Search results

  1. C

    Matumizi ya dawa za palizi!

    Okay, kwa hiyo kwenye mahindi ninapiga yakiwa na muda gani?
  2. C

    Matumizi ya dawa za palizi!

    Habarini Wanajf Naomba kuelekezwa namna ya matumizi ya dawa za kuangamiza magugu sinazofahamika kama palizi. Nimelima alizeti maeneo ya Dodoma. Mimea ya Alizeti ilikuwa na magugu, nikaelekezwa kuwa nikipiga dawa mimea inabaki halafu magugu yanakauka. Hivyo nikapuliza dawa hiyo shambani lakini...
  3. C

    Madereva wa Serikali na mabosi zenu kwanini mnapenda mnaendesha vibaya?

    Naomba kujibiwa hili swali, hv ni kwani hakuna hata siku moja mnatoka nyumban kwenu mapema kwenda ofisini? Kwanini kila siku mtoke kwa kuchelewa halafu njiani ni kukimbia, wrong overtake na kutoafuata vibao vya speed? Hivi ninyi ambao ni mabosi ni kwanini mnafurahia mwendokasi ile hali...
  4. C

    Serikali badilisheni pori tengefu la Kibaha liwe eneo la makazi!

    Ni eneo kubwa nadhani likafika hata kilomita za mraba 8
  5. C

    Serikali badilisheni pori tengefu la Kibaha liwe eneo la makazi!

    Naomba kuishauri serikali kupitia wizara ya Ardhi kuangalia uwezekano kubatilisha matumizi ya pori tengefu lililopo Kibaha mkoa wa pwani liwe eneo la makazi ya watu na matumizi mengineyo! Eneo hili lilihodhiwa na shirika la Elimu Kibaha ambapo kwa sasa shirika hilo limefutwa! Pori hili...
  6. C

    LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

    Ndugu zao katika Imani umetoa andiko zuri
  7. C

    Naomba Ushauri: Kaka yangu ananitishia kuwa ataniua

    We ni mpumbavu tu, usitushirikishe ujinga wako! Unanidanganya una visenti ndio unadhani utaweza kufanya lolote!? Mburukenge!
  8. C

    Mtwara - Tandahimba "Wanajeshi wanakagua vitambulisho na mizigo" Kama huna jiandae kuruka kichura chura!

    https://www.bbc.com/swahili/live/habari-54641755 Fuatilia hiyo link uone hatari iliyopo mkoa wa mtwara
  9. C

    Mtwara - Tandahimba "Wanajeshi wanakagua vitambulisho na mizigo" Kama huna jiandae kuruka kichura chura!

    Wanakagua National ID!? Unafahamu wamesuspect nini kwenye hiyo mizigo wanayokagua!? Unadhani hakuna Sheria za nchi zinazowaongoza wao kufanya hivyo!?
  10. C

    Mtwara - Tandahimba "Wanajeshi wanakagua vitambulisho na mizigo" Kama huna jiandae kuruka kichura chura!

    Mkoa wa mtwara unapakana na Msumbiji, Kaskazini mwa Msumbiji kuna waasi wa Ansar al-Sunna ambao wanapambana na serikali ya nchi yao! Mara kadhaa waasi hao weshaingia nchini kwetu na kufanya vitendo vya mauaji ikiwemo kijiji cha kitaya! Hata sasa waasi hao hujupenyeza na kuingia mtwara kwa ajili...
  11. C

    Mtwara - Tandahimba "Wanajeshi wanakagua vitambulisho na mizigo" Kama huna jiandae kuruka kichura chura!

    Congo wanaenda toka kitambo tu, Sudani, Central Africa, Mozambique na Lebanon
  12. C

    Ndugu yetu yupo kwenye mtego nchi moja ya hapo Ulaya, tunamtoaje?

    Ni uongo huo! Aende akatibu hospital huku akiwa ni mwanafunzi!??? Tena wa mwaka wa pili!?? Ana leseni tayari???
  13. C

    Mchumba wangu ananishirikisha katika kila kitu cha maendeleo anachofanya

    Nadhani wewe hauelewi unachokifanya!?? Mm sio mtoa maada Mimi ni mchangiaji kama ww
  14. C

    Mchumba wangu ananishirikisha katika kila kitu cha maendeleo anachofanya

    Hahahaha mbona umeniquote hapo na kuniita mama!??
  15. C

    RE: Mrejesho wa maoni yenu kuhusu mwanamke niliyempenda, 12/12 / 2020

    Anatapatapa, itakuwa ameachwa! Sasa anatafuta pa kupoozea machungu! Huyu sio wako, Bado anatafuta hivyo akimpata mwingine atakuacha na kuondoka zake na pia tambua tu huwezi jua anarudi na nini kwako, pengine HIV positive! Hata hivyo
  16. C

    Niliyempata Love Connect anataka pesa muda wote la sivyo ananuna

    Kiukweli unachunwa anahongwa mwanamke mwenzio
Back
Top Bottom