSAADA,GARI YANGU AINA YA TOYOTA CROWN ILIGONGA JIWE NA KUPINDISHA PROPELA,TANGU SIKU HIYO IMEKUWA NA TATIZO LA KU VIBRATE IKIFIKA SPEED 80 NA KUENDELEA.
JE HILO NDIO LINAWEZA KUWA TATIZO MANA NIMEPELEKA KWA FUNDI HAPA MTAANI...
Huyo jamaa juu hapo amekudadavulia vizuri sana.passport ya tanzania ni haki ya kila mtanzania ambaye ni msafiri .ili upate passport lazima uwe mtanzania na uwe na safari, haya ndio masharti makuu mawili na lazima yathibitishwe kwa maandishi without reasonble doubt . ili kuthibitisha uraia wako...
Kuku wangu wameanza kutaga,lakini cha kushangaza inaweza kupita siku kadhaa hawatagi, yaani usipowafungia bandani kwao basi ndio kabisa hawatagi. na uchunguzi nilioufanya nimegundua wanataga kwa jirani yangu na jirani ameuchubua.
Wakati natafakari hili ndio ikanijia kumbukumbu ya kwamba zamani...
huku mkoa wa songwe wilaya ya songwe hata wiki moja haijaisha tangu bank ya NMB ifunguliwe,lakini wizi wa kusema hela iko pungufu wakati ulihesabu vizuri umeanza.sasa tunasema wataondoka.
Habari wana jamvi
Leo nimepata muda wa kupitia pitia Google Maps kuangalia maeneo tofauti tofatuti.
Lakin nilipofika katika ziwa nyasa vitu vya kushtusha naviona mbele ya macho yangu.kwa kifupi ni ziwa lote la nyasa kupewa umiliki nchi ya malawi
Vitu hivo ni kama ifatavyo;
1) jinsi mipaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.