na Magufuli Kura za kubadili katiba aendelee kwa miaka kumi mingine atapigiwa na wengi ama wanajielewa au hawajielewi UTAJUA,..inshu si wengi..., UTAONA.. . TUONE..
corona ni Ugonjwa wa msimu, december hadi April mafua yanakwisha, ni badiliko la majira ya aphelion na pelihelion yanayo badilika baada ya miaka 400, mwanzoni ilikuwa january to May sasa ni december to April, itasumbua miaka zaidi ya saba. HAKUNA CHANJO WALA KIDHIBITI HALI HII. NI MOVEMENT...
Chadema tuongeeni kidogo
Ndugu zangu wanaChadema tumepoteza kabisa welekeo!
Mtu mjinga, asiye na akili, akifeli kwenye jambo lake lolote atatafuta kisingizio. Na mara zote hurushia lawama kwa wengine. Chadema tumefeli! Kwenye uchaguzi huu 2020 tumefeli.
Kwamba tuliibiwa, kwamba tulikosa...
Nadhani Nimenyoosha Taarifa sio Vema Kuendeleza Malumbano. Kwenye wengi Taarifa pia ni Nyingi. Mtoa Hoja alisema Ametonywa na mtu, Watu Hutonywa Mengi, lakini Ukweli ni kwamba Mweshimiwa Diwani alifanya Kikao Chake na Wadau Kwa Sababu ndio Ilikuwa Ratiba Yake na Mweshimiwa Mbunge tulikuwa Naye...
MTOA HOJA
Si Jambo Zuri, Hata kama Uhuru wa Habari ni Jambo Binafsi, Lakini Kuweka Post ya UONGO sio Uungwana. Lakini Kwa kuwa mtoa maada ametonywa basi ni vizuri kunyoosha Taarifa Hizo Kwa Usahihi.
Tarehe hiyo 18/12 Ijumaa, Ni kweli Diwani wa Mbezi Juu CCM Mweshimiwa Anna Lukindo Alikuwa na...
Ifike wakati Watanzania Tukatae vichwa vya Kurogwa. Tuikumbuke nchi hii na tuijenge Kwa Upya.
Naomba nisiwachoshe Kwa Takwimu Na mlolongo wa mambo ambayo mnayajua..itoshe kusema tu kwamba Bidii ya Rais wetu kugundua Na kuwachomoa mafunyfunyu ya makontena Na mabilioni ya fedhazetu zilizokuwa...
Siku zote mtegemea cha Nduguye hulalia bati lililo toboka.. kwani hatuwezi kujiuliza HAO WANAOTUPA HIYO MISAADA WAO NANI ANAWAPA MISAADA.
MISAADA haisaidii MISAADA ni UJINGA.. MISAADA NI ULEMAVU WA AKILI.. OMBAOMBA HAPANA SIKU ATAJINASUA ..
Ndio maana wanaweka masharti ya magumu.. Umaskini...
How Come!!
Kwamba Zanzibari hawakufanya uchaguzi wa kidemokrasia ndio Msitishe misaada ya kiutu kwa Raia? Wananchi Maskini hawa wamekosa nini..
Watawala waliokandamiza Demokrasia Yenu kwa taarifa yenu hela wanazo. Hawatishwi na mirija mliyo ikata .. hatakama mtazuia kila aina ya msaada wao...
Wengi wetu hatujui Muungano ni nini wala Faida zake kwetu ..
Nchi inao wajibu wa kuliondoa Ombwe hili la ielewa kwa Wananchi wake ili tufanye maamuzi tukielewa
Kuwa Rais na Kiongozi mkuu wa wananchi ni Jukumu kubwa..
Usitarajie hata siku moja kwamba utasifiwa na watu wengi.. jua Malipo halali ya Kiongozi yeyote hulipwa na Mwenyezi Mungu..
Kiongozi mkuu anapoamua kuambatana na Jamii ya watu wanyonge wasio na sauti.. ni kama kujivika mabomu ni...
KUNA WATU MNAFURA SANA hapa nchini. uzalendo, Utu, Ustahimilivu, haki vimewatoka kabisa. mnaamini watanzania wenzenu sio watu ni viumbe vingine. uchaguzi ni takwa la kikatiba, waache wananchi wafanye yao. mie nachoongelea hapa ni fact za hekima. kama una hoja jikite kwenye fact hizi.
na nyie...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.