Search results

  1. C

    Matumizi ya dawa za palizi!

    Habarini Wanajf Naomba kuelekezwa namna ya matumizi ya dawa za kuangamiza magugu sinazofahamika kama palizi. Nimelima alizeti maeneo ya Dodoma. Mimea ya Alizeti ilikuwa na magugu, nikaelekezwa kuwa nikipiga dawa mimea inabaki halafu magugu yanakauka. Hivyo nikapuliza dawa hiyo shambani lakini...
  2. C

    Madereva wa Serikali na mabosi zenu kwanini mnapenda mnaendesha vibaya?

    Naomba kujibiwa hili swali, hv ni kwani hakuna hata siku moja mnatoka nyumban kwenu mapema kwenda ofisini? Kwanini kila siku mtoke kwa kuchelewa halafu njiani ni kukimbia, wrong overtake na kutoafuata vibao vya speed? Hivi ninyi ambao ni mabosi ni kwanini mnafurahia mwendokasi ile hali...
  3. C

    Serikali badilisheni pori tengefu la Kibaha liwe eneo la makazi!

    Naomba kuishauri serikali kupitia wizara ya Ardhi kuangalia uwezekano kubatilisha matumizi ya pori tengefu lililopo Kibaha mkoa wa pwani liwe eneo la makazi ya watu na matumizi mengineyo! Eneo hili lilihodhiwa na shirika la Elimu Kibaha ambapo kwa sasa shirika hilo limefutwa! Pori hili...
  4. C

    Je, Saratani ya damu (multiple myeloma) inaweza kupona?

    Naombeni kufahamu kama kuna tiba yeyote inayoweza kumponya mtu mwenye hii saratani ya damu kitaalamu wanaita multiple myeloma au plasma cancer!
  5. C

    Nimetafakari sana juu ya uwezo wa Askari Polisi

    Majuzi lilipotokea tukio la kutupiana risasi baina ya vijana wetu wa jeshi la polisi na bwana Hamza vimenifanya nifikirie saana juu ya uwezo wa polisi katika kulenga shabaha! Hamza alikuwa sehemu ya wazi! Lakini zilitumika risasi nyingi saana na polisi kumshambulia hamza. Mwishowe tulisikia...
  6. C

    Tanzania ni ya kwetu sote

    Awali ya yote nipende kuwasalumu nyote! Tuna kila sababu ya kumshukuru Mungu kwa kutuchagua na kutufanya tuitwe watanzania. Ni nchi ya kipekee duniani hivyo tuna kila sababu ya kutembea vifua mbele na kujivunia utanzania. Baada ya kusema hayo niingie kwenye maada kwa kusema Tanzania ni nchi...
  7. C

    Kuku wangu wanavimba macho

    Wajuzi naomba mnisaidie, kuku wangu wanavimba macho! Yanafumba! Wanasinzia! Pia wanapata choo cha rangi ya kahawia! Niwape dawa ipi!? ======== Zaidi soma: Msaada: Kuku wangu wanavimba sehemu za usoni
  8. C

    Waziri wa Afya, hizi gharama za matibabu Tumbi Hospital zinatisha

    Waziri wa Afya niombe uimulike hii hospital iliyopo mkoa wa pwani! Gharama za huduma ni kubwa mnoo! Mfano ukaenda pale kutibiwa gharama ya kujiandikisha ili umwone daktari ni Tsh 5000/= halafu anayehudumia ni intern. Gharama za kupima malaria (MRDT) ni tsh 6000. Hapo bado huduma nyingine, bado...
  9. C

    Vipimo vya presha vinanichanganya

    Leo nimepima presha nimepata katika vituo vitatu tofauti majibu yamekuja tofauti tofauti. Cha kwanza ilikuja 152/80/67 nikamwomba arudie ikaja 146/79/68. Nikenda kituo cha pili nilipata 156/83/64 nikamwomba arudie ikaja 132/84/69 nikaenda kituo kingine nikapata 130/78/71. Wataalamu naombeni...
  10. C

    Ningemwambia haya Rais Samia endapo ningepata nafasi ya kukutana naye

    Ningemsalimia kwa unyenyekevu mkubwa na kumshukuru kwa nafasi ya kukutana naye! Ningemwambia kuhusiana na changamoto ya ukosefu wa ajira kwa vijana wengi katika taifa letu! Ningetoa mapendekezo yangu kuwa sekta ya kilimo itazamwe upya kwa jicho la tatu kama mkombozi wa changamoto hiyo! Kuwa...
  11. C

