Pole sana, inafurahisha na kutia moyo pale mpenzi/mume anapokuwa amekosea ukagundua anakuwa anajutia kosa na kukuonyesha kuwa kakukosea, lakini sio majibu ya mkato, na ya uongo,huyu anahitaji kupelekwa kwa wazee
haya mambo yana flow yenyewe tu,hayana formula, nasikia kuna kabila bila kupigwa hajaona kama anapendwa, bun naona kama una mpenzi wako unampenda na unataka awe mkeo,mwonyeshe tu kuwa unampenda sana, kuliko ulivyompenda mwanamke yeyote hapa duniani, na kwamba uko tayari kushare maisha yako yote...
Mi nakushauri usiondoke kabisa, kuna mambo ya ajabu zaaidi ya hayo humu duniani, jitahidi kumkalisha na kumwambia anayofanya siyo vizuri,mtishie hata kumsemea kwa wazazi wa huyo mtoto, na kama atazidi mwambie utamtoa gazetini,mtishie tu,coz viongozi wanaogopa sana magazeti.
Mambo mengi sana tunaongea, na kumbuka kakaa miaka yote tano bila kusema kaja kusema majuzi,kwa kweli inasikitisha sana,sasa embu imagine, kwa kunambia mie tu mdogo wake watu pia wanasema angeyaficha ya mume je akaenda kwa washauri wengine? watu watasemaje, na yeye pia ni mtu wa kutaka kuonekana...
Ahsante kwa majibu mazuri Who Cares....dada yeye yuko mid thirties, bado anadai, na shem anaenda gym kwa ajili ya mazoezi,kuhusu kumfatilia nyumba ndogo, alimfatilia yule aliyemkuta nae, akakuta ni msichana mwenye mchumba na pia ana bwana mwingine mume wa mtu pia, iliishia hapo, na si mtu wa...
Ilianza miaka hiyo niliyotaja,anasema alianza kama utani, inaweza akawa anamhitaji leo usiku akaambiwa ana stress, ilikuwa week haipiti, ikaanza kupita, mara mwezi mara akawa anajisahaulisha,ugomvi wao ni wa kawaida kama couple nyingine,sio maugomvi makubwa sana,hajawahi ombwa tigo hata mara...
Atakuwa kavumilia sana sana maana ungemwona miaka tano nyuma na sasa lazima kama ndugu yako ungembana, nimembana sanasana, kasinyaa, hata mkitoka haongei kama zamani, ana presha imemuanza na ni mwembamba, si poda wala cream hazimkai, kazidiwa,anaogopa hata kwenda kanisani au kwa wazazi
kasema kila akijaribu kuongelea hilo swala analetewa ukali wa hali ya juu, na kumbuka kumwongelesha mwanaume kitu hicho yataka ujasiri,akimwambia twende hospital anajifanya kaenda mwenyewe anarudi na vidawa vya forever living na health sijui nini, yaani nimeonyeshwa, naona kama ni za kawaida tu...
Ndoa yao ina miaka zaidi ya kumi na hivi, so watoto aliapata bila tatizo ndugu yangu, wanasafiri mbuga za wanyama, wanaendaga zanzibar sijui ma nchi ya mbali,dada akirudi ananiambia hakuna kitu kilichotokea, huruma jamani
Nadhani sio vizuri,kwani inapunguza ufanisi kazini, ila acha kabisa ukimpenda mtu ofisini, unajifanya humwoni,ila kama tu asipokuja ofisini unahisi hata kuumwa homa
Wapenzi salaam,
Nina mkasa, au jambo ambalo linamsumbua dada yangu kwa kiasi kikubwa sana,nimeshare nanyi kwa kuwa najua kwenye wengi hakukosekani busara na majibu ya maswali magumu.
Nina dada yangu mumewe anashindwa kumpa unyumba kwa miaka sita sasa, hata akijitahidi kukutana na mkewe anaishia...
Waondoke wakaanze tena wakati walikuwa washafika! hata mie kama nampenda ningependa kumsikia mdomoni mwake maamuzi yake ndipo niamini,sipendi kubaki na maswali kichwani wakati mjibuji yupo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.