Search results

  1. M

    Simba hatuna chetu msimu huu!

    Kwa ufupi huu sio utabiri isipokuwa nimeita utabiri kutokana na dhana ilivyo kwa sasa ,hasa kipindi hiki cha betting nikiwa naandika uzi huu hivi sasa ni saa 11 Na dakika 7 jioni, mechi ya simba na yanga inaenda kuchezwa pale mkwakwani tanga majira ya saa 1 Kamili jioni nikiwa na uhakika na...
  2. M

    Wiki ya Wananchi imepoa sana

    Imekuwa tofauti kabisa safari hii wanainchi wana supriz gani? Maana sio kawaida kabisa, binafsi nahisi kuna bomu wanaenda kulipua tar. 22/07/2023 Ngoja tuone!
  3. M

    Kwa dizaini hii ya marefa Akina Kayoko Safari ipo

    Huyu dogo achoshangaza , anafokea watu wanaolipwa pesa mingi Sana kwa mwezi anahic wako sawa kumbe ni mbingu na ardhi. Kikubwa huyu dogo hajui chochote kwenye hii career ya urefarii ulishaona wapi refa Makini akagawa kadi kila tukio, halafu sehemu ya kutoa kadi hatoi Mm ningekuwa mchezaji...
  4. M

    Mpira wa miguu na maajabu yake

    Wanamichezo wa hapa jukwaani nimekaa nikafikiria maajabu ya mpira wa miguu kuelekea mechi za kimataifa za wababe wa Kariakoo, yaani Simba dhidi ya De agosto na ile ya Al hilal dhidi ya Yanga. Watu wengi wanampa nafasi kubwa mnyama kutinga makundi, lakini wachambuzi wengi na wanazi wa mpira...
  5. M

    Uongo huaminika sana

    Wakati wa usajiri siasa uongo na kiki kwa viongozi wa timu za mpira hutamalaki. 1. Wakati wa uchaguzi wa kumchagua Rais wa timu hiyo kuna mchezaji alitumika kama kiki ili Rais achaguliwe kwa kishindo. Nilimsikia akisema nimeleta high profile player kutoka Ligi Kuu ya Uingereza timu ya Newcastle...
  6. M

    Wachezaji wetu wakimataifa

    Hatimaye mechi ya yanga na Al hilal 1st leg imekamilika hapoJana kwa kutoa sare ya kufangana yaani goli 1 kwa mwenyeji na goli 1 kwa mgeni ( sio matokeo mazuri Sana kwa mwenyeji lakin sio mabaya kiivyo katika mpira wa miguu) Nilichojifunza na kuona katika mchezo huu hasa wachezaji wa kimataifa...
  7. M

    Wa kimataifa

    ukweli mchungu!! Kwenye hizi timu za Kariakoo, hamna hata timu moja itaenda makundi ya CAF, labda kidogo shirikisho! Labda tena kwa mbinde, naiona timu moja tu tena haipewi nafasi sana ya kufuzu makundi. Kuna timu inaenda kuchukua aibu ya mwaka (ITAPIGWA KAMA NGOMA IKIWA UGENINI). Mapovu...
  8. M

    Chama arudi bongo, kamuacha Kisinda anakichafua Morocco

    Vipi hii kauli bado ipo?? Nyie mashabiki maandazi tambueni mpira ni zaidi ya kutumia simu ya tecno.
  9. M

    Je yanga akimtoa zalan ??

    Je yanga akimtoa zalan fc na yeye ( yanga) akatolewa na Al hilal au St George ataangukia shirikisho au ndio imetoka hiyo?? Similarly to Simba??
  10. M

    Manula out, Okrah out, Okwa out, Chama out

    Wana lunyasi wenzangu ni kweli wachezaji tajwa hapo juu hawapo kwenye squad ya kumkabili Kagera Leo sababu majeruhi?? Taarifa hizi zinasambaa kwenye hizi zinazoitwa online tv ( rock star tv) Kama ni kweli daaa hatari sasa hii
  11. M

    Huyu Mkongomani Varane apewe muda atakuja kufanya makubwa

    Aise huyu beki kwa ninavyoona apewe muda atakuja kuwa tishio Sana , anajua Sana , mnyama hapa wanabeki aise tuache wivu kwenye ukweli. Muda utaongea.
  12. M

    Dagaa wabichi safi waliokaangwa kutoka Magu Mwanza

    Bila kupoteza muda kwa wakaazi wa Dodoma na Singida kama kichwa Cha Uzi kinavyosema ,, tunauza dagaa wabichi Safi waliokaangwa ,, Kwa yeyote mkaazi wa singida au dodoma na mfanyabishara anayehitaji kutumia ama kuuza kwa rejareja Ni DM tuongee biashara Dagaa Ni Safi na Ni fresh kutoka ziwani na...
  13. M

    Laptop hp inauzwa

    Processor:1.6hz Ram:4gb Hard disk:500gb Betri: 4hrs with internet connection, 5hrs without internet connection. Bado ina sura Kama mpya haijwahi funguliwa Bei: 555000/= List ya hiyo laptop ipo Location: Mwanza
Back
Top Bottom