    Naomba mbinu za kupunguza uzito kwa haraka

    Habari zenu, mimi ni mrefu wa sentimeta 183, awali nilipima nikawa na kg 104. Uzito huo ulinitisha nikaamua kuanza mazoezi na kubadili life style. Nimeacha kutumia soda, maana hapo kabla kila siku nilikuwa Lazima ninywe soda/grandmalta, pia nimepunguza kiasi cha ulaji. Jioni huwa nakula matunda...
  12. C

    Msemaji wa Serikali: Tanzania haijawahi kusema haijawahi kuwa na Virusi vya Corona, hatujadharau chanjo

    Msemaji wa Tanzania Dkt Hassan Abbas amesema Tanzania inakabiliana na janga la corona kwa kutumia dawa za asili. DKt Abbas alimwambia mwandishi wa habari wa BBC,Salim Kikeke kuwa Tanzania haitapuuzia chanjo iliyokubalika kimataifa kuwa salama kutumia kama kinga. Pia Ameeleza kuwa hakuna ambaye...
  13. C

    Mwanamke mwenye kichanga kupata ujauzito

    Ndugu wanajamvi, huyu mwanamke ni jirani yangu! Ana kichanga cha miezi tisa (9)! Alinieleza njia ya uzazi aliyokuwa anaitumia ni ya kalenda! Sasa kuna kulingana na mabadiliko ya mazaringira kumbe siku zikavurugika! Pasipo kutarajia akanasa ujauzito! Je nini madhara yake!? Je, atoe mimba au...
  14. C

    Halotel wameshikilia hela yangu nimekusudia kwenda kushtaki

    Nilimtumia mtu fedha kutoka kwenye akaunti yangu ya halopesa Ile hela haikufika ila kwenye akaunti yangu wakaikata! Niliwasiliana na huduma kwa wateja bila mafanikio! Ni wiki sasa ile hela bado hawajanirejeshea! Wadau ninataka kwenda kuwashtaki.
  15. C

    Mtoto wa miezi sita hajaanza kusimama!

    Wakuu habarini! Naomba mnijuze, huyu mtoto ana miezi sita hajaanza kutambaa! Kinachonishangaza ni kuwa anajitahidi kutaka kusimama! Akijishikilia na kitu chochote basi anajitahidi asimame! Je hii ni jambo la kawaida!?
  16. C

    Ni nani aliyewaambia CHADEMA mtashika dola?

    Siioni kama CHADEMA ina hata tone la dalili ya kushinda! Taasisi na vyombo vyote vya dola havipo upande wenu! Je, ni nani atakayesimamia na kuwapa huo ushindi mnaouta!? Bendera zenu kila kona zinashushwa na kuchanwa, pamoja na kuwa ni kinyume cha sheria jambo hili mmeshindwa kulizuia au...
  17. C

    Swali kwa wadada

    Hv ni kwanini nyie kila siku huwa hamna nauli!? Hela zenu mnapeleka wapi!?? Kila siku mnataka mtumiwe nauli, khaa! Mtu yupo Ubungo anataka atumiwe nauli ndio aje Kimara mwisho. Na ya kutolea
  18. C

    Duka la urembo wakina dada

    Nimepata wazo la kufungua duka litakalouza vifaa vya urembo kwa wakina Dada (cosmetics) maeneo ya Mbezi ya kimara au Kibaha. Nimewaza kuweka perfume mbali mbali! Mafuta ya kupaka, lotion, sabuni za manukato, rangi za kucha. Je nahitaji kuwa na mtaji wa kiasi gani!? Kariakoo nitapata bidhaa kwa...
  19. C

    Mabinti naomba niwakumbushe!

    Naomba kuwakumbusha muweze kutofautisha elimu za darasani na elimu ya maisha! Ni vitu viwili tofauti! Hamuolewi kwasababu ya degree zenu mlizonazo. Elimu mlizozipata shuleni sio sifa au kigezo cha wewe kuolewa. Mkumbuke majukumu ya mwanamke ndani ya nyumba kulingana na tamaduni zetu waafrika...
  20. C

    Je, kuna madhara ya kupaka mate kwenye uke!?

    Heshima kwenu! Kwa madaktari mliopo humu, je kuna madhara ya kupaka mate kwenye uke wakati wa kufanya mapenzi!? Wanawake wengine huwa ni wakavu! Hivyo mate hutumika kama kilainishi.
Back
Top Bottom