Search results

  1. OTIS

    Natafuta mganga wa kienyeji konki

    Kila la kheri ila kuwa makini sana maana matapeli wanajua hadi kuanzisha uzi.
  2. OTIS

    Kampuni ya Magazeti ya Mwananchi inahitaji Mlinzi: Sharti uwe na Degree na uzoefu miaka mitatu na zaidi

    Not possibly boss...huo ndio uhalisia. Security Officer ni overall in charge kumanage security issues za office ikiwemo staff security na premises. walinzi ni part tu ya security management.
  3. OTIS

    Kampuni ya Magazeti ya Mwananchi inahitaji Mlinzi: Sharti uwe na Degree na uzoefu miaka mitatu na zaidi

    Jamaa kaona Security Officer akadhani mwamba anakaa getini kufungua milango Bodaboda wanaitwa transport Officers siku hizi
  4. OTIS

    Kampuni ya Magazeti ya Mwananchi inahitaji Mlinzi: Sharti uwe na Degree na uzoefu miaka mitatu na zaidi

    Ni shule gani walikufundisha security officer ni mlinzi....
  5. OTIS

    Roll call 2016...

    Happy New Year CL
  6. OTIS

    Subaru forester XT yenye Turbo Vs isiyo na turbo

    Exactly...service sahihi kwa wakati na gari utaifurahia siku zote.
  7. OTIS

    Subaru forester XT yenye Turbo Vs isiyo na turbo

    Mie nina Forester SH5 Turbo Charger ya 2010 na haijawahi nisumbua tangu niinunue mwaka jana. Suala la kuzingatia ni service kwa wakati na kufunga genuine spare parts. Nashauri uchukue non turbo kama una mishe za kawaida kwani turbo ni extra layer ya presha
  8. OTIS

    Edo Kumwembe na Idris Sultan punguzeni ushamba

    Punguza kufuatilia maisha ya watu...
  9. OTIS

    Naomba kufahamishwa madhara ya MRI.

    Kiukawaida, matumizi ya dwa yoyote au vipimo vinavyohusisha MRI na Xrays huwa vinakuwa na side effects kwenye mwili na kutokupima kuna madhara zaidi kwa mgonjwa kwani huwezi jua kwa uhakika shida ipo wapi Ila tambua kuwa potential side effects zake zinazidi umuhimu kuliko kutokupima. Kwa...
  10. OTIS

    Au mnasemaje ndugu zangu!

    Hip Hop is life brother...kapime mkojo tafadhali
  11. OTIS

    Nimepigwa faini sh 50,000/- hapa barrier ya usagara kwa kukojoa hovyo. Hii ni sawa au sio sawa?

    Umefanya wendawazimu wa kukojoa hovyo, ukapigwa faini na ukapewa EFD receipt na bado unapata nguvu za kuja kulalamika mtandaoni. Are u insane?
  12. OTIS

    Kwenda Dodoma saa tatu; kwenda Dar saa tano, tatizo ni nini?

    Jum ni nini mkuu...umeniacha hapo kidogo
  13. OTIS

    Tujikumbushe Teknolojia au Apps zilizokuja kwa Fujo na kufa Kibudu

    Hii sio kweli. Nadhani Rais wa mwisho wa US kutumia Blackberry alikuwa Obama. Blackberry was very secure but that changed walipoanza kutumia android OS.
  14. OTIS

    Jinsi gani naweza kusoma Open University?

    Recently kuna some admission changes made by OUT Nina ndugu yangu aliharibu form 4 akaunga unga akapata certificate then diploma kutoka govt college Later alipoenda Open alinyimwa admission kutokana matokeo mabovu ya O-Level. Imagine hata option ya kufanya foundation course for a year...
  15. OTIS

    Sheria ya kusajiri na kuchezesha wachezaji wa kigeni 10 imekaaje?

    Hii sheria nayo sio mbaya ikabakia hapo japo tuwe makini sana na kuendekeza vitu kama hivi Tusishangae tukapandekeza wachezaji wa Dodoma Jiji wawe wagogo na warangi tu
  16. OTIS

    NAFUMUA MSHONO: Simu za iPhone ni mdebwedo, wanaozitumia ni watu wa kufuata mkumbo bila reasoning. Simu za Android ndio mpango mzima!

    Naomba twende kwa facts mkuu...nakuwekea hapa link ya DXOMark na screenshot yao kuonesha camera scores. Naomba na wewe uweke yako twende sawa.....https://www.dxomark.com/smartphones/
  17. OTIS

    NAFUMUA MSHONO: Simu za iPhone ni mdebwedo, wanaozitumia ni watu wa kufuata mkumbo bila reasoning. Simu za Android ndio mpango mzima!

    Nakubaliana nawe kuwa kwa benchmarks tofauti tofauti, some android phones zinaishinda Iphone kwenye baadhi ya vigezo vya ubora wa picha. Ubora wa Iphone 13 Pro Max unapatikana kwenye consistency ya camera yake na zaidi ubora wa video. Jaribu kucheki renowned reviewers kama MKBHD, Lew (Unbox...
Back
Top Bottom