Search results

  1. M

    Utabiri wa Makundi ya CAF CL ya Mwandishi wa Habari MickyJr

    na mm natabir wee ni shabiki wa yanga, unajaribu kuitafutia timu yako chaka la kujificha
  2. M

    ANGALIZO: Wazee wa kubadili gia angani mseme mapema kama El Merekh ni timu bora ama mbovu

    punguzeni porojo , mtakuja kulia na kusaga meno ,THIS IS FOOTBALL
  3. M

    Kwa mpira huu nahamia Yanga

    muda sio mrefu mafuta na maji yataanza kujitenga
  4. M

    Simba hatuna chetu msimu huu!

    Kwa ufupi huu sio utabiri isipokuwa nimeita utabiri kutokana na dhana ilivyo kwa sasa ,hasa kipindi hiki cha betting nikiwa naandika uzi huu hivi sasa ni saa 11 Na dakika 7 jioni, mechi ya simba na yanga inaenda kuchezwa pale mkwakwani tanga majira ya saa 1 Kamili jioni nikiwa na uhakika na...
  5. M

    Simba Wameongeza Squad Depth, Ila Hawajaboresha Squad Quality

    usingemjibu tu maana hata mpira halijui
  6. M

    Power Dynamo rekebisheni kiungo chenu na safu yenu ya ushambuliaji vinginevyo amjapata timu ya kucheza ligi ya mabingwa

    Aise yaan singida na azam wawe wanaume wa shoka kweli kuliko power dynamo, kweli mpira umeingiliwa kwa wanaojua mpira hawa jamaa wamecheza kikubwa sana ni vile unafikir angekuwa singida zingeishia mbili tu pale
  7. M

    Nani aliyewashauri TFF na Bodi ya Ligi kuingiza timu nne kwenye michuano ya Ngao ya Jamii?

    mzee vp umenusa hali ya hatari nini kwa chama lako
  8. M

    Privaldinho na Ally Kamwe wameshindwa kuitangaza Yanga Day

    mkude ni reject ya nani??
  9. M

    Kibarua cha Robertinho kipo hatarini

    NATABIRI ROBERTINHO NDIO KOCHA ATAKAYEIMBWA KONA NA PEMBE ZOTE ZA NCHI HII 2023/2024
  10. M

    Wiki ya Wananchi imepoa sana

    kweli aise sio kwa ukimya huu
  11. M

    Wiki ya Wananchi imepoa sana

    Imekuwa tofauti kabisa safari hii wanainchi wana supriz gani? Maana sio kawaida kabisa, binafsi nahisi kuna bomu wanaenda kulipua tar. 22/07/2023 Ngoja tuone!
  12. M

    Fahamu namna timu ambazo hazitaanzia hatua ya awali mashindano ya klabu bingwa Afrika zinavyopatikana

    sio kwa ubaya lakini,, kwann asiwe yanga sasa, awe simba??
  13. M

    Je, Yanga anaweza kufanya vizuri club bingwa?

    bora na wewe umemwambia maana sio kwa uharo huo, yaan anasema yanga inawachezaji makin, yanga awe na wachezaji makin uwazid wahuni wa kiarabu aise
  14. M

    Je, Yanga anaweza kufanya vizuri club bingwa?

    wewe hamna key players hapa bongo, ni key players kwa uwezo wa timu zetu
  15. M

    Je, Yanga anaweza kufanya vizuri club bingwa?

    wewe unaonekana huijui vizur champion league
  16. M

    Msaada wa Excell

    hahahaha
  17. M

    Msaada wa Excell

    TUMIA COUNTIF
  18. M

    Yanga itaenda kuvunja rekodi zote zilizowekwa na Simba kimataifa

    daaaa ushabiki kazi sana unamanisha haya yafatayo ndio yanga atayavunja kimataifa 1. Kuongoza kundi mbele ya al ahly na as vita 2. kumfunga as vita kwake 3. kumfunga al ahly akiwa kwenye form yake 4. kumfunga kaizer chief 5. kumfunga orlando pirates 6. kufunga vitataka kama fc platnum, nkana...
Back
Top Bottom