Search results

  1. S

    Mkataba mwingine feki-wanafunzi wa tz msumbiji

    Nilizozipata za uhakika kutoka huko nikwamba walienda huko badala yakushukia vyuoni wakawekwa hotelini kwa madai kuwa nafasi za vyuoni zimejaa. Walikopeshwa na bodi dola 250 kwa mwezi kwaajili ya chakula na malazi ila gharama zikaongezeka kwa dola 650 baada ya kuwekwa hotelini nakuwa dola 900...
  2. S

    Tanzania, Msumbiji kubadilishana wanafunzi

    Namkubali sana mtoto wa mkulima kwa kazi anazofanya ila watendaji wake ndio wanao mharibia. Mkataba huo kwasasa nasikia umekuwa wa kinyonyaji kwani wanafunzi walioenda huko wanaishi hotelini na siyo vyuoni jambo linalopelekea kila mwanafunzi mmoja kulipiwa na serikali yetu zaidi ya Tsh mil 20...
  3. S

    Mkataba mwingine feki-wanafunzi wa tz msumbiji

    Nimeambiwa wanafunzi hao walishukia hotelini ambapo ndiko wanakoishi hadi hivi sasa ingawaje wameshaanza masomo. Hawaishi katika hostel za vyuo ndiyomaana wanalipiwa gharama kubwa hivyo na serikali yetu kupitia bodi tena bila ridha yao. Kuna mwanafunzi mmoja wa msumbiji anaesoma hapo UD chini ya...
  4. S

    Mkataba mwingine feki-wanafunzi wa tz msumbiji

    <br /> <br /> Nilipoona kichwa cha habari hii kwanza wala sikushtuka kwani mikataba yetu mingi haina tija. Pia nilimtumia email mdau mmoja ambaye alienda huko maputo juzi kwenye michezo hii ya All African Games inayoendelea pengine anaweza kupata info zozote toka huko kama wanafunzi hao...
Back
Top Bottom