Search results

  1. OTIS

    Iphone zenye line mbili zipo wadau

    Tangu Iphone zianze kutengenezwa kumekuwa na toleo la line moja tu hadi mwaka 2018 walipotoa Iphone XS yenye dual sim. Mtaani kumekuwa na watu wengi wasijua hili na mara nyingi wanasema simu hizo ni fake jambo ambalo sio kweli hata kidogo. Dhana hii inaweza kuwa inachangiwa sana na wengi wa...
  2. OTIS

    Msaada: Matibabu ya Ulcerative Colitis

    Habari wananzengo, Mdogo wangu amekuwa anasumbuliwa na ugonjwa wa Ulcerative Colitis tangu 2016 hadi leo. Ugonjwa huu unahusisha kujisaidia damu pale uendapo chooni. Tulimpeleka Aga Khan Hospital na baada ya kufanyiwa Colonoscopy, madaktari walijiridhisha kuwa anaumwa Ulcerative Colitis na sio...
  3. OTIS

    Bashe na kundi lake wanaigharimu CCM

    Kijana huyu na kundi lake amekuwa mstari wa mbele kukihujumu Chama cha mapinduzi kwa siasa zao za chuki na kutafuta ugomvi. Ni jambo la ajabu na la kusikitisha sana kwani kijana huyu ana sifa ya kusaka ugomvi na inaonekana hadi kwenye utendaji wake kwenye akiongoza Habari Corporation. Makala...
  4. OTIS

    Utata wa malipo kwa mke wa Mudhihiri

    Mbunge wa zamani wa jimbo la mchinga ndg Mudhihiri ambae kwa sasa ni mjumbe wa bodi ya korosho Tanzania, amekuwa akipokea malipo ya matunzo kwa ajili ya ulemavu wake wa mkono uliokatika mwaka 2008. Malipo haya yamekuwa yakipokelewa na mke wake ili kumtunza kwa ajili ya kufanikisha majukumu yake...
  5. OTIS

    Ways to make her happy.

    Ways to make her smile 1.Stay off your phone while with her 2.Send her a cute good night txt while she is asleep so she wakes up with a smile on her face. 3.Disrupt her concentration with a forehead kiss…women love forehead kisses. 4.Pull out her chair,open the door for her,let her...
  6. OTIS

    Wabunge wa CCM waitwa na kuonywa kuhusu saini 70

    Kwa mujibu wa Zitto kabwe hadi sasa saini 30 zimepatikana kutoka CDM,CUF na NCCR. Wabunge wa CCM waliodhamiria wameitwa na Mnadhimu wa serikali bwana Lukuvi Source: Zitto on twitter Update Deo filikunjombe ametia saini NI ushindi huu Zitto Zuberi Kabwe ‏ Zittokabwe #Sahihi70 ndugu...
  7. OTIS

    The 5 Types Of Men Who Make GREAT Husbands:

    Nimekutana na sifa hizi kwenye mtandao. Naomba maoni ya kina dada kuna ukweli kiasi gani hapa 1. The Provider He puts family first, always. He's a selfless man, who lives to please those he cares most about. He's the kind of man who can work two jobs in his sleep, always has a side-hustle in...
  8. OTIS

    Nipo tayari kwa mapambano

    Ndugu zangu watanzania wapenda maendeleo ya nchi yetu. Nawaombeni tuweke kando tofauti zetu za vyama nk na tuungane kwa pamoja na Mhe Waziri Mkuu Mstaafu ndugu Edward lowassa kupambana dhidi ya Umaskini,ujinga,maradhi na hasa ufisadi. Tukiungana kwa dhati tutafanikiwa. Niko pamoja nawe kwenye...
  9. OTIS

    Upuuzi wa Kipanya

  10. OTIS

    Uchumi wa Tanzania mfano bora duniani

    Uchumi wa Tanzania Unakua kwa kasi ya mfano wa kuigwa duniani. tazama forecast hii ya WB kati ya 2011-2015 Source The Sun. Forecast of annual GDP growth 2011-15 1. China 9.5% 2. India 8.2% 3. Ethiopia 8.1% 4. Mozambique 7.7% 5. Tanzania 7.2% 6. Vietnam 7.2% 7. DR Congo 7% 8...
  11. OTIS

    Nimerudi tena kwa ari,nguvu na kasi zaidi.

    Kada wenu wa Chama Cha Mapinduzi baada ya kutingwa kwa majukumu sasa nimerudi tena. Idumu CCM mpya. OTIS
  12. OTIS

    Happy new year Mr President

    Mheshimiwa Rais wa Tanzania Dr Jakaya Mrisho Kikwete nakutakia heri ya mwaka mpya 2012. Umefanya kazi kubwa mpaka sasa kuongoza Taifa hili na uongozi wako dhabiti umeonekana. Nina imani mwaka huu mpya wa 2012 utazidi fanya kazi kwa juhudi na maarifa ili kuleta maendeleo kwa mtanzania wa kawaida...
  13. OTIS

    One night stand

    Ninatamani one night stand na mdada yeyote wa JF. Vigezo Awe mrembo wa haja Sitaki virungu japo kwa siku husika atakula good time No feelings hata kidogo. PM itumike OTIS
  14. OTIS

    I'm back

    Baada ya kupigwa suspension na mods kwa kuisema Chadema. Nimerudi tena hapa jukwaani Nitasema kweli daima fitina kwangu mwiko. Where we dare to talk openly-this the best joke OTIS
  15. OTIS

    Upendeleo CDM wahamia mikoa mingine kutokea Kilimanjaro

    CDM siku zote imekuwa ikilalamikiwa kuwa na chembe chembe za ukabila,urafiki,ukwe,ukanda nk. Mara nyingi wamekuwa wakijaribu kujibu hoja hizi bila mafanikio. Mathalani,Mtei kamrithisha chama mkwe wake Mbowe. Chacha wangwe aliondolewa u makamu mwenyekiti baada ya kuhoji dhana za kubebana kikabila...
  16. OTIS

    I miss you.

    Three days. That’s how long it took me to sit down and write this. Every night I spend around 5 hours online trying to run away from this and end up sleeping at 7 am without actually getting the job done. So here I am iPod in my ears, fan blowing in my face, and laptop on my lap getting ready to...
  17. OTIS

    The new me.

    Nilikuja kwa jina la dushelele. Nimebatizwa jana na sasa naitwa Otis. Tuzidishe upendo. OTIS.
  18. OTIS

    lil Wayne 'breaks' iTunes sales record

    Lil Wayne's new album sold 964,000 copies in its first week on saleLil Wayne has set a new iTunes sales record with the release of his tenth studio album. Total sales for the American rapper's 'Tha Carter IV' in its first week were 964,000 according to Nielson SoundScan. But it reportedly...
  19. OTIS

    Im coming!

    Teacher: what's wrong? Johnny : our house is very small, Me, my mum and my dad, all sleep in the same bed. Every nyt my dad asks if I'm sleeping, I say No then he slaps my face & gives me a Black eye Teacher: 2nyt wen ur dad asks, keep dead quiet, don't answer. The following morning Johnnys...
Back
Top Bottom